TANZIA Dkt. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni afariki Dunia

Hivi hii copy and paste huwa hamruhusiwi ku edit makosa? Kafariki tarehe 27 Novemba 2025 kweli????!!!!
 
AYU. :14:1
Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu.

AYU. :14:2
Yeye huchanua kama vile ua, kisha hukatwa; Hukimbia kama kivuli, wala hakai kamwe.

AYU. :14:5
Kwa kuwa siku zake zimeamriwa, hesabu ya miezi yake unayo wewe, Nawe umemwekea mipaka yake asiyoweza kuipita;

ZAB. :90:12
Basi, utujulishe kuzihesabu siku zetu, Tujipatie moyo wa hekima.

Pole kwa ndugu jamaa na marafiki kwa msiba huu mzito
 
sad news

MHSRIEP
 
Makiwa kwa wafiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…