Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

We jamaa una kichaa eeh? Ni maneno gani unanitamkia huo upuuzi wewe mjinga shetani kabisa subiri nisijisumbue watu km nyinyi ni kuwaweka kwenye IGNORE LIST tu haya pokea
Siku nyingine jifunze kuwa na mjadala kama mtu mzima. Haya twende kama watu wazima, huoni kama Mwakyembe anatafuta tu kiki za kisiasa kupitia suala la ushoga?
 
Kinapatikana wapi hicho kitabu?
Nilikua nacheck library yangu nakuta kime corrupt episodi zote nilitamani niweke hata kadhaa nyingine mumtafute mwenyewe! Ngoja nicheck nilipo kitoa kama bado kipo! Nitakileta
 
Ni zamani ila sio sana
16799407678149181192688037263659.jpg

Ndio maana IN HISTORY HUWA KUNA DEBATE & DISCUSSION
WHAT'S PAST?

Yaan Huwa Kuna debate la historian's Moja ya maswali chokonozi huwa Zamani Ina Anza lini???
 
Maadili ya nchi yanalindwa kwa gharama yeyote ile
.bila maadili hakuna nchi hata hayo maendeleo hayatakuwa na manufaa yyt
Kudeal na ushoga ni upuuzi mtupu, viongozi hangaikieni mambo ya maana achaneni na ushenzi, leo hii viongozi waanze kujadili mada za matako tutapeleka wapi hili taifa? Hangaikieni swala la ajira, afya, chakula, malazi, mavazi, elimu na mengineyo. Mambo ya kufokonyoa matako achaneni nayo ni ujinga mtupu.
 
Daily niko dillema na sitaacha kuwa dilema mpaka siku nikijibiwa na hii serikali .

Ndugu nafanya kazi sehemu ambayo nilihamia nilikuta kuna taasisi binafsi inayokuja hapa kuwafariji hawa wakuitwa mashoga wanapewa hela na zawadi...
Mbona sasa kama unamshambulia mwakyembe, kwan amefanya vibaya kusema anawatambua na kuwajua wahusika wa kampeni za ushoga hapa Tanzania na wageni kutoka nje ya inchi?!
 
Halafu huwa sielewi kwann akitokea kiongozi akawa anafanya kampeni ya kutokomeza mashoga huwa kunatokea watu na vikundi vyao kumpinga, hawa watu wanakuwa na ajenda gani nyuma ya pazia, wanafurahia haya mambo au?
 
Back
Top Bottom