Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Kwann aote matiti kama sio hormone
Mmmmmmhmn uliconfirm alikuwa ameota matiti au pengine alikuwa anastuff sponges kwenye kifua kuweka muonekano wa matiti au pengine alifanyiwa transplant of which i doubt maana ni expensive kwa wakati huo uliosema nani atakuwa alimlipia?!

Ofcourse hormones zinaweza kuwa tricked na madawa ya maabara ila huwa hazi act on their own just kuwa zimekosea. DNA ina everything u need to know about your biological nature and structure.
 
Hawa wazee waliokwishajichokea na waliokwisha kula sana keki ya Taifa ndiyo wa kuwatanguliza mbele kwenye hii vita ya ushoga. Hawa hata wakipigwa ban na sunctiins mbalimbali wala haina noma, wanakuwa hawana cha kupoteza kwa sasa. Wameshafaidi dunia vya kutosha.

Mnawatanguliza vikongwe sio?

[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
 
Kinacho furahisha zaid kwenye hili sakata la ushoga na mashoga. Miaka khadhaa iliyopita hapa mtaani kwetu NARUNG'OMBE na SIKUKUU DSM tuLIkuwa tunaongopeana kwamba haya mambo ni ya WAARABU na WAISLAM. Hatimae muda wakuwajua wenyemali umefika sasa Dunia nnzima inafahamu ni baba la mababa UNITED STATE OF AMERICA (US) na wadogo zake UROPEAN UNION (EU)
Haikuwa kuongopeana. Hili suala lipo sana Zanzibar, Tanga, Lamu, Mombasa na Dsm. Kwa sasa limezagaa. Na waarabu wana hii michezo sana sema wao huwa wanapinga hadharani ila wanatenda gizani. Waislamu mimi sitaki wazungumzia.

Kwa Marekani wao hawana Dini ya Taifa na wanachofanya wazungu ni kuondoa unafiki. Wakati sisi tunapiga sana kelele kuwa hatuli kitimoto ila wakati wa mfungo ukiuliza wauzaji watakwambia hasara zao.
 
Back
Top Bottom