Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Daily niko dillema na sitaacha kuwa dilema mpaka siku nikijibiwa na hii serikali .

Ndugu nafanya kazi sehemu ambayo nilihamia nilikuta kuna taasisi binafsi inayokuja hapa kuwafariji hawa wakuitwa mashoga wanapewa hela na zawadi .
Umesema anachosema mwakyembe ni cha kweli
Umesema taasisi zipo kweli
Umesema serikali inatambua hilo suala.

Sasa ndugu mwakyembe kosa lake ni lipi hapo na utamuanika katika lipi hasa lililokukera?

Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
 
Ni cheap politics anazofanya ati atawapa serikali majina ya wahusika ilihali anajua fika kuwa serikali inajua kila kitu .
 
Emu type dodoso hicho kitabu kinaelezea nini kuhusu huyo ANT EZEKIEL alikuakuaje akafanyafanyaje mpaka akamuandikia kitabu nini kisa na chanzo?
Hatari! Kwanza sio ant ezekiel kama unavyo fikiri! Ngoja nikakichimbe, naja
 
Naungu mkomo....mimi nimtu wa Ndandalo hapa Kyela...ila tangu Harrison apigwe chini anafuta njia ya kurudi kwenye ulingo ila Kwa Kyela asahau labda huko Mbwani.
Watu hawaelewi pale tunaposema anafanya cheap politics kurudi ulingoni tunaonekana ni mashoga

Wakati anawahadaa watanzania ati ataisaidi serikali kuwapa majina ya wahusika nayaona maigizo sababu hakuna kitu serikali haijui so namuona mtu anayetuongopea .
 
Kuna mhadhara mmoja nilimsikia shekhe anasema kama anayoyasema mwakyembe hapo.

Kua kua vijana wanakua recruited kuingia huko, anajaza hizo fomu na kupewa pesa za matumizi ila tu akubali kubanduliwa.

Hali ni mbaya, na nadhani wanaofuatwa na kushawishiwa ni wale vijana wadogo wadogo labda under 17...

Linda linda la mwanao.
 
Haikuwa kuongopeana. Hili suala lipo sana Zanzibar, Tanga, Lamu, Mombasa na Dsm. Kwa sasa limezagaa. Na waarabu wana hii michezo sana sema wao huwa wanapinga hadharani ila wanatenda gizani. Waislamu mimi sitaki wazungumzia.

Kwa Marekani wao hawana Dini ya Taifa na wanachofanya wazungu ni kuondoa unafiki. Wakati sisi tunapiga sana kelele kuwa hatuli kitimoto ila wakati wa mfungo ukiuliza wauzaji watakwambia hasara zao.
Leta aya

Lete aya
 
Swali ni je mtaweza kuendesha nchi bila usa na ulaya,ambapo zaidi ya 40% ya bajeti wanawapa msaada,achilia mbali mikopo na ufadhili mbalimbali,chanjo za watoto zinazotolewa bure mtaweza zilipia wakiacha kutufadhili?

Wengi hawelewi hoja za hao usa au ulaya,hao jamaa wanachotaka ni kuacha unafiki mtu kaamua kutinduliwa mkundugu wake acha atinduliwe wewe ina kuuma nini hasa?yani wanataka kila mtu awe free kwa sexual affiliations zake sio kusimangwa wala kuuwawa kisa.
[emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578]
 
Naona hali ya malalamiko dhidi ya kampeni za kueneza mahusiano ya jinsia moja yameongezeka. Wanaotajwa ni US na nchi nyingine za ulaya kupitia mashirika yao. Je kuna ukweli wa haya?

Na je, zile bendera nyingi za upinde wa mvua zinazoonekana kwenye maandamano yanayoendelea nchini Israel zinamaanisha nini?

NB: video zimenishinda ku‐uploaded
 
Swali ni je mtaweza kuendesha nchi bila usa na ulaya,ambapo zaidi ya 40% ya bajeti wanawapa msaada,achilia mbali mikopo na ufadhili mbalimbali,chanjo za watoto zinazotolewa bure mtaweza zilipia wakiacha kutufadhili?

Wengi hawelewi hoja za hao usa au ulaya,hao jamaa wanachotaka ni kuacha unafiki mtu kaamua kutinduliwa mkundugu wake acha atinduliwe wewe ina kuuma nini hasa?yani wanataka kila mtu awe free kwa sexual affiliations zake sio kusimangwa wala kuuwawa kisa.
Ushoga haujawahi kuwa ni kitu cha kawaida duniani pamoja na kwamba upo toka karne hizo, hata huko Marekani ushoga haujawa kuwa sawa na mapenzi ya jinsia tofauti ya mwanaume na mwanamke. Afrika mashoga wapo pia na hufanya huo ushoga pamoja na kwamba jamii yetu inalichukulia hilo tendo kuwa ni kinyume na maadili yetu.

Sasa tatizo hapa ni jitihada ya maksudi kutaka kufanya ushoga uonekana ni kitu cha kawaida na ndio maana tunaona kwenye filamu, miziki n.k kumekuwa kunaingizwa jambo hilo.
 
Dr Mwakyembe anazingua kama anayo hiyo list kwanini asitaje? Anatupotezea bando tu na muda kama hakutaja kulikuwa na maana gani ya kufanya press?
 
Ni cheap politics anazofanya ati atawapa serikali majina ya wahusika ilihali anajua fika kuwa serikali inajua kila kitu .
Hata ile list of shame serikali ilikua inawajua
Wauza madawa serikal inawajua
Wezi serikal inawajua
Ubovu wa barabara inajua
Shida ya umeme na maji inajua na
Vitu vingine vingi

Kwahiyo tukae kimya kwakua serikali inajua kila kitu?kuwa serious hata kidogo basi

Back
Top Bottom