Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Kwa hiyo wewe unaona hilo suala halina tija kwa taifa?
Yaani wewe huoni umuhimu wa Mwakyembe kulizungumzia?
Nini kinakuuma kwa yeye kulizungumzia?
Huyo MWAKIEMBE hana moral authority yoyote ya kuzungumzia ushoga.

Jitu JIZI FISADI limezeeka na kujichokea linawezaje kufokea ushoga?

Linatiririsha maudenda linatuzuga linapambana na vinyesi.
 
Nina wasiwasi na wewe,napata mashaka na wewe,Yan kiongoz asikemee kufilana .duuuuu dunia imeisha au wewe ni mmoja wào.kuna wakati napata tabu kidogo juu ya uwezo na fikra za watu hum jf.napata mashaka kidogo
 
umekimbilia Huku kuandika ujinga wako na unaona shida tukiwajadili mnatakiwa mjadiliwe na mtungiwe sheria kali, sheria ya sasa haiwatoshi badilikeni hampo salama tabia za kijinga hizi pelekeni kwa wajinga wenzenu ulaya huko,
 
Mwakyembe hana hadhi kihivyo.

Siku zote ni mtafuta kick.

Ndiyo maana kaweza kuongea anavyoongea.
 
Imagine kina mama wanajifungulia chini, maji bado changamoto, umeme wa manati halafu eti kama taifa tukae tunafatilia vinyeo vya watu!!

Ujinga all the way.
Nasikia wanawatanguliza vikongwe kwenye hii vita ya vinyesi.

Lengo ni kwamba, hawa vikongwe hata wakishughulikiwa na mabeberu haina shida sana kwa sababu wamekaribia kujifia.

Kwahiyo tegemea kuwaona vikongwe wengine wakijitokeza kwenye hii vita ya vinyesi.
 
Comment yangu Bora ni hii
 
Mwanasiasa ni mwanasiasa, kwa hiyo hapo mwanzoni alikuwa hajui kama anawajua hao aliowaongelea mpaka hili tukio? Kwamba anasubiri nini kama anaona ana wajibu wa kutoa taarifa kwa vyombo husika?
Mwanasiasa si wa kumwamini, kuna anachotafuta.
Anatafuta KIKI KWA PIKIPIKI.

Amekuwa waziri kwa miaka SALASINI na hatukuona anafokea mashoga.

Leo limejichokea limezeeka linatiririsha maudenda ndo linajifanya linapambana na vinyesi.

Hii SIO KWELI.
 
Liendelee kufichwa au mnataka TU lifichwe Ili ccm waendelee kunufaika nalo
 
Cjaelewa hapo wanawatengeneza au wanawaibua,nahisi Huyu dada hukufanya utafiti yakinifu,kilichokuwa kinafanyika ni kuwabaini ,wanaelimishwa namna ya kujikinga na HIV wanapewa huduma za kitabibu IE uzazi wa mpango ,condom kupima HIV,PrEP nk ndo lilikuwa Lengo kuu la mradi,na si kwamba waliishia hapo miradi inaendelea kama kawaida inabadilishwa majina tu,kingine mbona kuwaattack Local NGOs while zinakuwa funded na int.NGOs na wala hazizungumziwi. Wao ni watekelezaji wa mwisho tu
 
Huyo dada ni Mbwigila tu.
Anachofanya ni kupotosha. Hayo mashirika yana miradi yenye component ya kuwahudumia hao watu kama sehemu ya intervention na hawapo mashoga pekee, kuna watumiaji wa madawa ya kulevya na malaya wanaojiuza na wengineo ambao ni underserved.

Yeye anavyoongea utadhani labda wanawaandikisha na kwenda kuwaf**ranisha. Inawezekana, labda wapo wanao watengeneza, dunia kubwa hiim
 
Mzee alipataje namba zao mpaka hao viongozi wa huo mtandao?
Maana nasikiaga kwamba hivi vyama vya siri kama "furiimathoni" huwezi kujua siri zao mpaka uwe mwanachama[emoji848]
Kwa taarifa yako haya mambo yalivuma sana 2016 kuna mradi maarufu ulikuja miaka hiyo,ulikuja ma miongozo yake mmoja wapo ulishikwa kwa clip na mh pale..wananchi wa shy pamoja na baraza la madiwani waliamua kufunga ofisi mojawapo iliyojazwa na mh wakiwa na vilainishi kwa ajili ya kupewa mashoga ,uzi upo humu pia..hakuna siri mkuu haya mambo yapo mda tu ss hivi watu wanashtuka akati miradi ipo na inaenandelea kuchanja mbuga na mashirika yanatekeleza kama kawaida kwa kivuli cha ukimwi.
 
Amehemukwa aisee tatizo alikuwa anaenda kufanya utafiti kama mwizi ,kw nn basi aliwahoji watekelezaji wa mradi yy alitumia fikra zake binafsi na umbea wa mtaani au pengine hakuhoji mnufaika wa mradi hata mmoja.

Kwa anaetambua miradi hii vilivo hawezi kubaliana Naye, kaenda na upepo wa sasa alijua ataeleweka kwa empty set wengi.
 
Mwakyembe hayawani au kanyimwa ruzuku. Alikuwa wapi miaka yote tangu atambue uchafu huu?
 
SIJAONA UNAFIKI WA MWAKYEMBE

Kila jambo linawakati wake,na wakati unategemeana na matukio yaliyopo. Yani ni sawa et naanza kujenga nyumbs leo unasema ni mnafiki kwanini sikujenga zamani na nilikua nmepanga.

Zingatia jukwaa alilozungumzia,kulikua na nini hadi akasema hivyo?

Mwakyembe ametushtua wengi na ametuambia wazi kuwa serikali yetu inayajua haya na imekaa kimya.

Amesema atataja!we unasema kwanini hajataja leo?kiongozi huoni kama unampangia mbinu wakati hata hujui hiyo list kaipataje?

Mwakyembe katika hili sioni kama ameleta cheap politics kwanza kwakua yupo CCM,na ameinanga serikali ya CCM,hivyo hapo hawezi pata teuzi yoyote kwakua anapingana na mabeberu yanatotupa misaada.

Binafsi naona tuungane nae hasa kwakua ametangaza vita ngumu,hapo sio CCM wala CDM watakua upande wake.

Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…