WrestlerRSF254
JF-Expert Member
- Jan 30, 2023
- 1,196
- 2,012
Makyembe ni mpumbavu sana aache kucheza na akili zetu, huu upumbavu wake unatusaidia nini sisi kama raia wanyonge wa nchi hii??
Kuna kitu kipo nyuma yao na hawa wako kundi wana malengo na maslahi yao, mbona makyembe anawashwa washwa hivi??
Nchi inaelekea kwenye uchaguzi, ni vurugu tu na ujinga ujinga tu lengo lao kuu, ni kupoteza kelele nyingi zisipigwe kuhusu tume huru ya uchaguzi na katiba mpya hilo tu hamna kitu kingine hapa
Tanzania tuna shida kubwa sana, raia tunahitaji katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, hapa kila rangi utaona na kila neno utasikia lengo ni kupoteza mda tu,
Ushoga ni siri usikute hata makyembe speakers hazipo sawa, kwani nani anajua?????