Mbona umekariri neno la kulazimishwa Nani kasema wazungu wanalazimisha watu kuwa mashoga? Nimekwambia mashoga wapo na hufanya huo ushoga bila kulazimishwa.Nyie ndio mna kiherehere cha kuwazungumzia mashoga kila siku.
Hizi habari hazikuwepo isipokuwa zimekuja kutokana na kiherehere chenu cha kuchokonoa chokonoa makaburi.
Wazungu hawajamlazimisha yeyote kufirwa. Nyie mnafirwa kwa kupenda kwenu msiwasingizie wazungu.
JUX alikuwa anampakua mwakiembe wakati yupo wizara ya sanaa.Hivi Jukis alikutwa na nini? Ndomana ndugu yetu anazidi kulegea. God forgive our sins [emoji120]
Kuna mahali nilisoma wanadai hata hizi pedi nazo zinasababisha uuaji wa madini mwilini kwa kuleta tatizo la homone imbalance, pia kansa za vizazi kwa Ke.Bora wew umefunguka kuliko hao vilaza huko juu wanaoleta utan na kumshambulia kiongozi aliyeamua kutoa taarifa ya uchafu unaotendeka.
Tatizo la nchi hii baadhi ya vijana ama wafuasi wa siasa, wakiona mtu asiye wa mlengo wao kisiasa na Kaleta taarifa wao hupinga tu hatakama inamake sense, wao ni kubisha bisha hovyo.
Ukweli ni kwamba, kati ya wizara za Hovyo na ambazo mashetan ngozi nyeupe wamefanikiwa Kuiteka ni wizara ya Afya.
Upande huu wa afya kuna mengi yamejificha ambayo yanasababisha uharibifu wa maisha ya waTz/waafrika pia afya kuharibika.
Upande huu huu wa afya wanautumia watu weupe kupitisha ajenda zao za depopullation kupitia magonjwa feki mnayoyaogopa kama HIV/AIDS, Cancer, Magonjwa ya moyo, hizo UTI sugu zisizokoma, Ebola, Covid19, magonjwa ya uzazi&ugumba, pia utolewaji wa madawa yanayofupisha maisha ya wagonjwa kama vile hayo ma ARV, chanjo feki wanazowadunga watoto wadogo wakisingizia polio na upuuzi mwingi, pia machanjo hayo hayo ndio uharibu homoni za watoto tangu wakiwa wadogo na hatimae wanakuwa watu wazima wakiwa na Tamaa za ngono za jinsi moja(ushoga).
Kiufupi haya mambo yanajulikana sana, ni vile vichwa ngumu hawataki kuelewa maana wameshaharibiwa akili, pia mambo haya yanapewa nguvu na hizo nchi mnazoziabudu zinawapa mikopo ya kishenzi na kuwasainisha mikataba ya kushetani.
Bila kisahau hata dini wanazitumia vile vile kueneza ushenzi wao wa ushoga, na nyavu yao ya mwisho ya kumnasa mtu mweusi wanajua ni dini, hivyo kupitia dini watawakamata wengi sana, haswa wale vichwa vibovu wafia dini wazee wa kuamini kila jambo bila kuhoji.
Uongozi dhaifu kama huu si rahisi kupambana na haya maovu, labda tuombe huko mbeleni tupate viongozi wasioteteleka wala kuendeshwa na mindset za kitumwa za kiCCM na kichadema.
