DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Haahaa kama hakijakufa Chaumma life chadema?Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel ameweka video hii na kuambatanisha na ujumbe huu:
"Hii ndio reform Watanzania wanataka Siyo zile reform za Lissu na Heche , Watanzania wanaakili , Wakiendelea hivi CHADEMA itakufa , Watakumbuka busara za Mbowe.
Watazania wanataka mabadiliko kwenye maisha yao, siyo Kila mtu aamke na hisia zake zisizo shirikisha tafakuri ya kina atake taifa litekeleze . WATAZANIA WANA AKILI KUBWA KULIKO TUNDU LISSU."
Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel ameweka video hii na kuambatanisha na ujumbe huu:
"Hii ndio reform Watanzania wanataka Siyo zile reform za Lissu na Heche , Watanzania wanaakili , Wakiendelea hivi CHADEMA itakufa , Watakumbuka busara za Mbowe.
Watazania wanataka mabadiliko kwenye maisha yao, siyo Kila mtu aamke na hisia zake zisizo shirikisha tafakuri ya kina atake taifa litekeleze . WATAZANIA WANA AKILI KUBWA KULIKO TUNDU LISSU."
CCM wangeisoma darasani!Watanzania tungekuwa na akili waliozaliwa 2000 neno ccm wangelisoma kwenye historia tu na si kukuta Chama kilishageuza nchi kuwa kikoba chake.
Vilaza bana sasa kikifa ndiyo vizuri ili nyie wezi muendelee na madaraka yenu au hufurahii pesa za bure bure unazozipata.Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel ameweka video hii na kuambatanisha na ujumbe huu:
"Hii ndio reform Watanzania wanataka Siyo zile reform za Lissu na Heche , Watanzania wanaakili , Wakiendelea hivi CHADEMA itakufa , Watakumbuka busara za Mbowe.
Watazania wanataka mabadiliko kwenye maisha yao, siyo Kila mtu aamke na hisia zake zisizo shirikisha tafakuri ya kina atake taifa litekeleze . WATAZANIA WANA AKILI KUBWA KULIKO TUNDU LISSU."
Maajabu, CCM haitaki CHADEMA ifeKupitia Ukurasa wake wa Instagram, Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel ameweka video hii na kuambatanisha na ujumbe huu:
"Hii ndio reform Watanzania wanataka Siyo zile reform za Lissu na Heche , Watanzania wanaakili , Wakiendelea hivi CHADEMA itakufa , Watakumbuka busara za Mbowe.
Watazania wanataka mabadiliko kwenye maisha yao, siyo Kila mtu aamke na hisia zake zisizo shirikisha tafakuri ya kina atake taifa litekeleze . WATAZANIA WANA AKILI KUBWA KULIKO TUNDU LISSU."
Yeye ndiye hana akiliKupitia Ukurasa wake wa Instagram, Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel ameweka video hii na kuambatanisha na ujumbe huu:
"Hii ndio reform Watanzania wanataka Siyo zile reform za Lissu na Heche , Watanzania wanaakili , Wakiendelea hivi CHADEMA itakufa , Watakumbuka busara za Mbowe.
Watazania wanataka mabadiliko kwenye maisha yao, siyo Kila mtu aamke na hisia zake zisizo shirikisha tafakuri ya kina atake taifa litekeleze . WATAZANIA WANA AKILI KUBWA KULIKO TUNDU LISSU."
Huyo mbowe mwenye busara si ndiye aliye chair maanuzi ya no r no e? Naona ss mnachanganyikiwaKupitia Ukurasa wake wa Instagram, Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel ameweka video hii na kuambatanisha na ujumbe huu:
"Hii ndio reform Watanzania wanataka Siyo zile reform za Lissu na Heche , Watanzania wanaakili , Wakiendelea hivi CHADEMA itakufa , Watakumbuka busara za Mbowe.
Watazania wanataka mabadiliko kwenye maisha yao, siyo Kila mtu aamke na hisia zake zisizo shirikisha tafakuri ya kina atake taifa litekeleze . WATAZANIA WANA AKILI KUBWA KULIKO TUNDU LISSU."
1. Walimtuhumu Mbowe na kuondoka...lakini leo ndio ana busara?Pilipili usoilaz yakuwashia nini.
Wenye akili tunauliza, Mwaka 2020, mwaka 2024 kwenye Serikali za Mitaa Mbowe hakuwepo???
Upinzan ulipata nn.
Hata hivo CDM ikifa, sindo Raha Kwa CCM au??.
Lissu na genge lake linataka kuleta fujo nchini.Tumewashitukia Hawa matapeli wa kisiasaKupitia Ukurasa wake wa Instagram, Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel ameweka video hii na kuambatanisha na ujumbe huu:
"Hii ndio reform Watanzania wanataka Siyo zile reform za Lissu na Heche , Watanzania wanaakili , Wakiendelea hivi CHADEMA itakufa , Watakumbuka busara za Mbowe.
Watazania wanataka mabadiliko kwenye maisha yao, siyo Kila mtu aamke na hisia zake zisizo shirikisha tafakuri ya kina atake taifa litekeleze . WATAZANIA WANA AKILI KUBWA KULIKO TUNDU LISSU."
HaaaaaaaaCDM ikifa si ndio vizuri kwa CCM
maajabu CCM hawataki CDM ife!