BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Sisi tunajua kauli ya serikali ni hii.amezungumza kama mzazi au mlezi na aliyazungumza katika kongamano lililokuwa likijadili jambo husika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi tunajua kauli ya serikali ni hii.amezungumza kama mzazi au mlezi na aliyazungumza katika kongamano lililokuwa likijadili jambo husika.
Sasa lina ukubwa gani?Yani we unaona ushoga ni Jambo dogo ktk nchi hii?
Ukubwa wake ni nini?Yani we unaona ushoga ni Jambo dogo ktk nchi hii?
Huyo MWAKIEMBE hana moral authority yoyote ya kuzungumzia ushoga.Kwa hiyo wewe unaona hilo suala halina tija kwa taifa?
Yaani wewe huoni umuhimu wa Mwakyembe kulizungumzia?
Nini kinakuuma kwa yeye kulizungumzia?
Nina wasiwasi na wewe,napata mashaka na wewe,Yan kiongoz asikemee kufilana .duuuuu dunia imeisha au wewe ni mmoja wào.kuna wakati napata tabu kidogo juu ya uwezo na fikra za watu hum jf.napata mashaka kidogoDkt Mwakyembe na viongozi wengine wakubwa Serikalini tafadhali zungumzie mambo yenye tija katika Taifa letu ikiwemo ajira, elimu, miundombinu nakadhalika.
Swala la ushoga ni jambo la kipuuzi na halifai hata kidogo kuzungumzia. Swala hilo linahusiana na malezi kwahiyo wazazi na walezi wanapaswa kubeba hili jukumu. Kiongozi mkubwa serikalini unapozungumzia ni sawa na kushusha hadhi yako kwasababu ni swala linalohusiana na makalio leo hii tujadili makalio tutakuwa watu wa hovyo.
Wananchi wanataka kufahamu kuwa ni lini watapata ajira, ni lini gharama za maisha zitashuka, ni lini kodi itakuwa rafiki kwa wananchi na mengineyo mengi.
Mwakyembe hana hadhi kihivyo.Dkt Mwakyembe na viongozi wengine wakubwa Serikalini tafadhali zungumzie mambo yenye tija katika Taifa letu ikiwemo ajira, elimu, miundombinu nakadhalika.
Swala la ushoga ni jambo la kipuuzi na halifai hata kidogo kuzungumzia. Swala hilo linahusiana na malezi kwahiyo wazazi na walezi wanapaswa kubeba hili jukumu. Kiongozi mkubwa serikalini unapozungumzia ni sawa na kushusha hadhi yako kwasababu ni swala linalohusiana na makalio leo hii tujadili makalio tutakuwa watu wa hovyo.
Wananchi wanataka kufahamu kuwa ni lini watapata ajira, ni lini gharama za maisha zitashuka, ni lini kodi itakuwa rafiki kwa wananchi na mengineyo mengi.
Nasikia wanawatanguliza vikongwe kwenye hii vita ya vinyesi.Imagine kina mama wanajifungulia chini, maji bado changamoto, umeme wa manati halafu eti kama taifa tukae tunafatilia vinyeo vya watu!!
Ujinga all the way.
Comment yangu Bora ni hiiMwakyembe ameongea yake na wewe ongea yako hatuwezi nchi nzima tuzungumzie ajira ambazo hazipatikani na hazitapatikana. Sasa kama wanaume wanataka kufilana hata hizo ajira zikija hawawezi kufanya. Kwa sababu pamoja na mambo mengine Ushoga umesababishw akwa kiasi kikubw na uvivu na uzembe hivyo vijana wanakimbilia maisha rahisi
Anatafuta KIKI KWA PIKIPIKI.Mwanasiasa ni mwanasiasa, kwa hiyo hapo mwanzoni alikuwa hajui kama anawajua hao aliowaongelea mpaka hili tukio? Kwamba anasubiri nini kama anaona ana wajibu wa kutoa taarifa kwa vyombo husika?
Mwanasiasa si wa kumwamini, kuna anachotafuta.
Liendelee kufichwa au mnataka TU lifichwe Ili ccm waendelee kunufaika naloDkt Mwakyembe na viongozi wengine wakubwa Serikalini tafadhali zungumzie mambo yenye tija katika Taifa letu ikiwemo ajira, elimu, miundombinu nakadhalika.
