Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Kwann aote matiti kama sio hormone
Mmmmmmhmn uliconfirm alikuwa ameota matiti au pengine alikuwa anastuff sponges kwenye kifua kuweka muonekano wa matiti au pengine alifanyiwa transplant of which i doubt maana ni expensive kwa wakati huo uliosema nani atakuwa alimlipia?!

Ofcourse hormones zinaweza kuwa tricked na madawa ya maabara ila huwa hazi act on their own just kuwa zimekosea. DNA ina everything u need to know about your biological nature and structure.
 

Mnawatanguliza vikongwe sio?

[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
 
Haikuwa kuongopeana. Hili suala lipo sana Zanzibar, Tanga, Lamu, Mombasa na Dsm. Kwa sasa limezagaa. Na waarabu wana hii michezo sana sema wao huwa wanapinga hadharani ila wanatenda gizani. Waislamu mimi sitaki wazungumzia.

Kwa Marekani wao hawana Dini ya Taifa na wanachofanya wazungu ni kuondoa unafiki. Wakati sisi tunapiga sana kelele kuwa hatuli kitimoto ila wakati wa mfungo ukiuliza wauzaji watakwambia hasara zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…