Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Nimefuatilia press conference ya Dr H Mwakyembe juu ya mikakati ya USAID shirika la misaada la Marekani katika jitihada zai kuanzisha mtandao wa mashoga kwa vijana nchini.

Kama Mwakyembe kapata hadi machapisho ya mikakati hiyo, basi tujue Serikali ina habari na mipango hiyo. Maana yake vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vina habari ya mipango hii, na viongozi wetu lazima wako briefed na ushetani huu.

Lakini wako kimyaa utafikiri hawapo nchini.

Nia ya mipango hii ni African depopulation. Nia ni kupunguza idadi ya waafrika masikini na hatimaye kuwatawala.

Mashoga hawazaliani.

Hii ni lazima ni strategy ya muda wa miaka si chini ya 50, ili iwazalie matunda wanayotegemea.
Mipango ya kishenzi kama hii hawawezi kuipeleka nchi zinazo jielewa kama China su Uarabuni.

Nampongeza Rais Museveni na Bunge la Uganda kwa kuwatemea mate usoni hawa watu wasio na haya wala moyo wa kumheshimu Mungu Muumba wa vyote.

Serikali yetu tukufu, AMKA NA SEMA NENO!
 
Watu wengine ni wazima ila hawana akili.
Wapi mtu amekuja mshikia mtu bunduki kuwa lazima muwe mashoga?

Ushoga upo ndani ya familia zenu, makanisani, misikitini, mitaani, jaribuni kwanza kuondoa hiyo hali kabla hajamalalamikia mtu.

Mashoga mnawalea wenyewe, wengine nyinyi ndiyo mwawafundisha afu mnawalaumu watu wasiohusika

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Sasa hili tamko la serikali na kama kawaida Habarimaelezo hawakupata kulipinga kuwa sio kweli linamqanisha nini kama sio tayari serikali hii Kopakopa ilisha Ingia mtegoni?View attachment 2568112
Pengine tuulize bila kupepesa macho.
Wizara ya Afya(serikali), haijui juu ya mpango huu wa ushoga kama condition ya misaada?
 
Mwakyembe USAID ikimfungulia mashitaka ndiyo ataelewa kuwa hajui. Ni aibu kwa mtu wa sheria, tena msomi kama yeye, kutoa maneno bila ushahidi. Mama Samia, deal na watu kama hawa wanaotaka kukuchonganisha na jumuiya za kimataifa.
 
Sasa hili tamko la serikali na kama kawaida Habarimaelezo hawakupata kulipinga kuwa sio kweli linamqanisha nini kama sio tayari serikali hii Kopakopa ilisha Ingia mtegoni?View attachment 2568112
Kwa hayo maelezo yao inaonekana kama walimwacha mkuu wa mkoa Makonda apambane mwenyewe maana walimkacha, na ilikuwa kipindi cha JPM sijui kipindi hiking msimamo ni upi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…