TANZIA Dkt. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni afariki Dunia

TANZIA Dkt. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni afariki Dunia

Kaka Faustine jamani, yaani huu msiba mwenzenu umenivuruga. Ni family friend. Nashindwa nampigia simu dada yake kumpa pole au naenda uwiii.
Hii familia wana roho nzuri, pamoja kuwa na pesa ila wana upendo sana. Vizuri havidumu 😭
Ulale mahala pema, peponi Kaka Faustine. Dah hee!!!
Dah pole sana mwanamama wa kibantu
 
Apumzike kwa Amanin Dr. Faustine, matibabu ya huko India ni vizuri serikali ikayatathmini kama kwa sasa yana umhimu baada ya serikali kuboresha huduma za afya hapa nchini, vile vile kama taifa lazima tuna maadui wasioitakia nchi yetu mema hivyo hizo loopholes za viongozi kutibiwa India ni hatari sana. Kifo kipo lkn baadhi ya vifo vinakuwa na lesson to learn on how to adjust some issues as a country.
Ni ushauri mzuri. Lakini nani atamkataza nani asiende wapi kutafuta matibabu ya afya yake mwenyewe?
 
Duh,
Aliumwa lini? Tanzania yetu ina mambo

----

Huu utaratibu tuliojiwekea wa kutangaza kifo cha mtu tu bila kujali aliugua au ni ajali ni mbaya sana

Kwenye taarifa rasmi ya Bunge inaonesha kafariki 2025??? bahati mbaya?

Sasa jamii inabaki na mtanziko na sintofahamu kubwa..

1.Aliumwa
2 Kama aliumwa aliumwa nini na alianza lini?
3.Ajali?
4.Matibabu India ilikuwaje?
5.Chronic deaseases? Taarifa haisemi...

Ndungulile ni mtu mkubwa sana kuacha kujibu hayo maswali kwenye taarifa rasmi ya Kifo chake...

Tunaweza dhani ni jambo jema na privacy lakini minongono na 'umbea ' na 'siasa' zetu, ikatugharimu baadae...

Binafsi nilipenda sana hustle zake,

Poleni sana familia ya Dr. Faustine.

Pumzika kwa amani kaka.
Hata tukijua yote hayo haitasaidia kitu
 
To God belongs what He takes and what He gives, and everything with Him has a specified term.
It proves the Qur'an is actually a re-writing and re-arrangement out of the Bible.

For all things come from You, and out of Your own we have given You - 1 Chronicles 29:14

There is a season for everything - Ecclesiastes 3

The LORD gave, and the LORD has taken away; blessed be the name of the LORD - Job 1:21

Hakika MO Salah alikuwa msomaji na mkopaji mzuri sana wa Biblia.
 
JPM NAYE MLISEMA MOYO,MOYO.
SAA100 MOYO VIPI?
Si unajua magonjwa hatari kwa sasa ni yale ya mtindo wa maisha - yasiyoambukizika?

1732702283139.png
 
Back
Top Bottom