Ha! Walitengeneza mlango wa kuzimu hapo muimbili!!?Ushuuda
2014- njaa kali imenichapa mtaani sina mishe, napendeza tu hasubuhi naangaika kutafuta kazi na kukosa kesho yake muendelezo huo huo mpaka mwaka unaisha naanza tena mizunguuko ya kutafuta kazi mwaka ujao-was so hard
2014- nipo masikani baada ya mizunguuko ya hapa na pale nimepoa- tulikuwa vijana wengi wengi kidogo mida ya saa tano inaenda sita za mchana- akaja uncle tu wa mtaani akatuambia kuna inshu tu ya mahojiano hapo muhimbili kuwa mnahojiwa tu mahojiano yakiisha mnapewa posho -degree nyingi kichwani nikahoji’ mahojiano hayo yanahusu nini! Yule uncle akapangua akasema kila kitu mtakijua huko huko- vijana tukaitana tukafika kama vijana 30 hivi? Yulee uncle akatoa nauli elf 5,5 Kwa kila mmoja na akatuambia mkimaliza mahojiano mtapewa posho na akatoa location- hakuna asiyeijua hospital ya muhimbili so akatuelekeza mpaka kwenye hizo ofisi
Sijui sasa kuwa hicho kitengo kipo hapo muhimbili siku zote au walikodi tu Office kwa ajili ya mahojiano ila yote hayo anayoyasema Mh- hapo yalikuwepo kwenye mahojiano na ilikuwa ukiwa mzembe lazima unase-WALLLAH nilikataa na posho yenyewe ile ile elf 5 niliyopewa kama nauli ilitosha kabsa kunirudisha nyumbani kama nauli-M/MUNGU atusimamie InshAAllah
Kwanza hapo reception kwao tulipofika ni mashoga tupu yaani wamejaa, tukaanza kutonyana jamaa katupa dili la kuja kuwabandua nini? Hawa mashoga- nomaa, hatimaye tukaulizia na kuambiwa ndio hapa kuna interview na tukaitiwa wahusika wakatupa utaratibu wakatuambia anaingia mmoja mmoja kwenye hicho kachumba Kwa ajili ya mahojiano- hatari
Nikatishe story ili nisiwachoshe
Maswali yalikuwa hivi kwenye hicho chumba
Unaulizwa jina lako?
Unaulizwa unasikia kuhusu mapenzi ya jinsia moja au unajua kabsa?
Unaulizwa ulishawahi shiriki mapenzi na mwanaume mwenzako ? Kama uliwahi unaulizwa tena ulijisikiaje?
Kama haujawahi unaulizwa unaonaje? Siku uje kujaribu?
Unaulizwa utapenda uje? Kujaribu na condom au bila condom!
Unaulizwa tena unapenda wewe uwe ndio unamfanya mwenzako au yeye? Ndio anakufanya au wote muwe mnafanyana kwa zamu?
Ukikubali unaambiwa upo? Tayari tukutafutie mtu ambaye atakuwa anakufanya au unamfanya bila tatzo lolote yaani yeye atakuwa anakubali tu umfanye au akufanye?
Na unaulizwa Kama ulishawahi kumuingilia msichana kinyume na maumbile na kama ukikubali wanakiringanisha hicho kitendo ni sawa tu na kumuingilia mwanaume mwenzako na wanakushawishi uwe tayari kumuingilia na mwanaume mwenzako
Wanakuuliza utajisikiaje? Siku ukiingiliwa bila wewe mwenyewe kujua uenda ulikuwa umelala au umelewa je? Utaendelea na hicho kitendo au utaacha baada ya kujua kama umefanyiwa
Wana maswali mengi sana ya mtego mtego- na hapo ukiwa unawaunga mkono kwenye maswali yao ndio posho inaongezeka na ndio wanakuwa wanakujali sana, utapewa chakula na n.k
Na wanakubembeleza ukubali kuingia kwenye mkumbo huo wanakwambia kama hautaki kuingiliwa sio tatzo wewe utakuwa unawaingilia tu wanaotaka kuingiliwa na ukihoji ntawapata wapi? Unaambiwa wapo usiwe na shaka juu ya ilo na kwa malipo kama utahitaji-mtihani sana
Wanomba namba yako ili siku kukiwa na semina utumiwe sms au upigiwe uambiwe uende kuudhuria vikao vyao wanatoa vipeperushi, wanagawa na condom na mafuta special ya kutumia wakati wa tendo - ni msiba kweli kweli
Hapo walikuwepo wariorudi mpaka na elf 50 Kama posho ya siku hiyo na vicheko vingi sana kwangu baada ya kutoka kwenye hicho kachumba na kutimua zangu maana walituambia tule na tusubiri pesa zetu Mimi nikasepa zangu na kuja kupata mrejesho kutoka kwa watu nilioongozana nao- vishawishi mia fill mia lazima uingie mtegoni kama ni kichwa cha panzi.
