Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Nimejaribu kufichua ila lijafanyiwa kazi na serikali inatakiwa kuchukua sheria kali kwa watu kama hawa wakina shk zid makubuli kuhusu na chuki za kupandikiza haswa makabila.
Dkt. Gwajima D
nafahamu TCRA na wizara yako mnaweza kuwashugulikia wote walishiriki kutoa kipindi hiki online kuhusu mada.
View: https://www.youtube.com/watch?v=9Be9zcMEsag&t=468s
Dkt. Gwajima D
nafahamu TCRA na wizara yako mnaweza kuwashugulikia wote walishiriki kutoa kipindi hiki online kuhusu mada.
YAJUE MAKABILA YANAYOFA KUOA NA YASIO FAA KUOA"HAPA NDIO TUMEANGUKA WANAUME WENGI"-SHK.ZAID MAKUBULI
View: https://www.youtube.com/watch?v=9Be9zcMEsag&t=468s