Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel ameweka video hii na kuambatanisha na ujumbe huu:
"Hii ndio reform Watanzania wanataka Siyo zile reform za Lissu na Heche , Watanzania wanaakili , Wakiendelea hivi CHADEMA itakufa , Watakumbuka busara za Mbowe.
Watazania wanataka mabadiliko kwenye maisha yao, siyo Kila mtu aamke na hisia zake zisizo shirikisha tafakuri ya kina atake taifa litekeleze . WATAZANIA WANA AKILI KUBWA KULIKO TUNDU LISSU."