Mwanzo mwisho!Kipo full
Ingependeza zaidi angejilipua wakati akiwa madarakani waziri.Waziri wa zamani wa wizara mbalimbali amesema kuna chama la mashoga hapa Tanzania na wana uongozi wao wa kitaifa na kimataifa, kimkoa na kiwilaya atawataja na kukabidhi majina yao kwa mamlaka husika ili wachukue hatua.
Amesema anayo majina yao wote namba zao za simu na washirika wao wote
USSR
----
Mashoga wana mkurugenzi mkuu wao kabisa wa kuendeleza masuala ya ushoga Tanzania, jina lake ninalo na hata namba yake pia, nitawasilisha serikalini. Pia kuna wenyeviti wa mikoa na mtandao wa ufuatiliaji hadi vijijini
Kuna wahamasishaji wa masuala ya ushoga ngazi ya kanda, ninayo orodha ya majina yao pamoja na namba zao za simu. Na wahamasishaji hawa wapo kwa miaka mingi tu, naomba mtambue ndugu zangu hali ni mbaya sana
Kuna dodoso maalum la masuala ya ushoga ambalo ukilijaza linapelekwa Marekani, na pia kuna mwongozo maalum wa mafunzo ya mabadiliko ya tabia na mawasiliano ya wanaume wanaofanya ngono na wanaume wenzao, mwongozo huo upo
Na tumekaa na vijana ambao ni mashoga, niwaambie tu wanatamani kabisa kurudi katika hali ya zamani, ukimuuliza aliingiaje, mwingine anakwambia nilianza kidogo kidogo darasa la tatu hata sijui niliingiaje, na natamani kurudi. Ukimsikiliza machozi yanataka kutoka
"Sheria yetu ya kudhibiti ushoga inahitaji marekebisho, inapaswa kuwa na meno ya kutosha na kung'ata. Mfano kwa msagaji adhabu yake ni kati ya mwaka mmoja na miaka mitano jela au faini kati ya shilingi laki moja na laki tatu, na sheria hii inaangalia zaidi kufanyika kwa tendo, kuna umuhimu ikaangalia na mazingira ya kupelekea jinai hiyo kufanyika, na mara nyingi anakamatwa shoga lakini baasha hakamatwi
Kwa kufuru,upuuzi, uchafu na uasi na ushetani unaoufanywa na wanadamu hapa duniani, unafanya yaliyofanywa na Sodoma na Gomora kuwa 'cha mtoto
Kule Marekani, watoto wa miaka 5-7 wanafundishwa kwamba, umezaliwa na sehemu za siri za kiume lakini ukijisikia na ukipenda, unaweza ukaamua kuendelea kuwa mwanaume au la, na unaweza ukaoa mwanaume au mwanamke
Mwaka 2016 Serikali yetu ilimfukuza mwakilishi wa Mfuko wa Ukimwi wa Rais wa Marekani alituharibia watoto wetu sana, lakini sasa kuna mwanaume mwingine kutoka Marekani yupo hapa Dar es Salaam anatuharibia watoto wa kiume, na taarifa zake tumeshaziwasilisha polisi
Chanzo: Jambo TV
Tanzania eeeeh....nchi yangu ooooh...[emoji24]Ushuuda
2014- njaa kali imenichapa mtaani sina mishe, napendeza tu hasubuhi naangaika kutafuta kazi na kukosa kesho yake muendelezo huo huo mpaka mwaka unaisha naanza tena mizunguuko ya kutafuta kazi mwaka ujao-was so hard
2014- nipo masikani baada ya mizunguuko ya hapa na pale nimepoa- tulikuwa vijana wengi wengi kidogo mida ya saa tano inaenda sita za mchana- akaja uncle tu wa mtaani akatuambia kuna inshu tu ya mahojiano hapo muhimbili kuwa mnahojiwa tu mahojiano yakiisha mnapewa posho -degree nyingi kichwani nikahoji’ mahojiano hayo yanahusu nini! Yule uncle akapangua akasema kila kitu mtakijua huko huko- vijana tukaitana tukafika kama vijana 30 hivi? Yulee uncle akatoa nauli elf 5,5 Kwa kila mmoja na akatuambia mkimaliza mahojiano mtapewa posho na akatoa location- hakuna asiyeijua hospital ya muhimbili so akatuelekeza mpaka kwenye hizo ofisi
