kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,716
- 12,116
Kwa heri mmatengo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂Sikuwahi kumuelewa hata sentensi moja
Kaka umenikumbusha mbali sana Baada ya kumaliza kozi yake basi akawa anatoa instruction ya mtihani utakavyo kuwa nakutuaga EBWANA SIAKA ONGEA KISWAHILI WACHA WATU WAPIGE MAYOWE NA MILUZI ALITAKA KUKIMBIA AKIULIZA NINI SHIDA wata wakamwambia TEACHER KUMBE UNAJUA KISWAHILI ,. Huyu Dr alikuwa nondo sana ila kumuelewa ilikuwa ngumu hasa KWENYE ITAlikuwa anayajua sana madude, sema mpaka uipate point cha moto unakuwa umekiona.
Wadau wanakuambia alikuwa haeleweki; kweli kafariki na materials zake.Amekufa na material kichwani
Hamna point. Pumba nyingiAlikuwa anayajua sana madude, sema mpaka uipate point cha moto unakuwa umekiona.
Wapo VIJANA WANAZEEKA KWA KASI YA 4G kutokana na KUKOSA AJIRAWazee wanapungua sana, kijiji kikibaki bila wazee ni hatari
R.I.P DOKTA
Kipindi tumefukuzwa chuo kikuu udsm miaka Ile Kuna mjinga mmoja alihoji. Kwanza wanafunzi wa chuo kikuu wanasaidia Nini ktk nchi hii.?With no disrespect, watu waosoma physics Tanzania inawasaidia nini?
Sikakataa kwamba elimu haina umuhimu lakini lazima tukubaliane, masomo kama Physics ni masomo advanced sana na yanahitaji nchi yenye maabara bora na zilizoendelea sana ili kufanyia kazi hizo kanuni zake, Tanzania unaitumia wapi?Kipindi tumefukuzwa chuo kikuu udsm miaka Ile Kuna mjinga mmoja alihoji. Kwanza wanafunzi wa chuo kikuu wanasaidia Nini ktk nchi hii.?
Kipindi kile udsm inajumuisha sokoine na muhimbili.
Mke wa yule mwamba alikua na mimba. Siku ya kuzaa mtoto akakwama ndani. Watu wakamuambia Leo utaujua umuhimu wa wasomi ktk nchi hii.
Bado mdogo
Intellectual ameondoka Poleni Wafiwa.Kwa waliofanikiwa kusoma UDSM miaka ya elfu mbili na kuendelea na kwa waliosoma UDOM pia miaka hii ya karibuni Idara ya physics nadhani jina hili sio geni kwao, DKT. TYILIA Hatunae duniani.
Alipendelea kufundisha course za Electronics na Instrumentation physics.
Alale pema peponi
Amen.View attachment 2067096
Duuuuh una maana gani mkuu?!