Dkt. Godwin Mollel: Watanzania wana akili, CHADEMA wakiendelea hivi Chama kitakufa, watakumbuka busara za Mbowe

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,284
Reaction score
7,708
Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel ameweka video hii na kuambatanisha na ujumbe huu:

"Hii ndio reform Watanzania wanataka Siyo zile reform za Lissu na Heche , Watanzania wanaakili , Wakiendelea hivi CHADEMA itakufa , Watakumbuka busara za Mbowe.

Watazania wanataka mabadiliko kwenye maisha yao, siyo Kila mtu aamke na hisia zake zisizo shirikisha tafakuri ya kina atake taifa litekeleze . WATAZANIA WANA AKILI KUBWA KULIKO TUNDU LISSU."
 
Pilipili usoilaz yakuwashia nini.

Wenye akili tunauliza, Mwaka 2020, mwaka 2024 kwenye Serikali za Mitaa Mbowe hakuwepo???
Upinzan ulipata nn.

Hata hivo CDM ikifa, sindo Raha Kwa CCM au??.
 
Haahaa kama hakijakufa Chaumma life chadema?
 
Watanzania tungekuwa na akili waliozaliwa 2000 neno ccm wangelisoma kwenye historia tu na si kukuta Chama kilishageuza nchi kuwa kikoba chake.
 
  • Thanks
Reactions: 004
Watanzania tungekuwa na akili waliozaliwa 2000 neno ccm wangelisoma kwenye historia tu na si kukuta Chama kilishageuza nchi kuwa kikoba chake.
CCM wangeisoma darasani!
 
Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel ameweka video hii na kuambatanisha na ujumbe huu:

"Hii ndio reform Watanzania wanataka Siyo zile reform za Lissu na Heche , Watanzania wanaakili , Wakiendelea hivi CHADEMA itakufa , Watakumbuka busara za Mbowe.

Watazania wanataka mabadiliko kwenye maisha yao, siyo Kila mtu aamke na hisia zake zisizo shirikisha tafakuri ya kina atake taifa litekeleze . WATAZANIA WANA AKILI KUBWA KULIKO TUNDU LISSU."
Vilaza bana sasa kikifa ndiyo vizuri ili nyie wezi muendelee na madaraka yenu au hufurahii pesa za bure bure unazozipata.
 
CCM Inajua Mwaka Huu Inatema Bungo (Madaraka)
 
Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel ameweka video hii na kuambatanisha na ujumbe huu:

"Hii ndio reform Watanzania wanataka Siyo zile reform za Lissu na Heche , Watanzania wanaakili , Wakiendelea hivi CHADEMA itakufa , Watakumbuka busara za Mbowe.

Watazania wanataka mabadiliko kwenye maisha yao, siyo Kila mtu aamke na hisia zake zisizo shirikisha tafakuri ya kina atake taifa litekeleze . WATAZANIA WANA AKILI KUBWA KULIKO TUNDU LISSU."
Maajabu, CCM haitaki CHADEMA ife
 
Yeye ndiye hana akili
 
Huyo mbowe mwenye busara si ndiye aliye chair maanuzi ya no r no e? Naona ss mnachanganyikiwa
 
Pilipili usoilaz yakuwashia nini.

Wenye akili tunauliza, Mwaka 2020, mwaka 2024 kwenye Serikali za Mitaa Mbowe hakuwepo???
Upinzan ulipata nn.

Hata hivo CDM ikifa, sindo Raha Kwa CCM au??.
1. Walimtuhumu Mbowe na kuondoka...lakini leo ndio ana busara?
2. Hivi wao lini wameanza kuitakia mema ccm?
 
Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel ameweka video hii na kuambatanisha na ujumbe huu:

"Hii ndio reform Watanzania wanataka Siyo zile reform za Lissu na Heche , Watanzania wanaakili , Wakiendelea hivi CHADEMA itakufa , Watakumbuka busara za Mbowe.

Watazania wanataka mabadiliko kwenye maisha yao, siyo Kila mtu aamke na hisia zake zisizo shirikisha tafakuri ya kina atake taifa litekeleze . WATAZANIA WANA AKILI KUBWA KULIKO TUNDU LISSU."
Lissu na genge lake linataka kuleta fujo nchini.Tumewashitukia Hawa matapeli wa kisiasa
 
Back
Top Bottom