Sijui sasa kuwa hicho kitengo kipo hapo muhimbili siku zote au walikodi tu Office kwa ajili ya mahojiano ila yote hayo anayoyasema Mh- hapo yalikuwepo kwenye mahojiano na ilikuwa ukiwa mzembe lazima unase-WALLLAH nilikataa na posho yenyewe ile ile elf 5 niliyopewa kama nauli ilitosha kabsa kunirudisha nyumbani kama nauli-M/MUNGU atusimamie InshAAllah
Kwanza hapo reception kwao tulipofika ni mashoga tupu yaani wamejaa, tukaanza kutonyana jamaa katupa dili la kuja kuwabandua nini? Hawa mashoga- nomaa, hatimaye tukaulizia na kuambiwa ndio hapa kuna interview na tukaitiwa wahusika wakatupa utaratibu wakatuambia anaingia mmoja mmoja kwenye hicho kachumba Kwa ajili ya mahojiano- hatari
Nikatishe story ili nisiwachoshe
Maswali yalikuwa hivi kwenye hicho chumba
Unaulizwa jina lako?
Unaulizwa unasikia kuhusu mapenzi ya jinsia moja au unajua kabsa?
Unaulizwa ulishawahi shiriki mapenzi na mwanaume mwenzako ? Kama uliwahi unaulizwa tena ulijisikiaje?
Kama haujawahi unaulizwa unaonaje? Siku uje kujaribu?
Unaulizwa utapenda uje? Kujaribu na condom au bila condom!
Unaulizwa tena unapenda wewe uwe ndio unamfanya mwenzako au yeye? Ndio anakufanya au wote muwe mnafanyana kwa zamu?
Ukikubali unaambiwa upo? Tayari tukutafutie mtu ambaye atakuwa anakufanya au unamfanya bila tatzo lolote yaani yeye atakuwa anakubali tu umfanye au akufanye?
Na unaulizwa Kama ulishawahi kumuingilia msichana kinyume na maumbile na kama ukikubali wanakiringanisha hicho kitendo ni sawa tu na kumuingilia mwanaume mwenzako na wanakushawishi uwe tayari kumuingilia na mwanaume mwenzako
Wanakuuliza utajisikiaje? Siku ukiingiliwa bila wewe mwenyewe kujua uenda ulikuwa umelala au umelewa je? Utaendelea na hicho kitendo au utaacha baada ya kujua kama umefanyiwa
Wana maswali mengi sana ya mtego mtego- na hapo ukiwa unawaunga mkono kwenye maswali yao ndio posho inaongezeka na ndio wanakuwa wanakujali sana, utapewa chakula na n.k
Na wanakubembeleza ukubali kuingia kwenye mkumbo huo wanakwambia kama hautaki kuingiliwa sio tatzo wewe utakuwa unawaingilia tu wanaotaka kuingiliwa na ukihoji ntawapata wapi? Unaambiwa wapo usiwe na shaka juu ya ilo na kwa malipo kama utahitaji-mtihani sana
Wanomba namba yako ili siku kukiwa na semina utumiwe sms au upigiwe uambiwe uende kuudhuria vikao vyao wanatoa vipeperushi, wanagawa na condom na mafuta special ya kutumia wakati wa tendo - ni msiba kweli kweli
Hapo walikuwepo wariorudi mpaka na elf 50 Kama posho ya siku hiyo na vicheko vingi sana kwangu baada ya kutoka kwenye hicho kachumba na kutimua zangu maana walituambia tule na tusubiri pesa zetu Mimi nikasepa zangu na kuja kupata mrejesho kutoka kwa watu nilioongozana nao- vishawishi mia fill mia lazima uingie mtegoni kama ni kichwa cha panzi.
Duuuh [emoji15][emoji2960]Kazi ipo nitarudi.
NB.