Swala la ushoga ni jambo la kipuuzi na halifai hata kidogo kuzungumzia. Swala hilo linahusiana na malezi kwahiyo wazazi na walezi wanapaswa kubeba hili jukumu. Kiongozi mkubwa serikalini unapozungumzia ni sawa na kushusha hadhi yako kwasababu ni swala linalohusiana na makalio leo hii tujadili makalio tutakuwa watu wa hovyo.
Wananchi wanataka kufahamu kuwa ni lini watapata ajira, ni lini gharama za maisha zitashuka, ni lini kodi itakuwa rafiki kwa wananchi na mengineyo mengi.
Rejeaa akiwa wizara ya sanaa alikuwa anaonekana sana na jux kwenye mazingira ya kutatanisha.Mwakyembe nitoke vipi.......natoka single ya mashoga sasa wakimtaja kuwa yeye ndio mteja was mkubwa ?
Nasubiri jamaa anipe go aheadLeta aya
Lete aya
Cjaelewa hapo wanawatengeneza au wanawaibua,nahisi Huyu dada hukufanya utafiti yakinifu,kilichokuwa kinafanyika ni kuwabaini ,wanaelimishwa namna ya kujikinga na HIV wanapewa huduma za kitabibu IE uzazi wa mpango ,condom kupima HIV,PrEP nk ndo lilikuwa Lengo kuu la mradi,na si kwamba waliishia hapo miradi inaendelea kama kawaida inabadilishwa majina tu,kingine mbona kuwaattack Local NGOs while zinakuwa funded na int.NGOs na wala hazizungumziwi. Wao ni watekelezaji wa mwisho tu
Huyo dada ni Mbwigila tu.Cjaelewa hapo wanawatengeneza au wanawaibua,nahisi Huyu dada hukufanya utafiti yakinifu,kilichokuwa kinafanyika ni kuwabaini ,wanaelimishwa namna ya kujikinga na HIV wanapewa huduma za kitabibu IE uzazi wa mpango ,condom kupima HIV,PrEP nk ndo lilikuwa Lengo kuu la mradi,na si kwamba waliishia hapo miradi inaendelea kama kawaida inabadilishwa majina tu,kingine mbona kuwaattack Local NGOs while zinakuwa funded na int.NGOs na wala hazizungumziwi. Wao ni watekelezaji wa mwisho tu
Kwa taarifa yako haya mambo yalivuma sana 2016 kuna mradi maarufu ulikuja miaka hiyo,ulikuja ma miongozo yake mmoja wapo ulishikwa kwa clip na mh pale..wananchi wa shy pamoja na baraza la madiwani waliamua kufunga ofisi mojawapo iliyojazwa na mh wakiwa na vilainishi kwa ajili ya kupewa mashoga ,uzi upo humu pia..hakuna siri mkuu haya mambo yapo mda tu ss hivi watu wanashtuka akati miradi ipo na inaenandelea kuchanja mbuga na mashirika yanatekeleza kama kawaida kwa kivuli cha ukimwi.Mzee alipataje namba zao mpaka hao viongozi wa huo mtandao?
Maana nasikiaga kwamba hivi vyama vya siri kama "furiimathoni" huwezi kujua siri zao mpaka uwe mwanachama[emoji848]
Amehemukwa aisee tatizo alikuwa anaenda kufanya utafiti kama mwizi ,kw nn basi aliwahoji watekelezaji wa mradi yy alitumia fikra zake binafsi na umbea wa mtaani au pengine hakuhoji mnufaika wa mradi hata mmoja.Huyo dada ni Mbwigila tu.
Anachofanya ni kupotosha. Hayo mashirika yana miradi yenye component ya kuwahudumia hao watu kama sehemu ya intervention na hawapo mashoga pekee, kuna watumiaji wa madawa ya kulevya na malaya wanaojiuza na wengineo ambao ni underserved.
Yeye anavyoongea utadhani labda wanawaandikisha na kwenda kuwaf**ranisha.
