Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Humu pamejaa mavilaza ya ajabu sana.

Utafiti kama huo for academic purposes ni wa kawaida sana, kwahiyo lazima wajaze dodoso ili wapate data kuhusu homosexuality.

Nchi ina mamburula wengi sana hii, wakiongozwa na Kiranja wao ZEE LA USHOGA MWAKIEMBE.
Nashangaa vila kumdodosa utamjuaje kama ni.mdangaji au shoga,kama nawaona watakavyokuwa na wakati mgumu wanatekeleza miradi ya aina hii hata kama hawahusiki na mambo hayo wanafikikiwa ndivyo sivyo
 
Nyie ndio mna kiherehere cha kuwazungumzia mashoga kila siku.

Hizi habari hazikuwepo isipokuwa zimekuja kutokana na kiherehere chenu cha kuchokonoa chokonoa makaburi.

Wazungu hawajamlazimisha yeyote kufirwa. Nyie mnafirwa kwa kupenda kwenu msiwasingizie wazungu.
Huna taarifa kiongozi,kuna taasisi zinatafuta vijana na kuwapa mafunzo na pesa juu ili waliwe au wale tigo.niliposikia niliumia sana

Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
 
ungenielewa kwanza nasema nn ,ungelingua nimemanisha nn ...umejibu bila kunielewa nasema nn nivema ungeniuliza namanisha nn ...na lisu hajawahi tamka huo upuuzi ila alijibu jambo kwamaneno ya kisheria kipindi hard talk BBC....kwamba hawezi ingilia mambo ya faragha zawatu na katiba ya nchi yetu inakataza hilo na Ili swala la ushongo nchini Tanzania lisitekelezwe au litekelezwe ifumuliwe au iangaliwe upya na sio kwasasa ,kimsingi ukifatilia Kwa ukaribu au undani kupitia Sheria hiyo ushoga umeruhusiwa kitambo nchini na utekelezaji wake niwasiri ....... Jiulize ni lini wewe umehojiwa na hata babako kwann unapendelea kulala pamoja na umri huo na wanaume wezako

Msibani kwenyewe bado umekua unalala sehemu Moja na wanaume wezako bado unalala hadi unakoroma hua hujisitukii , mmezoea kauli zahovyohovyo kutoka kwawajinga wezenu ccm ,mkiambiwa ukweli mnashindwa kutafsiri Ile logic yamtu ila mnaaza kumponda
We ni Mpumbavu sana, ninapolala unapajua?

Ninayelala naye ni wewe hadi useme huwa nalala na Wanaume wenzangu?

Lini uliniona nikijihusisha na siasa?

Acha USHOGA Mungu hakukuumba hivyo, tubu haraka sana hiyo dhambi ili uwe na maisha mema baada ya kifo.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Analichkulia poa naomba akute mwanae kaletgezwaa nati za mk** ataelewa ushoga ikimfata nyumbani kwake akili itamkaa sawa ,hakuna bingwa wa malezi ila kila mmoja afanye naafas ya ke km mzazi
Kwa hiyo wewe unaona hilo suala halina tija kwa taifa?
Yaani wewe huoni umuhimu wa Mwakyembe kulizungumzia?
Nini kinakuuma kwa yeye kulizungumzia?
 
Humu pamejaa mavilaza ya ajabu sana.

Utafiti kama huo for academic purposes ni wa kawaida sana, kwahiyo lazima wajaze dodoso ili wapate data kuhusu homosexuality.

Nchi ina mamburula wengi sana hii, wakiongozwa na Kiranja wao ZEE LA USHOGA MWAKIEMBE.
Kwanini unautetea ushoga?

Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
 
Usitumie nguvu humu kuna mashoga sasa ulitaka wacomment vipi? Hii ni vita bra kila mtu anavutia kwake ukiona comment negative kuhusu huu uzi usisumbuke
Dahh! Ni kweli... hapa kweli niliuza mechi. Ahsante kwa kunirekebisha mkuu 🙏🏾👍🏾
 
Na huwezi amini mimi hata sasa hivi ukaniuliza umeshawahi kumuona choko? nitakujibu hapana kwa sababu hawa wa sasa hivi wengi hawajirembi,
Unakuta mtu ni body builder lakini anapitiwa vile vile.
Kwanini munapenda kutumia Bodybuilder
 
Waziri wa zamani wa wizara mbalimbali amesema kuna chama la mashoga hapa Tanzania na wana uongozi wao wa kitaifa na kimataifa, kimkoa na kiwilaya atawataja na kukabidhi majina yao kwa mamlaka husika ili wachukue hatua.

Amesema anayo majina yao wote namba zao za simu na washirika wao wote

USSR

----
Mashoga wana mkurugenzi mkuu wao kabisa wa kuendeleza masuala ya ushoga Tanzania, jina lake ninalo na hata namba yake pia, nitawasilisha serikalini. Pia kuna wenyeviti wa mikoa na mtandao wa ufuatiliaji hadi vijijini

Kuna wahamasishaji wa masuala ya ushoga ngazi ya kanda, ninayo orodha ya majina yao pamoja na namba zao za simu. Na wahamasishaji hawa wapo kwa miaka mingi tu, naomba mtambue ndugu zangu hali ni mbaya sana

Kuna dodoso maalum la masuala ya ushoga ambalo ukilijaza linapelekwa Marekani, na pia kuna mwongozo maalum wa mafunzo ya mabadiliko ya tabia na mawasiliano ya wanaume wanaofanya ngono na wanaume wenzao, mwongozo huo upo

Na tumekaa na vijana ambao ni mashoga, niwaambie tu wanatamani kabisa kurudi katika hali ya zamani, ukimuuliza aliingiaje, mwingine anakwambia nilianza kidogo kidogo darasa la tatu hata sijui niliingiaje, na natamani kurudi. Ukimsikiliza machozi yanataka kutoka

"Sheria yetu ya kudhibiti ushoga inahitaji marekebisho, inapaswa kuwa na meno ya kutosha na kung'ata. Mfano kwa msagaji adhabu yake ni kati ya mwaka mmoja na miaka mitano jela au faini kati ya shilingi laki moja na laki tatu, na sheria hii inaangalia zaidi kufanyika kwa tendo, kuna umuhimu ikaangalia na mazingira ya kupelekea jinai hiyo kufanyika, na mara nyingi anakamatwa shoga lakini baasha hakamatwi

Kwa kufuru,upuuzi, uchafu na uasi na ushetani unaoufanywa na wanadamu hapa duniani, unafanya yaliyofanywa na Sodoma na Gomora kuwa 'cha mtoto

Kule Marekani, watoto wa miaka 5-7 wanafundishwa kwamba, umezaliwa na sehemu za siri za kiume lakini ukijisikia na ukipenda, unaweza ukaamua kuendelea kuwa mwanaume au la, na unaweza ukaoa mwanaume au mwanamke


Mwaka 2016 Serikali yetu ilimfukuza mwakilishi wa Mfuko wa Ukimwi wa Rais wa Marekani alituharibia watoto wetu sana, lakini sasa kuna mwanaume mwingine kutoka Marekani yupo hapa Dar es Salaam anatuharibia watoto wa kiume, na taarifa zake tumeshaziwasilisha polisi

Chanzo: Jambo TV
vyote hivyo kavitoa wap kama sio mdau wa zaman
 
Jamaa anawala watoto wa kibongo wanaopenda mseleleko, noma sana hii afungwe jiwe la kusagia nafaka kisha atoswe baharini
Hebu afunguliwe uzi wake huyo na ziwekwe taarifa zake zote full tuanze kumsaka. Tutapambana nae illegaly & secretly!

Dawa ni kumteka na kumpeleka maeneo. Tunamgonga sana kichapo kama alichopewa kijana mmoja mwanamuziki wa kufokafoka kutoka hukohuko nchini kwao anaitwa "Tekashi 6six9nine" kisha tunampasua mbupu tunamuacha uone kama haitakuwa fundisho.
 
