Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

lazima utakuwa shoga wewe, unaona wakihangaika na nyinyi ni hatari
Acha kuziba ufahamu wako, leo hii viongozi waanze kujadili mada za makalio si watakuwa watu wa hovyo? Wajadili mambo yenye tija katika taifa habari za makalio ni upuuzi mtupu ndio maana mtu mwenye akili timamu hawezi kuzungumzia, unapozungumzia mambo ya kuchokonoa makalio utaonekana mjinga, zungumzia mambo ya maana kama ajira miundombinu na mengineyo
 
Acha ujinga basi wewe, huyo Jamaa si ndiye alitetea kabisa hao kenge akidai hawezi kuingilia mambo ya faragha za Watu? Kupakuana vinyesi ndiyo mambo ya faragha? Nimekutukana kwa kilugha [emoji57]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
ungenielewa kwanza nasema nn ,ungelingua nimemanisha nn ...umejibu bila kunielewa nasema nn nivema ungeniuliza namanisha nn ...na lisu hajawahi tamka huo upuuzi ila alijibu jambo kwamaneno ya kisheria kipindi hard talk BBC....kwamba hawezi ingilia mambo ya faragha zawatu na katiba ya nchi yetu inakataza hilo na Ili swala la ushongo nchini Tanzania lisitekelezwe au litekelezwe ifumuliwe au iangaliwe upya na sio kwasasa ,kimsingi ukifatilia Kwa ukaribu au undani kupitia Sheria hiyo ushoga umeruhusiwa kitambo nchini na utekelezaji wake niwasiri ....... Jiulize ni lini wewe umehojiwa na hata babako kwann unapendelea kulala pamoja na umri huo na wanaume wezako

Msibani kwenyewe bado umekua unalala sehemu Moja na wanaume wezako bado unalala hadi unakoroma hua hujisitukii , mmezoea kauli zahovyohovyo kutoka kwawajinga wezenu ccm ,mkiambiwa ukweli mnashindwa kutafsiri Ile logic yamtu ila mnaaza kumponda
 
INDEED.
 
Dkt Mwakyembe na viongozi wengine wakubwa Serikalini tafadhali zungumzie mambo yenye tija katika Taifa letu ikiwemo ajira, elimu, miundombinu nakadhalika.

Swala la ushoga ni jambo la kipuuzi na halifai hata kidogo kuzungumzia. Swala hilo linahusiana na malezi kwahiyo wazazi na walezi wanapaswa kubeba hili jukumu. Kiongozi mkubwa serikalini unapozungumzia ni sawa na kushusha hadhi yako kwasababu ni swala linalohusiana na makalio leo hii tujadili makalio tutakuwa watu wa hovyo.

Wananchi wanataka kufahamu kuwa ni lini watapata ajira, ni lini gharama za maisha zitashuka, ni lini kodi itakuwa rafiki kwa wananchi na mengineyo mengi.
 

Kuna wapo walioendelea na hiyo project mkuu na sijataka nizungumze yote hapa- usiropokwe tu bila fact

Na siwezi weka personality za watu hapa coz i know - watu tulioudhuria kwenye ilee interview hapa wapo na wameona so nikianza kusema kuna watu walishiriki tendo watajisikiaje! Mkuu japo kuwa hawatanijua wazi lakini watahisi anaweza akawa fulani au fulani so usijiongeleshe ili upate mihemko ya wengine

Nipo bze sana siwezi nikajibu upuuzi mwengine wowote other ways iwe inahitajika nijibu na mtu awe ameandika vya maana sio kutaka mihemko ya wengine

Be careful - [emoji1478]
 
Hakika, ni taifa la hasara sana linaloachana na issue halisi kwenda kufuatilia watu wanavyofanya mapenzi.
Tatizo sio kulawitiana tatizo kuhamasisha kurubuni na kulaghai watu wajiingize kwa hivo vitendo
 
Sawa, lakini kumbuka sharti la kwanza la hizo dodoso ni kwamba, mahojaji (interviewees) wa hizo dodoso lazima wawe mashoga, na nina wasiwasi sana ilikuwaje wewe ukaenda huko!

Hizo dodoso huwa zinapelekwa kwa walengwa husika na unataarifiwa kabisa kabla ya kuhojiwa! Ni RESEARCH QUESTIONNAIRES for academic purposes ambazo ni kawaida sana kwa tafiti mbalimbali zinazofanywa na CHUO CHA MUHIMBILI.

Wewe sema ulikuwa na njaa zako ukavamia mtumbwi wa vibwengo ili upate hiyo elfu tano ya kula ugali hapa mjini. Lakini usiseme eti umelazimishwa uwe shoga! Jinga kabisa!

Siku nyingine usivamie mitumbwi usiyojua inaelekea wapi, utazama na kutafunwa tigo.
 
hakuna vita tulowahi kushinda,sababu hatuko serious. na hii naona tukishindwa mchana kweupe
 
amezungumza kama mzazi au mlezi na aliyazungumza katika kongamano lililokuwa likijadili jambo husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…