KUWENI MAKINI MNO NA VIDONGE VYA UZAZI WA MPANGO. MNALETA MASHOGA
Alison anatufanya wabongo mazuzu sana, halafu mbona hakupaza sauti wakati akiwa waziri serikalini ili apogee ban hata ya kuzurula na pesa za wapiga kura. the only person who came out was RC Makonda by thenDaily niko dillema na sitaacha kuwa dilema mpaka siku nikijibiwa na hii serikali .
Ndugu nafanya kazi sehemu ambayo nilihamia nilikuta kuna taasisi binafsi inayokuja hapa kuwafariji hawa wakuitwa mashoga wanapewa hela na zawadi .
Simply because nilikuwa mgeni nisingeweza kuhoji ila baada ya kupewa mikoba nikahoji uwepo wa hii taasisi nikapewa barua ya hiyo taasisi pamoja na barua kuroka serikalini kwa maana kwenye uongozi wa juu ukitaka hii taasisi ipewe ushirikiano katika shughuli zake .
Dear friends , naheshimu sexuality ya mtu hasa mtu awe shoga au asiwe ila ukweli ni kuwa sipendezwi na mtu shoga , sasa kinachoniuma kila hawa masponsor wa mashoga wanapokuja wanawaita watu wao wanakutana hapa kazini na kupewa haki zao hususani hela na zawadi pamoja na kufarijiwa kuwa ipo siku watakuwa huru katika ardhi ya Tanzania .
Pia wanaambiwa if kuna wenzao wanaowajua basi wasisite kuwaleta wajiunge hapo .
Ukweli ni kuwa vijijini kote kwenye vituo vya afya na hizi Zahanati kuna taasisi nyingi zenye baraka toka serikalini zinazokuja kupromote haya mambo .
Ndiyo maana sina uwezo wa kupingana na Mwakyembe kwa hilo japo najua anatuchora sababu yeye anajinasibisha kuwa serikali haiwajui wahusika kitu ambacho sio kweli .
Alison stop making Tanzanians fool , huko unakojaribu kuibukia tutakuanika hapa jamvini sababu Kyela na Tukuyu hakuna lisilojulikana out of unavyohisi ni siri ila ushahidi na kila kitu kipo .
So fanya kiki zingine sio haya.
Ndiyo Mashoga yenyewe hayo, Mungu ayalaani yao na vizazi vyao vyote. Amina.Halafu huwa sielewi kwann akitokea kiongozi akawa anafanya kampeni ya kutokomeza mashoga huwa kunatokea watu na vikundi vyao kumpinga, hawa watu wanakuwa na ajenda gani nyuma ya pazia, wanafurahia haya mambo au?
AminaNdiyo Mashoga yenyewe hayo, Mungu ayalaani yao na vizazi vyao vyote. Amina.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Alison anatufanya wabongo mazuzu sana, halafu mbona hakupaza sauti wakati akiwa waziri serikalini ili apogee ban hata ya kuzurula na pesa za wapiga kura.
Wakubwa serikalini ndo uozo kabisa 🤢🤮🤢RPC wa Dsm wakati huo Alfred Gewe alishawahi pelekewa askari choko. Unaambiwa jamaa alikutwa amevaa chupi 5 kwenye ukaguzi ofisini kwa Gewe. Gewe mwenyewe alishangaa pale askari huyo alimpotajia askari machoko wenzake na baadhi ya wakubwa serikalini waliokuwa na tabia hizo.
lazima utakuwa shoga wewe, unaona wakihangaika na nyinyi ni hatariKudeal na ushoga ni upuuzi mtupu, viongozi hangaikieni mambo ya maana achaneni na ushenzi, leo hii viongozi waanze kujadili mada za matako tutapeleka wapi hili taifa? Hangaikieni swala la ajira, afya, chakula, malazi, mavazi, elimu na mengineyo. Mambo ya kufokonyoa matako achaneni nayo ni ujinga mtupu.
Toa maoni usiishie tu kusema aiseee!Aisee [emoji3063]
Umenielewa vyema ndugu .Alison anatufanya wabongo mazuzu sana, halafu mbona hakupaza sauti wakati akiwa waziri serikalini ili apogee ban hata ya kuzurula na pesa za wapiga kura. the only person who came out was RC Makonda by then
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Atakuwa bhasha! [emoji13] [emoji13]Kawajuaje