BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Sasa tatizo hapa ni jitihada ya maksudi kutaka kufanya ushoga uonekana ni kitu cha kawaida na ndio maana tunaona kwenye filamu, miziki n.k kumekuwa kunaingizwa jambo hilo.
Siasa za kitapeli tu hizi. Propaganda.Hata ile list of shame serikali ilikua inawajua
Wauza madawa serikal inawajua
Wezi serikal inawajua
Ubovu wa barabara inajua
Shida ya umeme na maji inajua na
Vitu vingine vingi
Kwahiyo tukae kimya kwakua serikali inajua kila kitu?kuwa serious hata kidogo basi
Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
Hivi akuteue nani wakati unapinga ushoga?Watu hawaelewi pale tunaposema anafanya cheap politics kurudi ulingoni tunaonekana ni mashoga
Wakati anawahadaa watanzania ati ataisaidi serikali kuwapa majina ya wahusika nayaona maigizo sababu hakuna kitu serikali haijui so namuona mtu anayetuongopea .
Acha uongo bana, Mwakyembe toka awe nje ya ulingo, hapo kyela amewahi fanya nini cha kumsema kuwa anatafuta njia, mzee wa watu kakaa kimya hata mkutano wa kijijini kwao tu pale kilanga kata ya ikolo hajawahi itisha hata kikao. zaidi ya kuhudhuria chaguzi za ndani ya chama tuNaungu mkono....mimi nimtu wa Ndandalo hapa Kyela...ila tangu Harrison apigwe chini anafuta njia ya kurudi kwenye ulingo ila Kwa Kyela asahau labda huko Mbwani.
Hili nalo ni siasa?Huyu Mwakyembe bado yupo kwenye anga za Siasa? Ni leftover kwa sasa!
We endelea kuinamishwa hakuna shida.Hizo mila zimeandikwa kwenye jarida gani nikazisome?
Aisee hivi wao wanafaidika na niniUshuuda
2014- njaa kali imenichapa mtaani sina mishe, napendeza tu hasubuhi naangaika kutafuta kazi na kukosa kesho yake muendelezo huo huo mpaka mwaka unaisha naanza tena mizunguuko ya kutafuta kazi mwaka ujao-was so hard
2014- nipo masikani baada ya mizunguuko ya hapa na pale nimepoa- tulikuwa vijana wengi wengi kidogo mida ya saa tano inaenda sita za mchana- akaja uncle tu wa mtaani akatuambia kuna inshu tu ya mahojiano hapo muhimbili kuwa mnahojiwa tu mahojiano yakiisha mnapewa posho -degree nyingi kichwani nikahoji’ mahojiano hayo yanahusu nini! Yule uncle akapangua akasema kila kitu mtakijua huko huko- vijana tukaitana tukafika kama vijana 30 hivi? Yulee uncle akatoa nauli elf 5,5 Kwa kila mmoja na akatuambia mkimaliza mahojiano mtapewa posho na akatoa location- hakuna asiyeijua hospital ya muhimbili so akatuelekeza mpaka kwenye hizo ofisi
Sijui sasa kuwa hicho kitengo kipo hapo muhimbili siku zote au walikodi tu Office kwa ajili ya mahojiano ila yote hayo anayoyasema Mh- hapo yalikuwepo kwenye mahojiano na ilikuwa ukiwa mzembe lazima unase-WALLLAH nilikataa na posho yenyewe ile ile elf 5 niliyopewa kama nauli ilitosha kabsa kunirudisha nyumbani kama nauli-M/MUNGU atusimamie InshAAllah
Kwanza hapo reception kwao tulipofika ni mashoga tupu yaani wamejaa, tukaanza kutonyana jamaa katupa dili la kuja kuwabandua nini? Hawa mashoga- nomaa, hatimaye tukaulizia na kuambiwa ndio hapa kuna interview na tukaitiwa wahusika wakatupa utaratibu wakatuambia anaingia mmoja mmoja kwenye hicho kachumba Kwa ajili ya mahojiano- hatari
Nikatishe story ili nisiwachoshe
Maswali yalikuwa hivi kwenye hicho chumba
Unaulizwa jina lako?
Unaulizwa unasikia kuhusu mapenzi ya jinsia moja au unajua kabsa?
Unaulizwa ulishawahi shiriki mapenzi na mwanaume mwenzako ? Kama uliwahi unaulizwa tena ulijisikiaje?
Kama haujawahi unaulizwa unaonaje? Siku uje kujaribu?
Unaulizwa utapenda uje? Kujaribu na condom au bila condom!
Unaulizwa tena unapenda wewe uwe ndio unamfanya mwenzako au yeye? Ndio anakufanya au wote muwe mnafanyana kwa zamu?
Ukikubali unaambiwa upo? Tayari tukutafutie mtu ambaye atakuwa anakufanya au unamfanya bila tatzo lolote yaani yeye atakuwa anakubali tu umfanye au akufanye?
