Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Siku nyingine jifunze kuwa na mjadala kama mtu mzima. Haya twende kama watu wazima, huoni kama Mwakyembe anatafuta tu kiki za kisiasa kupitia suala la ushoga?We jamaa una kichaa eeh? Ni maneno gani unanitamkia huo upuuzi wewe mjinga shetani kabisa subiri nisijisumbue watu km nyinyi ni kuwaweka kwenye IGNORE LIST tu haya pokea
Nilikua nacheck library yangu nakuta kime corrupt episodi zote nilitamani niweke hata kadhaa nyingine mumtafute mwenyewe! Ngoja nicheck nilipo kitoa kama bado kipo! NitakiletaKinapatikana wapi hicho kitabu?
🤣🤣🤣Amesema anayo majina yao wote namba zao za simu na washirika wao wote
Ni zamani ila sio sana
, 🤔Kuna uhusiano gani kati ya Mapunga na Ke, mbona huwa wana urafiki sana na Ke?
kaokaka saiv huyu si mmoja wao tenaKumbe haya mambo ni magumu kwa kiwango hiki? Nakumbuka miaka ya 90's alikuwako shoga mmoja maarufu sana akiitwa Aunt Kessy.
Kudeal na ushoga ni upuuzi mtupu, viongozi hangaikieni mambo ya maana achaneni na ushenzi, leo hii viongozi waanze kujadili mada za matako tutapeleka wapi hili taifa? Hangaikieni swala la ajira, afya, chakula, malazi, mavazi, elimu na mengineyo. Mambo ya kufokonyoa matako achaneni nayo ni ujinga mtupu.
Inabidi tuwe wawazi tu itoshe kusema ukweliMkuu tusitaje majina😂
JF hairuhusu kutajana majina MkuuInabidi tuwe wawazi tu itoshe kusema ukweli
Aidha uchomee moyo au ufhrahie ila ukweli ni muhimu sana 😁
Mbona sasa kama unamshambulia mwakyembe, kwan amefanya vibaya kusema anawatambua na kuwajua wahusika wa kampeni za ushoga hapa Tanzania na wageni kutoka nje ya inchi?!Daily niko dillema na sitaacha kuwa dilema mpaka siku nikijibiwa na hii serikali .
Ndugu nafanya kazi sehemu ambayo nilihamia nilikuta kuna taasisi binafsi inayokuja hapa kuwafariji hawa wakuitwa mashoga wanapewa hela na zawadi...
Viongozi wa serikali wanawatumia.Serikali haiwafahamu ila Mwakyembe anawafahamu.....siasa tu hizi.
Yule anapakaga wanja na hina?Lile lilikuwa siyo shoga tu bali bisexual na bakaji.Aunty Muddy...!
Aa wapi huyo atakua alishakufa na ngoma wewe utakuwa unamzungumzia aunt Bilal ndio aliokoka.kaokaka saiv huyu si mmoja wao tena
Hormones gani huwa zinazidi mbona mnatuchezea akili nyie wadudu?!Kuna Aunty suzie ndugu yake mpwayungu village...
ARV zinaotesha matiti km alikua anameza lazima matiti yaote,Kwann aote matiti kama sio hormone
Yule anapakaga wanja na hina?Lile lilikuwa siyo shoga tu bali bisexual na bakaji.