The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Picha gani unataka???Ndio nani huyo, weka picha
Dr Doroth naamini sasa umekuwa mama mwema na bora...."Kokote alipo Laazizi wangu Advocate Gwajima
anisikie yeye ndiyo injinia wangu na saa kumi na mbili asubuhi kashanipigia simu na tumezungumza yanayotuhusu na ratiba zake nazijua na yeye zangu anazijua na najua watoto wangu wapo wapi.
Mume wangu kaona vipaji vyangu na mimi nimeona vyake tukashirikiana na kusaidiana, sina haja ya kuringa sababu mimi Waziri na yeye sio waziri.
Nikiwa nyumbani mimi ni Mama Vicky na navaa kitenge changu" Mhe. Dkt Dorothy Gwajima ni waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum
View attachment 3261039
Ya koloPicha gani unataka???
Ooh jamaa alikua anachezea vibao tena😀😀Dr Doroth naamini sasa umekuwa mama mwema na bora....
Hutamnasa vibao vile tena.....back 2003.......siku hazigandiiii.....Amen
Maisha ni safari ndefu atiii.....ukizingua una mke mkaksi unachezeaaa....alikuwa afya negayive anapeoea upepooooOoh jamaa alikua anachezea vibao tena😀😀
Kweli Wanaume tunafanyiwaga ukatili ila hatusemagi tu 🙌Dr Doroth naamini sasa umekuwa mama mwema na bora....
Hutamnasa vibao vile tena.....back 2003.......siku hazigandiiii.....Amen
Jambo jema sana."Kokote alipo Laazizi wangu Advocate Gwajima
anisikie yeye ndiyo injinia wangu na saa kumi na mbili asubuhi kashanipigia simu na tumezungumza yanayotuhusu na ratiba zake nazijua na yeye zangu anazijua na najua watoto wangu wapo wapi.
Mume wangu kaona vipaji vyangu na mimi nimeona vyake tukashirikiana na kusaidiana, sina haja ya kuringa sababu mimi Waziri na yeye sio waziri.
Nikiwa nyumbani mimi ni Mama Vicky na navaa kitenge changu" Mhe. Dkt Dorothy Gwajima ni waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum
View attachment 3261039
"Kokote alipo Laazizi wangu Advocate Gwajima

Kazi juu ya kaziView attachment 3261039
mwambieni avae dera"Kokote alipo Laazizi wangu Advocate Gwajima
anisikie yeye ndiyo injinia wangu na saa kumi na mbili asubuhi kashanipigia simu na tumezungumza yanayotuhusu na ratiba zake nazijua na yeye zangu anazijua na najua watoto wangu wapo wapi.
Mume wangu kaona vipaji vyangu na mimi nimeona vyake tukashirikiana na kusaidiana, sina haja ya kuringa sababu mimi Waziri na yeye sio waziri.
Nikiwa nyumbani mimi ni Mama Vicky na navaa kitenge changu" Mhe. Dkt Dorothy Gwajima ni waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum
View attachment 3261039
Wee mzee alikula mabanzi???😂Dr Doroth naamini sasa umekuwa mama mwema na bora....
Hutamnasa vibao vile tena.....back 2003.......siku hazigandiiii.....Amen
Ukiona mwanamke anajitapa sana mitandaoni kwamba mimi na mfanyie vizuri sana mumewangu, mimi ni mama bora mara namheshimi mume wangu, jua hilo ni garasa tu tupuDr Doroth naamini sasa umekuwa mama mwema na bora....
Hutamnasa vibao vile tena.....back 2003.......siku hazigandiiii.....Amen
Picha gani unataka???
basi sawa naona umeshaweka...Picha gani unataka???