Na unaulizwa Kama ulishawahi kumuingilia msichana kinyume na maumbile na kama ukikubali wanakiringanisha hicho kitendo ni sawa tu na kumuingilia mwanaume mwenzako na wanakushawishi uwe tayari kumuingilia na mwanaume mwenzako
Wanakuuliza utajisikiaje? Siku ukiingiliwa bila wewe mwenyewe kujua uenda ulikuwa umelala au umelewa je? Utaendelea na hicho kitendo au utaacha baada ya kujua kama umefanyiwa
Wana maswali mengi sana ya mtego mtego- na hapo ukiwa unawaunga mkono kwenye maswali yao ndio posho inaongezeka na ndio wanakuwa wanakujali sana, utapewa chakula na n.k
Na wanakubembeleza ukubali kuingia kwenye mkumbo huo wanakwambia kama hautaki kuingiliwa sio tatzo wewe utakuwa unawaingilia tu wanaotaka kuingiliwa na ukihoji ntawapata wapi? Unaambiwa wapo usiwe na shaka juu ya ilo na kwa malipo kama utahitaji-mtihani sana
Wanomba namba yako ili siku kukiwa na semina utumiwe sms au upigiwe uambiwe uende kuudhuria vikao vyao wanatoa vipeperushi, wanagawa na condom na mafuta special ya kutumia wakati wa tendo - ni msiba kweli kweli
Hapo walikuwepo wariorudi mpaka na elf 50 Kama posho ya siku hiyo na vicheko vingi sana kwangu baada ya kutoka kwenye hicho kachumba na kutimua zangu maana walituambia tule na tusubiri pesa zetu Mimi nikasepa zangu na kuja kupata mrejesho kutoka kwa watu nilioongozana nao- vishawishi mia fill mia lazima uingie mtegoni kama ni kichwa cha panzi.
Sijasema kulazimishwa na ndio maana nimesema mashoga wapo na hufanya huo ushoga, sasa kipi zaidi chenye kuhitajika? Au hao Marekani wanataka nini zaidi?Hizo ni akili zako tu.
Hakuna anayekulazimisha.
Ndugu Oxpower wewe ni mkongwe hapa jamvini nakuomba unisome tena katika comment yangu ya kwanza .Hata ile list of shame serikali ilikua inawajua
Wauza madawa serikal inawajua
Wezi serikal inawajua
Ubovu wa barabara inajua
Shida ya umeme na maji inajua na
Vitu vingine vingi
Kwahiyo tukae kimya kwakua serikali inajua kila kitu?kuwa serious hata kidogo basi
Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
Rafiki tafadhali naomba rejea vizuri habari za Richmond alafu njoo unieleze kujitoa kwa Alison katika hizo mambo .apo hamna cheap politics.
Hivi akuteue nani wakati unapinga ushoga?
Ukipinga ushoga sahau kuhusu teuzi hata tumisaada hutokaa upate.
Ndio maana kina lema,lisu ukiwauliza kuhusu ushoga hawasemi kitu cha kueleweka na hutakaa ujue msimamo wao
Hata serikal yetu ni hivyo hivyo haina majibu,wanalilia ndani kimya kimya tu,hawataki lakin hawana meno ya kusemea kisa njaa.
Hapo kwa Mwakyembe kajilipua na anaijua hiyo vita kuwa ni ngumu,mwakyembe ni mzee wa vita nzito nzito kumbuka ile ishu ya richmond
Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
Nyie ndio mna kiherehere cha kuwazungumzia mashoga kila siku.Sijasema kulazimishwa na ndio maana nimesema mashoga wapo na hufanya huo ushoga, sasa kipi zaidi chenye kuhitajika? Au huo Marekani wanataka nini zaidi?
Ikiwa umemuelewa huyu kiasi ni nini anazungumza tafadhali rejea kwenye comment yangu ya kwanza alafu njoo uihusianishe na huyu asemayo ni kweli kuwa utanielewa.
MODS NASHANGAA KUUNGANISHA MADA ambazo zina maudhui tofauti.Nimefuatilia press conference ya Dr H Mwakyembe juu ya mikakati ya USAID shirika la misaada la Marekani katika jitihada zai kuanzisha mtandao wa mashoga kwa vijana nchini.
Kama Mwakyembe kapata hadi machapisho ya mikakati hiyo, basi tujue Serikali ina habari na mipango hiyo. Maana yake vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vina habari ya mipango hii, na viongozi wetu lazima wako briefed na ushetani huu.
Lakini wako kimyaa utafikiri hawapo nchini.
Nia ya mipango hii ni African depopulation. Nia ni kupunguza idadi ya waafrika masikini na hatimaye kuwatawala.
Mashoga hawazaliani.
Hii ni lazima ni strategy ya muda wa miaka si chini ya 50, ili iwazalie matunda wanayotegemea.
Mipango ya kishenzi kama hii hawawezi kuipeleka nchi zinazo jielewa kama China su Uarabuni.
Nampongeza Rais Museveni na Bunge la Uganda kwa kuwatemea mate usoni hawa watu wasio na haya wala moyo wa kumheshimu Mungu Muumba wa vyote.
Serikali yetu tukufu, AMKA NA SEMA NENO!
Mwakyembe alishabugiNimemsikiliza Mwakyembe hotuba yote! Inatisha na tusione aibu kuchukua hatua. Kama serikali ikaa kimya tunavuna laana na machafuko yasiyosimilika. Dr Mwakyembe ametaja hadi taasisi na NGOs zinazohusika! It's a big shame vyombo vyetu vya usalama hawaku neutralise hili before the damage.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Anawasaidia kazi ndo maana wanawapendakUna mmoja niliwah kusoma nae chuo,mademu wengi walikuwa wanampenda sana maana yeye ndo alikuwa wa kwanza kupata taarifa zote za umbea
Kwa hao wengine sjui lakin mademu wanapenda sana kuwa nao
Kudeal na ushoga ni upuuzi mtupu, viongozi hangaikieni mambo ya maana achaneni na ushenzi, leo hii viongozi waanze kujadili mada za matako tutapeleka wapi hili taifa? Hangaikieni swala la ajira, afya, chakula, malazi, mavazi, elimu na mengineyo. Mambo ya kufokonyoa matako achaneni nayo ni ujinga mtupu.
chap nenda hapo [emoji41]#398Emu type dodoso hicho kitabu kinaelezea nini kuhusu huyo ANT EZEKIEL alikuakuaje akafanyafanyaje mpaka akamuandikia kitabu nini kisa na chanzo?