Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Nahisi kama Mwakyembe na yule binti walikuwa wanapiga promo ki aina.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960] kua ndio walikua wana spread upupu!!? Na wametamgaza makampuni yote na presentation ya parties! Ile ya yanga waka elekezea kamera porini[emoji2959][emoji2959][emoji2959] sana
 
Tena hizo ni baadhi tu.

Butch ndio kina act kidume.
Femme ndio ana act mke.
Queer ndiyo yeye asiyejijuwa vyovyote tu yumo. Huyu anakuwa washawasha haswa, ndiye mzuka haswa, akimpata kidume yeye jike, akimpata jike yeye kidume. Huyu na wanaume wa ukweli twende tu, ukitaka mbele peleka, ukitaka nyuma peleka. Akipata senge la kiume, yeye twende tu, atamfanya/atafanywa hata kwa dildo, ikiwa hamna hata kwa biringanya twende.

Gold star ni yule ambae hajawahi kabisa kukutana na mwanamme.

Mwenyezi Mungu avinusuru vizazi vyetu na hizi laana.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii nayo kaliiiii
 
hana lolote siku zoote alikuwa wapi
kulisemea alipokosa cheo ndio anaona aliseme kama ana majina kwa nini asiitoe mtandaoni kuikabidhi serikali wakati serikali ndio imelibariki na mikopo inapata ya kumwanga, kuwapa serikalini maana yake imeisha ishu hiyo
 

ukimkuta baba yako anafirwa hapo
ndio utajua na utaweka akili sawa
 
[emoji851][emoji851][emoji851]
 
Sio la kuuliza hilo,
Kwanza hujaconnect dots, ilianza ripoti Mwakyembe ikaja ripoti ya CAG, lakini trending bado ripoti ya Mwakyembe watu hawajali wala nini mambo ya CAG,

Mjini Akili tu
Mwanzo sikuichukulia serious ya Mwakyembe nilijua anatafuta kiki tu ila mfululizo wa matukio na ile video ya yule dada namna alivyokuwa akieleza nilipata picha tofauti.

Ukiangalia ripoti zote zimeportray kuwa mashoga wanaishi maisha mazuri na wana association.


Kwenye social media siku moja kabla ya Kamala Harris kufika LGBTQ ndiyo ilikuwa trending issue nikaanza kupata picha kuwa hii ya Mwakyembe huenda yupo kazini pamoja na yule dada.
 
Wakati mashoga wapo na tunaishi nao,wengine kwenye media huko na mamiziki yao wamejaaa kedekede

Ova
Sheria iko ya kuwafunga wanaofanya mambo hayo, Mwakyembe ni mwanasheria ,si afungue kesi kuwashitaki au apeleke majina polisi wakamatwe?
 
Duh! Kama mambo yao ndio yapo hivi sipati picha huko motoni kutakua hakukaliki kabisa
 
Kua alikua ana promote ila kinyumenyume. [emoji2959][emoji2959][emoji2959] Mzee wa hovyo kabisa kama ndio hivyo
 
Amiyn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…