Kinacho furahisha zaid kwenye hili sakata la ushoga na mashoga. Miaka khadhaa iliyopita hapa mtaani kwetu NARUNG'OMBE na SIKUKUU DSM tuLIkuwa tunaongopeana kwamba haya mambo ni ya WAARABU na WAISLAM. Hatimae muda wakuwajua wenyemali umefika sasa Dunia nnzima inafahamu ni baba la mababa UNITED STATE OF AMERICA (US) na wadogo zake UROPEAN UNION (EU)
Ni chuki za wazungu dhidi ya waarab na dini ya Kiislam
 
Na huwezi amini mimi hata sasa hivi ukaniuliza umeshawahi kumuona choko? nitakujibu hapana kwa sababu hawa wa sasa hivi wengi hawajirembi,
Unakuta mtu ni body builder lakini anapitiwa vile vile.

Ndio uhatari wa sasa na zamani ulipo,kwa sasa wanaojiremba wapo,na wagumu kama kalapina wapo.

Unawezamtizama mtu ukasema huyu kidume cha miraba 7 kumbe dooh,papai.
 
SIJAONA UNAFIKI WA MWAKYEMBE

Kila jambo linawakati wake,na wakati unategemeana na matukio yaliyopo. Yani ni sawa et naanza kujenga nyumbs leo unasema ni mnafiki kwanini sikujenga zamani na nilikua nmepanga.

Zingatia jukwaa alilozungumzia,kulikua na nini hadi akasema hivyo?

Mwakyembe ametushtua wengi na ametuambia wazi kuwa serikali yetu inayajua haya na imekaa kimya.

Amesema atataja!we unasema kwanini hajataja leo?kiongozi huoni kama unampangia mbinu wakati hata hujui hiyo list kaipataje?

Mwakyembe katika hili sioni kama ameleta cheap politics kwanza kwakua yupo CCM,na ameinanga serikali ya CCM,hivyo hapo hawezi pata teuzi yoyote kwakua anapingana na mabeberu yanatotupa misaada.

Binafsi naona tuungane nae hasa kwakua ametangaza vita ngumu,hapo sio CCM wala CDM watakua upande wake.

Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
Rafiki Oxpower
Natamani kuendelea kujieleza kwako ili atleast uipate point yangu ila shida najihisi kutokuwa sawa sababu ya hali yangu ya afya kwasasa .Kuandika sijisikii sawa

Sawa ndugu wacha tusubiri wakati wake wa kuwataja ili badaye nijue mimi ndiye sikuelewa motive yake au ni wewe haukunielewa mimi .

Bravo Nigga.
 
Duuh kumbe kubakwa ni ushoga, hii Mimi ndio Leo naisikia[emoji23][emoji23]
Una miaka mingapi we jamaa?! Inamaana hujui mtoto wa kiume kubakwa inaweza ikawa source ya kudumbukia ushogani?! Usipende kukurupuka kuwaona wenzako wajinga! Hangaisha kichwa kufikiri kwanza kabla hujaijibu hoja
 
Kwenye haki za Binadamu nasimama na Marekani Ila hakuna haki inayosema tuchuje nafaka Nyuma badala ya Mbele!

Mambo ya Sodoma na Gomora hatutaki hata kidogo!

Hii isiishie kwa Mashoga na Wasagaji tu bali hata wanaoingilia wanawake mtandao wa Buzz hairihusiwi,

Narudia NAFAKA ITACHUJWA MBELE TU SI NYUMA


Marekani akisema haki za Mashoga nasi tuulize haki za magaidi maana nao ni Binadamu,

Marekani wnavyoogopa Ugaidi ndivyo Tanzania tunaogopa Ushoga
TUSIPANGIANE PA KUCHUJA NAFAKA

Britanicca
 
Back
Top Bottom