Inawezekana, labda wapo wanao watengeneza, dunia kubwa hiim
Mwakyembe hayawani au kanyimwa ruzuku. Alikuwa wapi miaka yote tangu atambue uchafu huu?Waziri wa zamani wa wizara mbalimbali amesema kuna chama la mashoga hapa Tanzania na wana uongozi wao wa kitaifa na kimataifa, kimkoa na kiwilaya atawataja na kukabidhi majina yao kwa mamlaka husika ili wachukue hatua.
Amesema anayo majina yao wote namba zao za simu na washirika wao wote
USSR
----
Mashoga wana mkurugenzi mkuu wao kabisa wa kuendeleza masuala ya ushoga Tanzania, jina lake ninalo na hata namba yake pia, nitawasilisha serikalini. Pia kuna wenyeviti wa mikoa na mtandao wa ufuatiliaji hadi vijijini
Kuna wahamasishaji wa masuala ya ushoga ngazi ya kanda, ninayo orodha ya majina yao pamoja na namba zao za simu. Na wahamasishaji hawa wapo kwa miaka mingi tu, naomba mtambue ndugu zangu hali ni mbaya sana
Kuna dodoso maalum la masuala ya ushoga ambalo ukilijaza linapelekwa Marekani, na pia kuna mwongozo maalum wa mafunzo ya mabadiliko ya tabia na mawasiliano ya wanaume wanaofanya ngono na wanaume wenzao, mwongozo huo upo
Na tumekaa na vijana ambao ni mashoga, niwaambie tu wanatamani kabisa kurudi katika hali ya zamani, ukimuuliza aliingiaje, mwingine anakwambia nilianza kidogo kidogo darasa la tatu hata sijui niliingiaje, na natamani kurudi. Ukimsikiliza machozi yanataka kutoka
"Sheria yetu ya kudhibiti ushoga inahitaji marekebisho, inapaswa kuwa na meno ya kutosha na kung'ata. Mfano kwa msagaji adhabu yake ni kati ya mwaka mmoja na miaka mitano jela au faini kati ya shilingi laki moja na laki tatu, na sheria hii inaangalia zaidi kufanyika kwa tendo, kuna umuhimu ikaangalia na mazingira ya kupelekea jinai hiyo kufanyika, na mara nyingi anakamatwa shoga lakini baasha hakamatwi
Kwa kufuru,upuuzi, uchafu na uasi na ushetani unaoufanywa na wanadamu hapa duniani, unafanya yaliyofanywa na Sodoma na Gomora kuwa 'cha mtoto
Kule Marekani, watoto wa miaka 5-7 wanafundishwa kwamba, umezaliwa na sehemu za siri za kiume lakini ukijisikia na ukipenda, unaweza ukaamua kuendelea kuwa mwanaume au la, na unaweza ukaoa mwanaume au mwanamke
Mwaka 2016 Serikali yetu ilimfukuza mwakilishi wa Mfuko wa Ukimwi wa Rais wa Marekani alituharibia watoto wetu sana, lakini sasa kuna mwanaume mwingine kutoka Marekani yupo hapa Dar es Salaam anatuharibia watoto wa kiume, na taarifa zake tumeshaziwasilisha polisi
Chanzo: Jambo TV
SIJAONA UNAFIKI WA MWAKYEMBENdugu Oxpower wewe ni mkongwe hapa jamvini nakuomba unisome tena katika comment yangu ya kwanza .
Sijasema tukae kimya kisa serikali inajua .
Ila mimi nasimama kuukataa unafiki wa huyo Alison , sababu kawa waziri wa sheria na nyanja zingine kubwa sio kuwa hakujua kuwa serikali haijui wala haina majina ya wahusika la Hasha .
Ila yeye anajaribu kujiweka mbele ati atawataja kwa minajiri ya kuwapa infomation serikali angali akijua fika serikali inajua kila kitu .
Je nikisema ni cheap politics nakosea ?
Je nikiuliza why hakuwataja siku aliyofanya press conference mpaka aweke ahadi ni kutafuta kurudi magazetini kwa kitu kilicho wazi nakosea ?
Je mimi ni nani nikubali kumuona mtu anamtukana mtoto wangu kilema ilihali na yeye ni kilema toka mda ?
Unafiki ni pale kutafuta nguvu ya umma kwa kitu kinachojulikana vilivyo na pia na wewe msaka nguvu ya umma ni wale wale .
Ni hayo ndugu .
Mimi hapa nasimama kuukataa unafiki wa Alison .