Nilejee kipengele gani?Rafiki tafadhali naomba rejea vizuri habari za Richmond alafu njoo unieleze kujitoa kwa Alison katika hizo mambo .
Nashangaa vila kumdodosa utamjuaje kama ni.mdangaji au shoga,kama nawaona watakavyokuwa na wakati mgumu wanatekeleza miradi ya aina hii hata kama hawahusiki na mambo hayo wanafikikiwa ndivyo sivyoHumu pamejaa mavilaza ya ajabu sana.
Utafiti kama huo for academic purposes ni wa kawaida sana, kwahiyo lazima wajaze dodoso ili wapate data kuhusu homosexuality.
Nchi ina mamburula wengi sana hii, wakiongozwa na Kiranja wao ZEE LA USHOGA MWAKIEMBE.
Huna taarifa kiongozi,kuna taasisi zinatafuta vijana na kuwapa mafunzo na pesa juu ili waliwe au wale tigo.niliposikia niliumia sanaNyie ndio mna kiherehere cha kuwazungumzia mashoga kila siku.
Hizi habari hazikuwepo isipokuwa zimekuja kutokana na kiherehere chenu cha kuchokonoa chokonoa makaburi.
Wazungu hawajamlazimisha yeyote kufirwa. Nyie mnafirwa kwa kupenda kwenu msiwasingizie wazungu.
We ni Mpumbavu sana, ninapolala unapajua?ungenielewa kwanza nasema nn ,ungelingua nimemanisha nn ...umejibu bila kunielewa nasema nn nivema ungeniuliza namanisha nn ...na lisu hajawahi tamka huo upuuzi ila alijibu jambo kwamaneno ya kisheria kipindi hard talk BBC....kwamba hawezi ingilia mambo ya faragha zawatu na katiba ya nchi yetu inakataza hilo na Ili swala la ushongo nchini Tanzania lisitekelezwe au litekelezwe ifumuliwe au iangaliwe upya na sio kwasasa ,kimsingi ukifatilia Kwa ukaribu au undani kupitia Sheria hiyo ushoga umeruhusiwa kitambo nchini na utekelezaji wake niwasiri ....... Jiulize ni lini wewe umehojiwa na hata babako kwann unapendelea kulala pamoja na umri huo na wanaume wezako
Msibani kwenyewe bado umekua unalala sehemu Moja na wanaume wezako bado unalala hadi unakoroma hua hujisitukii , mmezoea kauli zahovyohovyo kutoka kwawajinga wezenu ccm ,mkiambiwa ukweli mnashindwa kutafsiri Ile logic yamtu ila mnaaza kumponda
Utafiti ndio wapewe na pesa?,.Mkuu tumia akili huo lazima ulikuwa ni utafiti...
Watu mna akili nyepesi sana...unafikiri Muhimbili mafala...hahaha
Kwa hiyo wewe unaona hilo suala halina tija kwa taifa?
Yaani wewe huoni umuhimu wa Mwakyembe kulizungumzia?
Nini kinakuuma kwa yeye kulizungumzia?
Kwanini unautetea ushoga?Humu pamejaa mavilaza ya ajabu sana.
Utafiti kama huo for academic purposes ni wa kawaida sana, kwahiyo lazima wajaze dodoso ili wapate data kuhusu homosexuality.
Nchi ina mamburula wengi sana hii, wakiongozwa na Kiranja wao ZEE LA USHOGA MWAKIEMBE.
Dahh! Ni kweli... hapa kweli niliuza mechi. Ahsante kwa kunirekebisha mkuu ππΎππΎUsitumie nguvu humu kuna mashoga sasa ulitaka wacomment vipi? Hii ni vita bra kila mtu anavutia kwake ukiona comment negative kuhusu huu uzi usisumbuke
Kwanini munapenda kutumia BodybuilderNa huwezi amini mimi hata sasa hivi ukaniuliza umeshawahi kumuona choko? nitakujibu hapana kwa sababu hawa wa sasa hivi wengi hawajirembi,
Unakuta mtu ni body builder lakini anapitiwa vile vile.
vyote hivyo kavitoa wap kama sio mdau wa zamanWaziri wa zamani wa wizara mbalimbali amesema kuna chama la mashoga hapa Tanzania na wana uongozi wao wa kitaifa na kimataifa, kimkoa na kiwilaya atawataja na kukabidhi majina yao kwa mamlaka husika ili wachukue hatua.
