Dkt. Habiba: Ujenzi wa Flyover Mwanakwerekwe na Amani utagharimu Dola Bilioni 18, utaondoa usumbufu wa magari

Dkt. Habiba: Ujenzi wa Flyover Mwanakwerekwe na Amani utagharimu Dola Bilioni 18, utaondoa usumbufu wa magari

Kuna gawio la 9% kwenye kila mkopo Tanganyika unaokopa. Hivyo hizo hela wanazipata chap kwa haraka
 
Kwenye katiba mpya tusisahau kuweka Serikali ya majimbo Ili kila sehemu ifaidike na asilimia 60 ya kipato chake cha jimbo na 40 iende serikali kuu kusawazisha
 
Masikini wa akili ni shida sana
Wana dhiki kali, Badala ya kujenga viwanda
Hii fursa sujui Kama wataipata tena
 
Back
Top Bottom