Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Heko nyingi sana kwako Harrison na Catherine. Mmefanya kazi kubwa sana. Serikali jamani sasa mnapakuanzia. Hali mitaani ni tete sana. Vijana wanaharibika mno.
 
Sasa hivi hali ni mbaya mno kuhusu ushoga na usagaji. Tanzania tunaelekea wapi Mungu wangu?! I wish jamii iamke, ipinge haya mambo kwa ukali sana.
 
Mwakyembe kuna vitu ameongea vina ka ukweli, ila siyo mtu wa kumuamini sana.
Mnaweza mkamuamini halafu ylbaadaye akaja kuwapeni maana tofauti na mlivyoelewa halafu akafunga mjadala
 
Hivi kabisa unamuamini Harison [emoji23][emoji23].

Makatazo ya jambo huwa hayapewi promo, ukiona jambo linasemwa sana jua wanaolisema sema wanalitaka.

Mwiko huwa hautangazwi
Chief Mwakyembe yuko sahihi ni juzi tu nimepata taarifa za mdada wa mtaani yupo kwenye hayo mafunzo na hivi leo jamaa walimjia na Cruiser yao kitaani nikachoka yaaaani.
 
Chief Mwakyembe yuko sahihi ni juzi tu nimepata taarifa za mdada wa mtaani yupo kwenye hayo mafunzo na hivi leo jamaa walimjia na Cruiser yao kitaani nikachoka yaaaani.
Mashirika mengi yanafundisha elimu ya mahusiano, afya ya uzazi, jinsi na jinsia. Tukiweza kutofautisha haya mambo tutafanikiwa sana hii vita.

Sikatai moja kwa moja ila naikataa njia aliyokuja nayo Dr. Mwakyembe ni njia ya kisiasa sana, haiwezi kujenga jambo lolote.

Tunabidi tufahamu, kama tutatumia siasa kuutokomeza ushoga na usagaji basi itatumika siasa hiyo hiyo kuueneza ushoga na usagaji.

Siasa haiwezi kujenga kabisa
 
Naungu mkomo....mimi nimtu wa Ndandalo hapa Kyela...ila tangu Harrison apigwe chini anafuta njia ya kurudi kwenye ulingo ila Kwa Kyela asahau labda huko Mbwani.

Tuacheni kuweka siasa. Haisaidii kumjadili yeye wala history yake. Tuangalie content ya alichokireport. Jamii imeharibika sana sasa hivi. Hii si sawa. Hili linahitaji kuwa ni mjadala wa kitaifa kwa sasa.
 
Ww sometimes kuna baadhi ya taarifa zinaleakage kwa manufaa zaidi unaweza kuta system imevujisha makusudi kuliokoa taifa....vitu huwa planned hawakurupuku

Na kama ni wao, basi kazi kubwa wameifanya. Hili la leo limenifurahisha sana. Wazazi tunateseka sana kwa hali ilivyo sasa huku mitaani. Hatujui tufiche wapi watoto wetu.
 
Halafu huwa sielewi kwann akitokea kiongozi akawa anafanya kampeni ya kutokomeza mashoga huwa kunatokea watu na vikundi vyao kumpinga, hawa watu wanakuwa na ajenda gani nyuma ya pazia, wanafurahia haya mambo au?

Yani! Kama majinga vile. Kupenda kupinga kila kitu hadi vya msingi. Ila hii hata wapinge, message imetufikia sisi wazazi. Hatutakubali kuenezwa kwa mambo haya kwa makusudi kiasi hiki.
 
Yani! Kama majinga vile. Kupenda kupinga kila kitu hadi vya msingi. Ila hii hata wapinge, message imetufikia sisi wazazi. Hatutakubali kuenezwa kwa mambo haya kwa makusudi kiasi hiki.
Na wewe lazima mwanao awe shoga.

Maana inaonekana una mchecheto sana kiasi kwamba utaanza kumzonga zonga mwanao kisha ashawishike kujaribu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…