Tukipita kahama tutaonana wapi?Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Dkt. Francis Mlacha, ameapishwa mapema leo katika hafla iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.
Baada ya kiapo hicho, Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mboni Mhita, amemkabidhi rasmi vitendea kazi tayari kwa kuanza majukumu yake ya kuwatumikia wananchi wa Kahama.
Ndugu yangu sasa hivi kuitwa daktari ni njuruku yako tu. Waweza kuta dogo anamiliki PhD yake safi kabisa tena ya heshima iliyotukuka toka chuo kikuu chenye hadhi yake....Huyu ni daktari wa binadamu!!!???
Kuna wilaya ziko potential, ukiwekwa hapo wee ni kuchezea deals na kusomba mahela tu.Hahahaa... Umejua kunichekesha😂😂😂 akili zako unazijua mwenyewe. Hivi umewaza nini?
Aseme ukweli hapo yuko rasmi kuina na kusomba mahela awe bilionea katoto.Hivi ndivyo kaandika kwenye Ukrasa wa Instagram.
"Leo nimeapa rasmi kuhudumia Wananchi wa Kahama kwa nafasi ya Mkuu wa Wilaya. Kwa nyenyekevu mkubwa, namshukuru Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuniamini na kuniteua. Nitailipa imani hii kwa kufanya kazi kwa weledi, utii na uaminifu. Niwashukuru wote tuliofanya kazi na kuishi na mimi kama ndugu. Wakati wote mmenilea na kunijenga kuwa nilivyo. Sina neno zuri zaidi ya kuwashukuru na kuwaombea Mungu awalinde, awaruzuku afya bora na maisha yenye furaha!"
Karibuni Kahama
Dkt. Francis Daudi Mlacha
View attachment 3684346View attachment 3684347
..hii ndo akili ya wanaofukarisha taifa hili, bt remember mali yoyote ya wizi haidumu..two there's life thereafter..jiwekee akiba/hazina(matendo mema)pale ambapo hakuna yeyote anaweza kuiba au kuharibu akiba yako!Kapewa wilaya yenye ulaji, akikaa vizuri anatoka na ukwasi wa maana sana hapo.