Dkt. Festus Bulugu Limbu anafaa nafasi ya juu Serikali humu nchini

 
Festus bulugu limbu,ni moja ya watu makini,nakumbuka saana kipindi cha uongozi wa Rais Benjamin Mkapa,akiwa naibu waziri wa fedha,sera na mipango.uchumi ulipanda saana kipindi cha Mkapa,Kazi kubwa aliifanya Festus Limbu.kwa kifupi mheshimiwa Limbu anastahili,ana kila sifa ya kuwa kiongozi,hata aliowafundisha uchumi UDSM uchum
 
Festus Bulugu Limbu,namfahamu toka anafundisha uchumi chuo kikuu cha DSm,ni mtu mwenye msimamo na maono saana.alimsaidia saana Benjamini Mkapa katika uongozi wake,kipindi hicho alikuwa naibu wa fedha,sera na mipango,alisaidia saana hata uchumi wetu kuimalika kipindi hicho.huyu pia ni tunu kwa taifa,japo kwa sasa amekuwa kimya saana.Na ndiye mwandishi wa kitabu cha LCD 5 kwa wle wanaokifahamu,kinachozungumzia uchumi wa kilimo.
 
Kama alishapewa Jimbo kwa miaka mitano kisha akashindwa kulilinda na kudondokea pua Uchaguzi uliofuata basi ni uzembe
 
Kama alishapewa Jimbo kwa miaka mitano kisha akashindwa kulilinda na kudondokea pua Uchaguzi uliofuata basi ni uzembe
Aliongoza jimbo kwa miaka 15,sio mitano,na hakushindwa uchaguzi,bali uchaguzi uliofuata hakugombea kabisa kwa hiari yake
 
Ok,ni vema muanzisha UZI atuambie huyu Mchumi Dr.Limbu tumpe nafasi gani ya juu Serikalini[emoji848]maana ameshakuwa Mbunge,Naibu Waziri,Mkufunzi nk,bado ipi??
 
Bado yupo hai huyu?
 
Hata Prof. Kabudi alikuwa vizuri kabla ya kuingia kwenye mfumo
 
Pumbafuuuuuuu. Mbwa Koko ujuinalikiwa anapelekeqa Moto na Mimi hapa Enzi hizo
 
Ok,ni vema muanzisha UZI atuambie huyu Mchumi Dr.Limbu tumpe nafasi gani ya juu Serikalini maana ameshakuwa Mbunge,Naibu Waziri,Mkufunzi nk,bado ipi??
wakati muafaka itajulikana
Aliongoza jimbo kwa miaka 15,sio mitano,na hakushindwa uchaguzi,bali uchaguzi uliofuata hakugombea kabisa kwa hiari yake
vema sana kiongozi kuweka records sawa
 
Limbu amekuwa Mbunge wangu toka nikiwa mtoto siijui hata JF Hadi nimekuwa mkubwa hakuwahi kuletea maendeleo jimboni.

Magu, Kisamba, masanza, Nsola, Ndagalu, Bubinza, etc hayo maeneo yapo karibu sana ziwa Victoria approximately 50km kwenda ziwani lakini hakuna maji ya bomba wananchi wanateseka na maji ya visiwa na madimbwi.

Baada ya kuja Kiswaga, maji yanapatikana na tuna Imani nae Limbu acheze na wajukuu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…