Davidson david
JF-Expert Member
- Jul 26, 2023
- 1,029
- 1,051
RIP
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukisoma vitabu vingi vya kijasusi, viongozi smart na tishio wanauwawa kirahisi sana wanapokuwa nje mipaka Yao ya nchi, hivyo ni vizuri viongozi wakaondoa mentality ya kutibiwa nje ya nchi kama security ya maisha Yao.Unajua mtu akishaugua, mara nyingi maazimio mengine yote huwa yanarukwa? Yule atakayepinga matibabu ya nje ndiye ataonekana mchawi haswa.
Halafu, suala la kuwatibia nje siyo kwamba linatokana na utaalamu zaidi. Nadhani wengi wanakimbilia huko kiusalama. Ni kama vile humu ndani hatuaminiani.
Hapo kiongozi anaona bora akazungukwe na jopo la madaktari wasiomfahamu, kuliko hawa wetu ambao anadhani wanaweza kumleftisha muda wowote hata kama siku zake hazijatimu.
Ndugu yangu hapa tunazungumzia mitizamo ya matibabu ya viongozi wetu potentials kufanyika nje ya nchi hususani India Kila wakati na kurudishwa wafu. Hili ni suala la mabadiliko ya kisera na Wala si Sheria kwamba kwa kuwa huduma za kitabibu zomeboreshwa hapa nchini basi priority ya matibabu kwa viongozi wa kitaifa iwe hapa nchini, sijui umenielewa ni suala la kisera ambalo in future linaweza kubadilishwa likawa sheria endapo it will be proven wealth while.Mkuu, ulishawahi kutaka ukatibiwe India au SA, mtu akakuzuia kwani? Suala la kiafya - nani na wapi mtu atibiwe - ni uamuzi binafsi.
Wanatuhadaa kwa kweli.Hii inasikitisha sana, idara zote za kitabibu katika hospital zetu za kitaifa zimeimarishwa sana, JKCI, MNH, Mloganzila, Benjamin Mkapa Dom etc, Kwa nini viongozi wakatibiwe nje na mara nyingi wakirudi kama cargo?? Kwa hiyo wananchi wanatuhadaa wanapotuambia huduma za kitabibu ktk hosptali zetu zimaimarika kiasi cha wageni kutoka mataifa ya nje kuja kutibiwa hapa nchini?!! Kama viongozi hawawi mfano wa kuigwa tutaendelea kuwaamini vipi?!! Je, ni JPM pekee ndo alikuwa mzalendo wa kweli!
Hawezi kukuelewa huyo akili kisoda.Ndugu yangu hapa tunazungumzia mitizamo ya matibabu ya viongozi wetu potentials kufanyika nje ya nchi hususani India Kila wakati na kurudishwa wafu. Hili ni suala la mabadiliko ya kisera na Wala si Sheria kwamba kwa kuwa huduma za kitabibu zomeboreshwa hapa nchini basi priority ya matibabu kwa viongozi wa kitaifa iwe hapa nchini, sijui umenielewa ni suala la kisera ambalo in future linaweza kubadilishwa likawa sheria endapo it will be proven wealth while.
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 P1 mkuu.^Mtuhumiwa aliposomewa mashtaka, hakuruhusiwa kujibu chochote kwani mahakama haina uwezo wa kusikiliza kesi hiyo.^
Umenipata hapo kweli, mkuu?
Duuh, kumbe sikujua, nilifikiri DRCSiyo DRC, ile congo brazaville
Trend seems not good !!Siku hizi India imekuwa kama Mloganzira wanaoenda hawarudi.
RIP Mwamba Ndungule mwendo umeumaliza
Muhimu kuwa na uwezo wa kujitibia mwenyewe tu hasa kama unaonekana ni threat kwa wengine. Hizi serikali zetu za kiafrika sio kuziamini kabisa.Kweli hapa Kuna changamoto, lakini in the context ya government intervention ktk matibabu ya viongozi wa kiserikali, India and some countries not the right choice kwa sasa. Ni haki ya mgonjwa kwa kuzingatia uwezo wake atibiwe anapotaka lkn kwa viongozi wa kiserikali ni vizuri kuwa na right and safe country choice lkn pia kipao mbele kikiwa kuwapatia matibabu ndani ya nchi.
Speaker kazi zake ni za muda maalumu, lakini, Mkurugenzi ni kazi ya Kila siku!!! Hapa nimemtumia D mbili zangu kung'amua hii.Hivi hii ya Tulia,Ambae ni Speaker wetu,Mbunge na Speaker wa Dunia haiingiliani nayo yenyewe?
Kuna baadhi ya nyadhifa huruhusiwi kujitibia. Mara hii umesahau maelezo ya CDF mstaafu kuhusu kumruhusu tu Hayati arudi nyumbani?....kujitibia mwenyewe tu hasa...
Endelea kudunda tu kwenye ardhi ya molaP
Poleni sana
Mungu awatie nguvu
Tukutane ndani ya siku 87Nchi imekuwa ya madondocha , ccm hawapendi sikia mtu anayejitambua , wametengeza machawa , hali ni mbaya lakin Mungu yupo kazini
Siyo kwakuwa alipingana jambo na Mwendazake kwenye corona hukoalitolewa kwenye uwaziri kwa sababu ya frequent trips za kwenda India kwa matibabu.
Ukiwa na akili au mkweli kwenye Nchi kama ya Tanzania siku zako za kuishi Siyo nyingi haswa ukiwa ndani ya Serikali na CCMKatika watu wa CCM ambao ni tofauti basi alikuwa ni huyu jamaa. Sijawahi kumsikia anafanya au kuzungumza haya mambo ya kijinga yanayoandamana na ma-CCM
Mama kafanya tusijue tofauti ya vifo, yeye alisema "KIFO NI KIFO TU"
kila nafsi itaonja mauti...
Tasnia ya utabibu tumepata pigo zitoEndelea kudunda tu kwenye ardhi ya mola
Endelea kudunda tu kwenye ardhi ya mola
Mkurugenzi mtarajiwa wa WHO kaenda kupata matibabu nje ya bara lake , ina maana kwa zaidi ya nchi 50 zilizopo barani hapa hamna hata nchi moja yenye medical facilities za kufichia aibu ndogondogo kama hizi ?