Dkt. Festus Bulugu Limbu anafaa nafasi ya juu Serikali humu nchini

Mtajwa hapo juu aliwahi Mbunge Jimbo la Magu, lakini pia aliwahi kuwa Naibu waziri wa fedha katika awamu ya 3 akishughulikia masuala ya SERA na Mipango ya wizara hiyo.

Na kwa hakika kazi yake ilionekana na inaonekana mpaka wa leo na kuifaidisha nchi na wananchi pakubwa. Dr. Limbu is among economic genius hapa Tanzania.

Pamoja na mambo mengine mengi aliyowahi kuyafanya katika nchi hii kwa maslahi mapana ya nchi na kwa manufaa ya wananchi wote.

Dr. FESTUS BULUGU LIMBU ni mzalendo wa kweli, mchapakazi mahiri, mwenye uthubutu wa kusema na kutenda, nachelea kusema mzalendo huyu anaweza kuipaisha Tanzania sio tu kiuchumi bali pia kijamii na kisiasa na hatimae kubadili kabisa hali za maisha ya waTz kua bora zaidi na yanye furaha zaidi kuliko wakati mwingine wowote.

Dr. FESTUS BULUGU LIMBU ana uzoefu katika uongozi na utumishi wa umma.
Anachukia Rushwa kwa maneno na vitendo, ni mkweli na muwazi,
Ni mtulivu, mkimya na mpole asiependa uonevu wa aina yeyote, popote na kwa yeyote.
Ana maamuzi magumu na wala hana haya kuchukua hatua kwa yeyote atakae enda kinyume na mipango na Sheria za nchi. Rejea alivyo kua naibu waziri wa fedha.

Ni muadilifu na mpenda Amani, umoja na mshikamano.
Ni Baba wa familia, Mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu.

Hana kundi wala makundi, kundi lake ni waTanzania wote.
Kwa ujasiri mkubwa nadhani anafaa na ana sifa zote kwa nafasi ya Juu zaidi humu nchini siku za usoni.
Ni furaha kuona wengi wa waTz wameanza kumfikiria mapema.

Ama hakika Dr FESTUS BULUGU LIMBU ni NYOTA YA MATUMAINI TANZANIA.

Mungu Ibariki Tanzania na watu wake.
 
Festus bulugu limbu,ni moja ya watu makini,nakumbuka saana kipindi cha uongozi wa Rais Benjamin Mkapa,akiwa naibu waziri wa fedha,sera na mipango.uchumi ulipanda saana kipindi cha Mkapa,Kazi kubwa aliifanya Festus Limbu.kwa kifupi mheshimiwa Limbu anastahili,ana kila sifa ya kuwa kiongozi,hata aliowafundisha uchumi UDSM uchum
Mtajwa hapo juu aliwahi Mbunge Jimbo la Magu, lakini pia aliwahi kuwa Naibu waziri wa fedha katika awamu ya 3 akishughulikia masuala ya SERA na Mipango ya wizara hiyo.

Na kwa hakika kazi yake ilionekana na inaonekana mpaka wa leo na kuifaidisha nchi na wananchi pakubwa. Dr. Limbu is among economic genius hapa Tanzania.

Pamoja na mambo mengine mengi aliyowahi kuyafanya katika nchi hii kwa maslahi mapana ya nchi na kwa manufaa ya wananchi wote.

Dr. FESTUS BULUGU LIMBU ni mzalendo wa kweli, mchapakazi mahiri, mwenye uthubutu wa kusema na kutenda, nachelea kusema mzalendo huyu anaweza kuipaisha Tanzania sio tu kiuchumi bali pia kijamii na kisiasa na hatimae kubadili kabisa hali za maisha ya waTz kua bora zaidi na yanye furaha zaidi kuliko wakati mwingine wowote.

Dr. FESTUS BULUGU LIMBU ana uzoefu katika uongozi na utumishi wa umma.
Anachukia Rushwa kwa maneno na vitendo, ni mkweli na muwazi,
Ni mtulivu, mkimya na mpole asiependa uonevu wa aina yeyote, popote na kwa yeyote.
Ana maamuzi magumu na wala hana haya kuchukua hatua kwa yeyote atakae enda kinyume na mipango na Sheria za nchi. Rejea alivyo kua naibu waziri wa fedha.

Ni muadilifu na mpenda Amani, umoja na mshikamano.
Ni Baba wa familia, Mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu.

Hana kundi wala makundi, kundi lake ni waTanzania wote.
Kwa ujasiri mkubwa nadhani anafaa na ana sifa zote kwa nafasi ya Juu zaidi humu nchini siku za usoni.
Ni furaha kuona wengi wa waTz wameanza kumfikiria mapema.

Ama hakika Dr FESTUS BULUGU LIMBU ni NYOTA YA MATUMAINI TANZANIA.

