Atukuzwaye
Senior Member
- Oct 5, 2026
- 191
- 250
Basi acha waendelee kukaa bila elimu.. I disagree, kuna wanaume wanaingia kwenye mahusiano na binti ambae hana elimu amempenda ili kumtengenezea mazingira mazuri na exposure mwanaume anajitoa anampeleka shule katika mazingira ya kujenga mapenzi na maandalizi ya uchumba hata akimtambulisha basi awe na CV nzuri kwa familia, then anatokea mtu anasemaje ni ukatili?I agree
I agree
kweli kabisa kakaSema masela umasikini ni mbaya. Wanawake na watanzania wengi ni masikini na maamuzi ya njaa ni mabaya. Watu wanaanzisha uhusiani na watu hawana hata upendo nao ili life lisonge . Bora mademu wa SPAIN NA FRENCH RIVIERA
Oa kwanza aliyefika umri wa kuoa ndo umsomeshe, sio kusomesha vitoto vya sekondariBasi acha waendelee kukaa bila elimu.. I disagree, kuna wanaume wanaingia kwenye mahusiano na binti ambae hana elimu amempenda ili kumtengenezea mazingira mazuri na exposure mwanaume anajitoa anampeleka shule katika mazingira ya kujenga mapenzi na maandalizi ya uchumba hata akimtambulisha basi awe na CV nzuri kwa familia, then anatokea mtu anasemaje ni ukatili?
ONGEZA SAUTI MHESHIMIWA 😀😀😀😀Hivi kuna haja gani ya kumsomesha mtoto wa mtu wakati wazazi wake baba na mama yake wapo? Wewe unajiingizaje kwenye hiyo shughuli? Ni mkeo?
Mbona wanajengewa nyumba na kununuliwa magari, wanakuja kuolewaWaziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima amesema si sahihi kwa wanaume kuwasomesha mabinti kwa kigezo cha kuja kuwaoa watakapokuwa wakubwa.
Dkt. Gwajima alitoa kauli hiyo baada ya kuwepo kwa visa vingi vya mauaji, vingine vikidai kuwa ni wivu wa mapenzi unaosababishwa na mwanamke kumsaliti mwanaume baada ya kumsomesha.
Akizungumza kwenye kipindi cha Morning Trumpet kinachorushwa na kituo cha runinga cha Azam jana, Dkt. Gwajima alisema hata kama wazazi hawana uwezo wa kumsomesha binti, mwanaume hutakiwi kumsomesha ili uje kumuoa.
Alisema serikali imeweka taasisi za kuwasaidia kuwasomesha mabinti ambao wazazi au walezi hawana uwezo wa kuwasomesha, hivyo hakuna ulazima wa mwanaume kufanya hivyo.
“Hivi kuna haja gani ya kumsomesha mtoto wa mtu wakati wazazi wake baba na mama yake wapo? Wewe unajiingizaje kwenye hiyo shughuli? Ni mkeo?
“Yaani huyu unamwita binti, yupo kwa wazazi wao, wewe tu unaingia katikati lazima ujiulize,” alisema.
Aliongeza: “Nilikuwa hata kama umemsomesha ni ukatili. na kesi moja, eti mtu kalipa ng’ombe mahari Morogoro pale, halafu binti akaja kufika chuo kikuu, mtoto sijui yupo sekondari, ‘form one’ (kidato cha kwanza), sijui yupo ‘primary’ (shule ya msingi)…! Yeye mwanaume kashaanza uwekezaji, jamani!”
Alisema matatizo mengi nchini huanza kumpata binti pale anapokuwa ameshamaliza shule na kujipambanua kihisia kwenye mapenzi kwa mtu anaemhitaji.
Alisisitiza kwamba hawashauri wanaume kuwekeza kwa binti ambaye bado ana umri mdogo, kwa sababu bado binti huyo hajaamua kuchagua mwanaume wa kumpenda na akili yake bado haijawa na uamuzi mzuri.