Amesema anayo majina yao wote namba zao za simu na washirika wao wote
USSR
----
Mashoga wana mkurugenzi mkuu wao kabisa wa kuendeleza masuala ya ushoga Tanzania, jina lake ninalo na hata namba yake pia, nitawasilisha serikalini. Pia kuna wenyeviti wa mikoa na mtandao wa ufuatiliaji hadi vijijini
Kuna wahamasishaji wa masuala ya ushoga ngazi ya kanda, ninayo orodha ya majina yao pamoja na namba zao za simu. Na wahamasishaji hawa wapo kwa miaka mingi tu, naomba mtambue ndugu zangu hali ni mbaya sana
Kuna dodoso maalum la masuala ya ushoga ambalo ukilijaza linapelekwa Marekani, na pia kuna mwongozo maalum wa mafunzo ya mabadiliko ya tabia na mawasiliano ya wanaume wanaofanya ngono na wanaume wenzao, mwongozo huo upo
Na tumekaa na vijana ambao ni mashoga, niwaambie tu wanatamani kabisa kurudi katika hali ya zamani, ukimuuliza aliingiaje, mwingine anakwambia nilianza kidogo kidogo darasa la tatu hata sijui niliingiaje, na natamani kurudi. Ukimsikiliza machozi yanataka kutoka
"Sheria yetu ya kudhibiti ushoga inahitaji marekebisho, inapaswa kuwa na meno ya kutosha na kung'ata. Mfano kwa msagaji adhabu yake ni kati ya mwaka mmoja na miaka mitano jela au faini kati ya shilingi laki moja na laki tatu, na sheria hii inaangalia zaidi kufanyika kwa tendo, kuna umuhimu ikaangalia na mazingira ya kupelekea jinai hiyo kufanyika, na mara nyingi anakamatwa shoga lakini baasha hakamatwi
Kwa kufuru,upuuzi, uchafu na uasi na ushetani unaoufanywa na wanadamu hapa duniani, unafanya yaliyofanywa na Sodoma na Gomora kuwa 'cha mtoto
Kule Marekani, watoto wa miaka 5-7 wanafundishwa kwamba, umezaliwa na sehemu za siri za kiume lakini ukijisikia na ukipenda, unaweza ukaamua kuendelea kuwa mwanaume au la, na unaweza ukaoa mwanaume au mwanamke
Mwaka 2016 Serikali yetu ilimfukuza mwakilishi wa Mfuko wa Ukimwi wa Rais wa Marekani alituharibia watoto wetu sana, lakini sasa kuna mwanaume mwingine kutoka Marekani yupo hapa Dar es Salaam anatuharibia watoto wa kiume, na taarifa zake tumeshaziwasilisha polisi
Chanzo: Jambo TV
Hebu afunguliwe uzi wake huyo na ziwekwe taarifa zake zote full tuanze kumsaka. Tutapambana nae illegaly & secretly!Jamaa anawala watoto wa kibongo wanaopenda mseleleko, noma sana hii afungwe jiwe la kusagia nafaka kisha atoswe baharini
Ni chuki za wazungu dhidi ya waarab na dini ya KiislamKinacho furahisha zaid kwenye hili sakata la ushoga na mashoga. Miaka khadhaa iliyopita hapa mtaani kwetu NARUNG'OMBE na SIKUKUU DSM tuLIkuwa tunaongopeana kwamba haya mambo ni ya WAARABU na WAISLAM. Hatimae muda wakuwajua wenyemali umefika sasa Dunia nnzima inafahamu ni baba la mababa UNITED STATE OF AMERICA (US) na wadogo zake UROPEAN UNION (EU)
Bonge la IDEA! π€©ππΎHawa marekani ni shetani mwenyewe. Serikali ichukue hatua kali wala sio kusema mungu tuhurumie tu. Na huyo makamu wao akija akitaja suala la mashoga azomewe bila kujali.
Na huwezi amini mimi hata sasa hivi ukaniuliza umeshawahi kumuona choko? nitakujibu hapana kwa sababu hawa wa sasa hivi wengi hawajirembi,
Unakuta mtu ni body builder lakini anapitiwa vile vile.
AsanteeePole demi ππ€π€π€
Rafiki OxpowerSIJAONA UNAFIKI WA MWAKYEMBE
Kila jambo linawakati wake,na wakati unategemeana na matukio yaliyopo. Yani ni sawa et naanza kujenga nyumbs leo unasema ni mnafiki kwanini sikujenga zamani na nilikua nmepanga.
Zingatia jukwaa alilozungumzia,kulikua na nini hadi akasema hivyo?
Mwakyembe ametushtua wengi na ametuambia wazi kuwa serikali yetu inayajua haya na imekaa kimya.
Amesema atataja!we unasema kwanini hajataja leo?kiongozi huoni kama unampangia mbinu wakati hata hujui hiyo list kaipataje?
Mwakyembe katika hili sioni kama ameleta cheap politics kwanza kwakua yupo CCM,na ameinanga serikali ya CCM,hivyo hapo hawezi pata teuzi yoyote kwakua anapingana na mabeberu yanatotupa misaada.
Binafsi naona tuungane nae hasa kwakua ametangaza vita ngumu,hapo sio CCM wala CDM watakua upande wake.
Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
You're very brilliant collonel Donga... Salute!Ww sometimes kuna baadhi ya taarifa zinaleakage kwa manufaa zaidi unaweza kuta system imevujisha makusudi kuliokoa taifa....vitu huwa planned hawakurupuku
Una miaka mingapi we jamaa?! Inamaana hujui mtoto wa kiume kubakwa inaweza ikawa source ya kudumbukia ushogani?! Usipende kukurupuka kuwaona wenzako wajinga! Hangaisha kichwa kufikiri kwanza kabla hujaijibu hojaDuuh kumbe kubakwa ni ushoga, hii Mimi ndio Leo naisikia[emoji23][emoji23]