Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Ni
vipi? Mi si mwanachama wa hayo mambo, ni mtoa maoni huru, sina upande ninaofungana nao ila sitapenda kuona utu wa mtu unatwezwa. Na pia sina mafungamano na siasa za upande wowote. Ni mzalando wa nchi hii nisiyekuwa na makandokando, nadhani nimefunguka kama unavyotaka nifunguke, naona kama una wasiwasi/mashaka na mimi, ukweli ndio huo nimekupa. Una cha kuongeza?
Mwanamke au mwanamme?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa tatizo nn? Kupangua hoja za wengine si kila mtu anaweza, hatufanani mtazamooo.
sawa nimekuelewa ingawa umenikwepa kuniambia we ni nani hasa, shoga au msagaji? Nikuache uendelee kupangua hoja za wapinzani wako huku ukiwacheka nami nikifuatilia unavyowanyuka
 
Afu sasa mie hata siwatakiiii, tena wengiii mnooo. Wanatuma had vikojoleo vyao.

Wengine vibamia na vuzi chafuu afu kende zao zimeungua km vitumbua vxa juzi.

Siku nikitibukaaa nawaumbua wotee, JF itatikisika hii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Dear hebu subiri kwanza nimecheka hadi nimepaliwa, unasemaaaaaaaa, dah! hao walioungua hadi kende watakua wana magonjwa ya zinaa pia, shenzi zao,
Pole sana, ila tunakutana na mengi ndio maana mie nimefunga pm siku hizi,

Culture Me

BICHWA KOMWEE
 
Ni

Mwanamke au mwanamme?
ukidumu humu muda mrefu unapata uzoefu wa kujua members wote kama ni wa kike au kiume kwa jinsi wanavyowasilisha hoja zao na miandiko yao hata kama id zao haziwakilishi jinsia zao halisi. Kuna haja gani ya kujitambulisha jinsia yangu wakati maudhui yangu yananiwakilisha bila uficho kuwa mi ni wa jinsia fulani. Hebu tembelea lile jukwaa pendwa ukutane na maudhui yangu utapata jibu bibe mpendwa
 
Kama vile unavyoshindwa wewe kutofautisha kwa cocastic ndivyo nami nashindwa kwako.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Daaah asante kwa ushauri mkuuu ila wwngine wanajulikana sana hapa nawaweka wazi zaidi tu [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Kumbe ni demu nilijua ni li papai
 
Kinacho furahisha zaid kwenye hili sakata la ushoga na mashoga. Miaka khadhaa iliyopita hapa mtaani kwetu NARUNG'OMBE na SIKUKUU DSM tuLIkuwa tunaongopeana kwamba haya mambo ni ya WAARABU na WAISLAM. Hatimae muda wakuwajua wenyemali umefika sasa Dunia nnzima inafahamu ni baba la mababa UNITED STATE OF AMERICA (US) na wadogo zake UROPEAN UNION (EU)
Kwamba waarabu na waisalam hawafirani?
 
tupeni taarifa, ni jina la nani huyo, sasa huyo atakuwa shoga gani mpaka atangazwe wakati wenzake wa ulaya na amerika wanajitangaza hadharani bila woga? Tena wa ulaya na amerika unakuta ni maarufu duniani. Kama vipi mashoga ya tanzania yajitangaze yenyewe tu sio mpaka yatangazwe na akina mwakyembe
Mbona wanajitangaza tuu

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
sawa nimekuelewa ingawa umenikwepa kuniambia we ni nani hasa, shoga au msagaji? Nikuache uendelee kupangua hoja za wapinzani wako huku ukiwacheka nami nikifuatilia unavyowanyuka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poa poa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Dear hebu subiri kwanza nimecheka hadi nimepaliwa, unasemaaaaaaaa, dah! hao walioungua hadi kende watakua wana magonjwa ya zinaa pia, shenzi zao,
Pole sana, ila tunakutana na mengi ndio maana mie nimefunga pm siku hizi,

Culture Me

BICHWA KOMWEE
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie PM sijui wanafungajeee.

Yaan unakuta jamaa linapovukaa hapaa, akati ni lizinzii la karnee.

Wanachekeshaaaaaa
 
Sisi tunajadili hoja sio kumjadili mdada hapa
Unajadili vipi hoja za mtu aliyechanganyikiwa kwa Kujikoboa JUSO LAKE kama NDULELE?

Huwezi kuwa na akili timamu ukajibandua JUSO LAKO kwa MAKEMIKALI. Halafu kajichora TATTOOS na mamistari ya HINA.

Huyu ni kichaa full blown, bado tu aanze kuokota makopo na makorokocho.
 
Afu sasa mie hata siwatakiiii, tena wengiii mnooo. Wanatuma had vikojoleo vyao.

Wengine vibamia na vuzi chafuu afu kende zao zimeungua km vitumbua vxa juzi.

Siku nikitibukaaa nawaumbua wotee, JF itatikisika hii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahha waumbue wote ili Jamiiforums izimike kwa shoti kabisa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Dear hebu subiri kwanza nimecheka hadi nimepaliwa, unasemaaaaaaaa, dah! hao walioungua hadi kende watakua wana magonjwa ya zinaa pia, shenzi zao,
Pole sana, ila tunakutana na mengi ndio maana mie nimefunga pm siku hizi,

Culture Me

BICHWA KOMWEE
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wanajifanya kufoka hadharani kumbe ni wale wale mafirauni mufilisi yaliyojichokea.
 
Kama vile unavyoshindwa wewe kutofautisha kwa cocastic ndivyo nami nashindwa kwako.
Bibie mpendwa unashindwaje kunitofautisha kuwa mi ni me au ke, mbona mi nimepembua na kujua cocastic ni nani? Aaah! Bibie utaniingiza upande usio sahihi
 
Back
Top Bottom