TANZIA Dkt. Frank Nicodemus Tyilia Hatunaye duniani

TANZIA Dkt. Frank Nicodemus Tyilia Hatunaye duniani

Alikuwa anayajua sana madude, sema mpaka uipate point cha moto unakuwa umekiona.
Kaka umenikumbusha mbali sana Baada ya kumaliza kozi yake basi akawa anatoa instruction ya mtihani utakavyo kuwa nakutuaga EBWANA SIAKA ONGEA KISWAHILI WACHA WATU WAPIGE MAYOWE NA MILUZI ALITAKA KUKIMBIA AKIULIZA NINI SHIDA wata wakamwambia TEACHER KUMBE UNAJUA KISWAHILI ,. Huyu Dr alikuwa nondo sana ila kumuelewa ilikuwa ngumu hasa KWENYE IT
 
With no disrespect, watu waosoma physics Tanzania inawasaidia nini?
Kipindi tumefukuzwa chuo kikuu udsm miaka Ile Kuna mjinga mmoja alihoji. Kwanza wanafunzi wa chuo kikuu wanasaidia Nini ktk nchi hii.?
Kipindi kile udsm inajumuisha sokoine na muhimbili.
Mke wa yule mwamba alikua na mimba. Siku ya kuzaa mtoto akakwama ndani. Watu wakamuambia Leo utaujua umuhimu wa wasomi ktk nchi hii.
 
Sikakataa kwamba elimu haina umuhimu lakini lazima tukubaliane, masomo kama Physics ni masomo advanced sana na yanahitaji nchi yenye maabara bora na zilizoendelea sana ili kufanyia kazi hizo kanuni zake, Tanzania unaitumia wapi?

Mtu anasoma Physics Ulaya, China wala haina shida, ila Tanzania unasoma bachelor of physics, inakusaidia nini?
 
Kwa waliofanikiwa kusoma UDSM miaka ya elfu mbili na kuendelea na kwa waliosoma UDOM pia miaka hii ya karibuni Idara ya physics nadhani jina hili sio geni kwao, DKT. TYILIA Hatunae duniani.
Alipendelea kufundisha course za Electronics na Instrumentation physics.

Alale pema peponi
Amen.View attachment 2067096
Intellectual ameondoka Poleni Wafiwa.
 
Back
Top Bottom