loliondokwetu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 1,376
- 1,752
Hili fungu kwenye biblia linatosha kabisa kutuonya kuhusu maisha yetu kuwa tujiandae na tutende mema daimaAYU. :14:1
Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu.
AYU. :14:2
Yeye huchanua kama vile ua, kisha hukatwa; Hukimbia kama kivuli, wala hakai kamwe.
AYU. :14:5
Kwa kuwa siku zake zimeamriwa, hesabu ya miezi yake unayo wewe, Nawe umemwekea mipaka yake asiyoweza kuipita;
ZAB. :90:12
Basi, utujulishe kuzihesabu siku zetu, Tujipatie moyo wa hekima.
Pole kwa ndugu jamaa na marafiki kwa msiba huu mzito
Asante kwa kulioma hiloNdugu zetu @mods ni muda muafaka wa kutuwekea jf translate
Kuweni na àkili basi, Ndugulile alishaachana na maccm yenu, angeenda kutumika WHO kuanzia mar 2025. Hana njaa ya ubunge.Huenda ni kweli kabisa. Inawezakana sana
Pumziko La Amani Apate Dokta. Ila nadhani Watu wote ni muhimu kwa namna moja ama nyingine.Dah! Tumepoteza mtu muhimu Sana.
RIP Ndugulile
Death.What is behind the scene?
CCM huwa hawapendi Watu wenye akiliZAB. :90:12
Basi, utujulishe kuzihesabu siku zetu, Tujipatie moyo wa hekima
Dah apumzike kwa Amani @ Dr. Faustine Ndugulile.TANZIA - Dkt. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni afariki Dunia
Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile 1969-2024 Spika wa Bunge Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) anasikitika kutangaza kifo cha Mbunge wa Kigamboni, Mheshimiwa Dkt. Faustine Ndugulile kilichotokea usiku wa kuamkia leo tarehe 27 Novemba, 2024 nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu. "Nimepokea kwa...www.jamiiforums.com
AiseeMwana huyu, toka anakuja Tambaza(PCB) kutokea Zimbabwe.
Unaweza kuweka ushahidi wa huu ujinga uliouandika hapa?Watu wanamalizana kwa sababu ya madaraka
Kama unaona ameandika ujinga ,nawe andika hapo ujinga wako tuusome.Unaweza kuweka ushahidi wa huu ujinga uliouandika hapa?