Ameeleweka vizuri hapa. Kuna mila za kumilikishana mabinti kabla hawajaanza kujitambua. Hapo kweli ni ukatili.Aliongeza: “Nilikuwa hata kama umemsomesha ni ukatili. na kesi moja, eti mtu kalipa ng’ombe mahari Morogoro pale, halafu binti akaja kufika chuo kikuu, mtoto sijui yupo sekondari, ‘form one’ (kidato cha kwanza), sijui yupo ‘primary’ (shule ya msingi)…! Yeye mwanaume kashaanza uwekezaji, jamani!”
Akikujibu nishtue mkuu na Mimi nna ya kwanguDkt. Gwajima D, una uhakika kuwa tukikupiga maswali humu kuhusu unachokisema utachomoka?
Mimi ni katibu wa muda, uliza maswaliDkt. Gwajima D, una uhakika kuwa tukikupiga maswali humu kuhusu unachokisema utachomoka?
Nitafanya hivyo, ila sidhani kama ana ujasiri huo wa kujibu.Akikujibu nishtue mkuu na Mimi nna ya kwangu
Sijajua mh waziri alikuwa anaongea katika muktadha upi.mfano kûna wale ambao tayari wanaishi pamoja kama mke na mume lkn mwanaume akaamua kumsomesha ili wasaidiane kifamilia baadaye mwanamke huyo anaamua kumsaliti mume.hao nao wako upande gani.Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima amesema si sahihi kwa wanaume kuwasomesha mabinti kwa kigezo cha kuja kuwaoa watakapokuwa wakubwa.
Dkt. Gwajima alitoa kauli hiyo baada ya kuwepo kwa visa vingi vya mauaji, vingine vikidai kuwa ni wivu wa mapenzi unaosababishwa na mwanamke kumsaliti mwanaume baada ya kumsomesha.
Akizungumza kwenye kipindi cha Morning Trumpet kinachorushwa na kituo cha runinga cha Azam jana, Dkt. Gwajima alisema hata kama wazazi hawana uwezo wa kumsomesha binti, mwanaume hutakiwi kumsomesha ili uje kumuoa.
Alisema serikali imeweka taasisi za kuwasaidia kuwasomesha mabinti ambao wazazi au walezi hawana uwezo wa kuwasomesha, hivyo hakuna ulazima wa mwanaume kufanya hivyo.
“Hivi kuna haja gani ya kumsomesha mtoto wa mtu wakati wazazi wake baba na mama yake wapo? Wewe unajiingizaje kwenye hiyo shughuli? Ni mkeo?
“Yaani huyu unamwita binti, yupo kwa wazazi wao, wewe tu unaingia katikati lazima ujiulize,” alisema.
Aliongeza: “Nilikuwa hata kama umemsomesha ni ukatili. na kesi moja, eti mtu kalipa ng’ombe mahari Morogoro pale, halafu binti akaja kufika chuo kikuu, mtoto sijui yupo sekondari, ‘form one’ (kidato cha kwanza), sijui yupo ‘primary’ (shule ya msingi)…! Yeye mwanaume kashaanza uwekezaji, jamani!”
Alisema matatizo mengi nchini huanza kumpata binti pale anapokuwa ameshamaliza shule na kujipambanua kihisia kwenye mapenzi kwa mtu anaemhitaji.
Alisisitiza kwamba hawashauri wanaume kuwekeza kwa binti ambaye bado ana umri mdogo, kwa sababu bado binti huyo hajaamua kuchagua mwanaume wa kumpenda na akili yake bado haijawa na uamuzi mzuri.
Wote wako upande mmoja anaouuzungumzia GwajimaSijajua mh waziri alikuwa anaongea katika muktadha upi.mfano kûna wale ambao tayari wanaishi pamoja kama mke na mume lkn mwanaume akaamua kumsomesha ili wasaidiane kifamilia baadaye mwanamke huyo anaamua kumsaliti mume.hao nao wako upande gani.
Si nasikiaga Huwa anawajibu watu mitandaoni Kwa bahati mbaya Mimi sina Facebook,Twitter (x), TikTok, Instagram kwenye simu nna Telegram pamoja na jamii forum peke yake. Kwahiyo akipata muda na huku aje tumsalimie na kumuuliza maswali.Nitafanya hivyo, ila sidhani kama ana ujasiri huo wa kujibu.