Bora wew umefunguka kuliko hao vilaza huko juu wanaoleta utan na kumshambulia kiongozi aliyeamua kutoa taarifa ya uchafu unaotendeka.
Tatizo la nchi hii baadhi ya vijana ama wafuasi wa siasa, wakiona mtu asiye wa mlengo wao kisiasa na Kaleta taarifa wao hupinga tu hatakama inamake sense, wao ni kubisha bisha hovyo.
Ukweli ni kwamba, kati ya wizara za Hovyo na ambazo mashetan ngozi nyeupe wamefanikiwa Kuiteka ni wizara ya Afya.
Upande huu wa afya kuna mengi yamejificha ambayo yanasababisha uharibifu wa maisha ya waTz/waafrika pia afya kuharibika.
Upande huu huu wa afya wanautumia watu weupe kupitisha ajenda zao za depopullation kupitia magonjwa feki mnayoyaogopa kama HIV/AIDS, Cancer, Magonjwa ya moyo, hizo UTI sugu zisizokoma, Ebola, Covid19, magonjwa ya uzazi&ugumba, pia utolewaji wa madawa yanayofupisha maisha ya wagonjwa kama vile hayo ma ARV, chanjo feki wanazowadunga watoto wadogo wakisingizia polio na upuuzi mwingi, pia machanjo hayo hayo ndio uharibu homoni za watoto tangu wakiwa wadogo na hatimae wanakuwa watu wazima wakiwa na Tamaa za ngono za jinsi moja(ushoga).
Kiufupi haya mambo yanajulikana sana, ni vile vichwa ngumu hawataki kuelewa maana wameshaharibiwa akili, pia mambo haya yanapewa nguvu na hizo nchi mnazoziabudu zinawapa mikopo ya kishenzi na kuwasainisha mikataba ya kushetani.
Bila kisahau hata dini wanazitumia vile vile kueneza ushenzi wao wa ushoga, na nyavu yao ya mwisho ya kumnasa mtu mweusi wanajua ni dini, hivyo kupitia dini watawakamata wengi sana, haswa wale vichwa vibovu wafia dini wazee wa kuamini kila jambo bila kuhoji.
Uongozi dhaifu kama huu si rahisi kupambana na haya maovu, labda tuombe huko mbeleni tupate viongozi wasioteteleka wala kuendeshwa na mindset za kitumwa za kiCCM na kichadema.