WrestlerRSF254
JF-Expert Member
- Jan 30, 2023
- 1,196
- 2,012
Wote wanajua utamu wa "msovero"Kuna uhusiano gani kati ya Mapunga na Ke, mbona huwa wana urafiki sana na Ke?
Nimefanya kazi serikalini kwa miaka zaidi ya miaka 15 sasa we MPUMBAVU!Bado hujawajuwa wanasiasa.
Sasa hautaki wapewe vilainishi kwanini?Kwa taarifa yako haya mambo yalivuma sana 2016 kuna mradi maarufu ulikuja miaka hiyo,ulikuja ma miongozo yake mmoja wapo ulishikwa kwa clip na mh pale..wananchi wa shy pamoja na baraza la madiwani waliamua kufunga ofisi mojawapo iliyojazwa na mh wakiwa na vilainishi kwa ajili ya kupewa mashoga ,uzi upo humu pia..hakuna siri mkuu haya mambo yapo mda tu ss hivi watu wanashtuka akati miradi ipo na inaenandelea kuchanja mbuga na mashirika yanatekeleza kama kawaida kwa kivuli cha ukimwi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]Mwakyembe hayawani au kanyimwa ruzuku?
Hakuna kitu kama hichi, hizi ni propaganda za kisanii zinazoongozwa na kiranja wa mashoga ZEE LA USHOGA MWAKIEMBE.Huna taarifa kiongozi,kuna taasisi zinatafuta vijana na kuwapa mafunzo na pesa juu ili waliwe au wale tigo.niliposikia niliumia sana
Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
Hahaha bwana James delicious alitajwa na kigwa bungeni. Waziri akaishia aibu. Sijui yule anacheo gani ? Maisha yake ni ya wazi mnoo. HajifichiNakubaliana na wewe mkuu. Ngoja tusubiri jina la Mkurugenzi wa ushoga na watenda kazi wake wamikoa na Wilaya.
Utafiti ndio wapewe na pesa?
Weka videohivi hayo aliyoyasema kuhusu ushoga ni sahihi?,kwanini asiwape hixo taatifa serikali kimyakimya,ili wahusika wadakwe?
Kwanini unautetea ushoga?
Jikite katika alichokizungumza! Au kwako ushoga siyo tatizo?.Huyu Mwakyembe bado yupo kwenye anga za Siasa? Ni leftover kwa sasa!
Na huyo makamu wao akija akitaja suala la mashoga azomewe bila kujali.
Hakuongea yeye yaliongea masumu ya Lowa...hivi hayo aliyoyasema kuhusu ushoga ni sahihi?,kwanini asiwape hixo taatifa serikali kimyakimya,ili wahusika wadakwe?
Na kwa jinsi haya manyumbu yanavyoshabikia ushoga, hata hiyo katiba na tume ya uchaguzi haitakuja kuwepo.Makyembe ni mpumbavu sana aache kucheza na akili zetu, huu upumbavu wake unatusaidia nini sisi kama raia wanyonge wa nchi hii??
Kuna kitu kipo nyuma yao na hawa wako kundi wana malengo na maslahi yao, mbona makyembe anawashwa washwa hivi??
Nchi inaelekea kwenye uchaguzi, ni vurugu tu na ujinga ujinga tu lengo lao kuu, ni kupoteza kelele nyingi zisipigwe kuhusu tume huru ya uchaguzi na katiba mpya hilo tu hamna kitu kingine hapa
Tanzania tuna shida kubwa sana, raia tunahitaji katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, hapa kila rangi utaona na kila neno utasikia lengo ni kupoteza mda tu,
Ushoga ni siri usikute hata makyembe speakers hazipo sawa, kwani nani anajua?????
Najaribu kuwaza kwa sauti...Nakumbuka huko Njombe walipelekewa vilainishi wabanduane vzr...Hizi NGO baadhi hovyo sana.