Mungu Ibariki Tanzania na watu wake.
 
Festus Bulugu Limbu,namfahamu toka anafundisha uchumi chuo kikuu cha DSm,ni mtu mwenye msimamo na maono saana.alimsaidia saana Benjamini Mkapa katika uongozi wake,kipindi hicho alikuwa naibu wa fedha,sera na mipango,alisaidia saana hata uchumi wetu kuimalika kipindi hicho.huyu pia ni tunu kwa taifa,japo kwa sasa amekuwa kimya saana.Na ndiye mwandishi wa kitabu cha LCD 5 kwa wle wanaokifahamu,kinachozungumzia uchumi wa kilimo.
 
Kama alishapewa Jimbo kwa miaka mitano kisha akashindwa kulilinda na kudondokea pua Uchaguzi uliofuata basi ni uzembe
 
Aliongoza jimbo kwa miaka 15,sio mitano,na hakushindwa uchaguzi,bali uchaguzi uliofuata hakugombea kabisa kwa hiari yake
 
Ok,ni vema muanzisha UZI atuambie huyu Mchumi Dr.Limbu tumpe nafasi gani ya juu Serikalini[emoji848]maana ameshakuwa Mbunge,Naibu Waziri,Mkufunzi nk,bado ipi??
 
Mtajwa hapo juu aliwahi Mbunge Jimbo la Magu, lakini pia aliwahi kuwa Naibu waziri wa fedha katika awamu ya 3 akishughulikia masuala ya SERA na Mipango ya wizara hiyo.

Na kwa hakika kazi yake ilionekana na inaonekana mpaka wa leo na kuifaidisha nchi na wananchi pakubwa. Dr. Limbu is among economic genius hapa Tanzania.

Pamoja na mambo mengine mengi aliyowahi kuyafanya katika nchi hii kwa maslahi mapana ya nchi na kwa manufaa ya wananchi wote.

Dr. FESTUS BULUGU LIMBU ni mzalendo wa kweli, mchapakazi mahiri, mwenye uthubutu wa kusema na kutenda, nachelea kusema mzalendo huyu anaweza kuipaisha Tanzania sio tu kiuchumi bali pia kijamii na kisiasa na hatimae kubadili kabisa hali za maisha ya waTz kua bora zaidi na yanye furaha zaidi kuliko wakati mwingine wowote.

Dr. FESTUS BULUGU LIMBU ana uzoefu katika uongozi na utumishi wa umma.
Anachukia Rushwa kwa maneno na vitendo, ni mkweli na muwazi,
Ni mtulivu, mkimya na mpole asiependa uonevu wa aina yeyote, popote na kwa yeyote.
Ana maamuzi magumu na wala hana haya kuchukua hatua kwa yeyote atakae enda kinyume na mipango na Sheria za nchi. Rejea alivyo kua naibu waziri wa fedha.

Ni muadilifu na mpenda Amani, umoja na mshikamano.
Ni Baba wa familia, Mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu.

Hana kundi wala makundi, kundi lake ni waTanzania wote.
Kwa ujasiri mkubwa nadhani anafaa na ana sifa zote kwa nafasi ya Juu zaidi humu nchini siku za usoni.
Ni furaha kuona wengi wa waTz wameanza kumfikiria mapema.

Ama hakika Dr FESTUS BULUGU LIMBU ni NYOTA YA MATUMAINI TANZANIA.

Mungu Ibariki Tanzania na watu wake.
Bado yupo hai huyu?
 
Hata Prof. Kabudi alikuwa vizuri kabla ya kuingia kwenye mfumo
 
Pumbafuuuuuuu. Mbwa Koko ujuinalikiwa anapelekeqa Moto na Mimi hapa Enzi hizo
 
Ok,ni vema muanzisha UZI atuambie huyu Mchumi Dr.Limbu tumpe nafasi gani ya juu Serikalini
emoji848.png
maana ameshakuwa Mbunge,Naibu Waziri,Mkufunzi nk,bado ipi??
wakati muafaka itajulikana
Aliongoza jimbo kwa miaka 15,sio mitano,na hakushindwa uchaguzi,bali uchaguzi uliofuata hakugombea kabisa kwa hiari yake
vema sana kiongozi kuweka records sawa
 
Limbu amekuwa Mbunge wangu toka nikiwa mtoto siijui hata JF Hadi nimekuwa mkubwa hakuwahi kuletea maendeleo jimboni.

Magu, Kisamba, masanza, Nsola, Ndagalu, Bubinza, etc hayo maeneo yapo karibu sana ziwa Victoria approximately 50km kwenda ziwani lakini hakuna maji ya bomba wananchi wanateseka na maji ya visiwa na madimbwi.

Baada ya kuja Kiswaga, maji yanapatikana na tuna Imani nae Limbu acheze na wajukuu tu
 
Back
Top Bottom