Oxpower
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 2,166
- 3,077
Umesema anachosema mwakyembe ni cha kweliDaily niko dillema na sitaacha kuwa dilema mpaka siku nikijibiwa na hii serikali .
Ndugu nafanya kazi sehemu ambayo nilihamia nilikuta kuna taasisi binafsi inayokuja hapa kuwafariji hawa wakuitwa mashoga wanapewa hela na zawadi .
Umesema taasisi zipo kweli
Umesema serikali inatambua hilo suala.
Sasa ndugu mwakyembe kosa lake ni lipi hapo na utamuanika katika lipi hasa lililokukera?
Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app