FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Ni
Mwanamke au mwanamme?vipi? Mi si mwanachama wa hayo mambo, ni mtoa maoni huru, sina upande ninaofungana nao ila sitapenda kuona utu wa mtu unatwezwa. Na pia sina mafungamano na siasa za upande wowote. Ni mzalando wa nchi hii nisiyekuwa na makandokando, nadhani nimefunguka kama unavyotaka nifunguke, naona kama una wasiwasi/mashaka na mimi, ukweli ndio huo nimekupa. Una cha kuongeza?