TANZIA Dkt. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni afariki Dunia

Ukisoma vitabu vingi vya kijasusi, viongozi smart na tishio wanauwawa kirahisi sana wanapokuwa nje mipaka Yao ya nchi, hivyo ni vizuri viongozi wakaondoa mentality ya kutibiwa nje ya nchi kama security ya maisha Yao.
 
Mkuu, ulishawahi kutaka ukatibiwe India au SA, mtu akakuzuia kwani? Suala la kiafya - nani na wapi mtu atibiwe - ni uamuzi binafsi.
Ndugu yangu hapa tunazungumzia mitizamo ya matibabu ya viongozi wetu potentials kufanyika nje ya nchi hususani India Kila wakati na kurudishwa wafu. Hili ni suala la mabadiliko ya kisera na Wala si Sheria kwamba kwa kuwa huduma za kitabibu zomeboreshwa hapa nchini basi priority ya matibabu kwa viongozi wa kitaifa iwe hapa nchini, sijui umenielewa ni suala la kisera ambalo in future linaweza kubadilishwa likawa sheria endapo it will be proven wealth while.
 
Wanatuhadaa kwa kweli.
 
Hawezi kukuelewa huyo akili kisoda.
 
Muhimu kuwa na uwezo wa kujitibia mwenyewe tu hasa kama unaonekana ni threat kwa wengine. Hizi serikali zetu za kiafrika sio kuziamini kabisa.
 
Mkurugenzi mtarajiwa wa WHO kaenda kupata matibabu nje ya bara lake , ina maana kwa zaidi ya nchi 50 zilizopo barani hapa hamna hata nchi moja yenye medical facilities za kufichia aibu ndogondogo kama hizi ?

Umeongea jambo zito sana.
Mifumo yetu ya elimu bado ni ya kikoloni.
Wanafunzi wa vyuo wengi ni watu wazima wenye stress za maisha . Ili Kupata wataalamu wa ukweli wenye vipaji vya kuzaliwa na sio kukimbilia Kozi zenye ajira inabidi masomo yote ya ujuzi yazingatie vipaji tangu shule ya msingi. Hapo tutapata walimu, wachumi, wahasibu, ,madaktari na maengineer wazuri na wenye ufanisi mzuri sana bila kukimbilia fedha kabla ya huduma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…