Pfizer
JF-Expert Member
- Mar 25, 2021
- 819
- 1,093
Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Dkt. Francis Mlacha, ameapishwa mapema leo katika hafla iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.
Baada ya kiapo hicho, Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mboni Mhita, amemkabidhi rasmi vitendea kazi tayari kwa kuanza majukumu yake ya kuwatumikia wananchi wa Kahama.