TANZIA Dkt. Frank Nicodemus Tyilia Hatunaye duniani

Alikuwa anayajua sana madude, sema mpaka uipate point cha moto unakuwa umekiona.
Kaka umenikumbusha mbali sana Baada ya kumaliza kozi yake basi akawa anatoa instruction ya mtihani utakavyo kuwa nakutuaga EBWANA SIAKA ONGEA KISWAHILI WACHA WATU WAPIGE MAYOWE NA MILUZI ALITAKA KUKIMBIA AKIULIZA NINI SHIDA wata wakamwambia TEACHER KUMBE UNAJUA KISWAHILI ,. Huyu Dr alikuwa nondo sana ila kumuelewa ilikuwa ngumu hasa KWENYE IT
 
With no disrespect, watu waosoma physics Tanzania inawasaidia nini?
Kipindi tumefukuzwa chuo kikuu udsm miaka Ile Kuna mjinga mmoja alihoji. Kwanza wanafunzi wa chuo kikuu wanasaidia Nini ktk nchi hii.?
Kipindi kile udsm inajumuisha sokoine na muhimbili.
Mke wa yule mwamba alikua na mimba. Siku ya kuzaa mtoto akakwama ndani. Watu wakamuambia Leo utaujua umuhimu wa wasomi ktk nchi hii.
 
Sikakataa kwamba elimu haina umuhimu lakini lazima tukubaliane, masomo kama Physics ni masomo advanced sana na yanahitaji nchi yenye maabara bora na zilizoendelea sana ili kufanyia kazi hizo kanuni zake, Tanzania unaitumia wapi?

Mtu anasoma Physics Ulaya, China wala haina shida, ila Tanzania unasoma bachelor of physics, inakusaidia nini?
 
Intellectual ameondoka Poleni Wafiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…