Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Kinacho furahisha zaid kwenye hili sakata la ushoga na mashoga. Miaka khadhaa iliyopita hapa mtaani kwetu NARUNG'OMBE na SIKUKUU DSM tuLIkuwa tunaongopeana kwamba haya mambo ni ya WAARABU na WAISLAM. Hatimae muda wakuwajua wenyemali umefika sasa Dunia nnzima inafahamu ni baba la mababa UNITED STATE OF AMERICA (US) na wadogo zake UROPEAN UNION (EU)
 
Aisee! Yule alikuwa mwanamke kabisa anavaa sketi yani huwezi jua Ni mwanaume. Picha zake ziliwekwa kwenye front page ya magazeti ya shigongo. Siku hizi mtu ana ndevu anajifanya shoga Kama yule wa Kenya waliyemuua juzi.
Nakumbuka enzi zile, Magazeti ya udaku yalikuwa ya Sanifu, Kasheshe, Komesha, ni tsh=/ mia yule kenge alikuwa na sura ya kike full, ila mziki wa Taarabu umechangia pakubwa sana kuwakuza hawa viumbe.
 
Ndiyo maana sina uwezo wa kupingana na Mwakyembe kwa hilo japo najua anatuchora sababu yeye anajinasibisha kuwa serikali haiwajui wahusika kitu ambacho sio kweli .

Alison stop making Tanzanians fool , huko unakojaribu kuibukia tutakuanika hapa jamvini sababu Kyela na Tukuyu hakuna lisilojulikana out of unavyohisi ni siri ila ushahidi na kila kitu kipo .

So fanya kiki zingine sio haya.
Duuh kwa hio mzee Alson anatuletea maigizo ya kaole au sio? Yaan kila kitu kikaeleweka alafu analeta kujifanya Serikali haijui kumbe unajua kila kitu na amesema atataja sasa acha ataje maana Serikali inajua Ila imeficha Siri kutoka kwenye kiapo kua nitaficha Siri unajua ile ya nitaficha Siri sasa Siri ndio km hizo, mzee Alson Anika TU hakuna namna hio Siri sisi wengine tulikua hatuijui kumbe Serikali inajua na imeficha Siri ya baraza la mawaziri,
 
Waziri wa zamani wa wizara mbalimbali amesema kuna chama la mashoga hapa Tanzania na wana uongozi wao wa kitaifa na kimataifa, kimkoa na kiwilaya atawataja na kukabidhi majina yao kwa mamlaka husika ili wachukue hatua.

Amesema anayo majina yao wote namba zao za simu na washirika wao wote

USSR

----
Mashoga wana mkurugenzi mkuu wao kabisa wa kuendeleza masuala ya ushoga Tanzania, jina lake ninalo na hata namba yake pia, nitawasilisha serikalini. Pia kuna wenyeviti wa mikoa na mtandao wa ufuatiliaji hadi vijijini

Kuna wahamasishaji wa masuala ya ushoga ngazi ya kanda, ninayo orodha ya majina yao pamoja na namba zao za simu. Na wahamasishaji hawa wapo kwa miaka mingi tu, naomba mtambue ndugu zangu hali ni mbaya sana

Kuna dodoso maalum la masuala ya ushoga ambalo ukilijaza linapelekwa Marekani, na pia kuna mwongozo maalum wa mafunzo ya mabadiliko ya tabia na mawasiliano ya wanaume wanaofanya ngono na wanaume wenzao, mwongozo huo upo

Na tumekaa na vijana ambao ni mashoga, niwaambie tu wanatamani kabisa kurudi katika hali ya zamani, ukimuuliza aliingiaje, mwingine anakwambia nilianza kidogo kidogo darasa la tatu hata sijui niliingiaje, na natamani kurudi. Ukimsikiliza machozi yanataka kutoka

"Sheria yetu ya kudhibiti ushoga inahitaji marekebisho, inapaswa kuwa na meno ya kutosha na kung'ata. Mfano kwa msagaji adhabu yake ni kati ya mwaka mmoja na miaka mitano jela au faini kati ya shilingi laki moja na laki tatu, na sheria hii inaangalia zaidi kufanyika kwa tendo, kuna umuhimu ikaangalia na mazingira ya kupelekea jinai hiyo kufanyika, na mara nyingi anakamatwa shoga lakini baasha hakamatwi

Kwa kufuru,upuuzi, uchafu na uasi na ushetani unaoufanywa na wanadamu hapa duniani, unafanya yaliyofanywa na Sodoma na Gomora kuwa 'cha mtoto

Kule Marekani, watoto wa miaka 5-7 wanafundishwa kwamba, umezaliwa na sehemu za siri za kiume lakini ukijisikia na ukipenda, unaweza ukaamua kuendelea kuwa mwanaume au la, na unaweza ukaoa mwanaume au mwanamke

Mwaka 2016 Serikali yetu ilimfukuza mwakilishi wa Mfuko wa Ukimwi wa Rais wa Marekani alituharibia watoto wetu sana, lakini sasa kuna mwanaume mwingine kutoka Marekani yupo hapa Dar es Salaam anatuharibia watoto wa kiume, na taarifa zake tumeshaziwasilisha polisi

Chanzo: Jambo TV
Hawa marekani ni shetani mwenyewe. Serikali ichukue hatua kali wala sio kusema mungu tuhurumie tu. Na huyo makamu wao akija akitaja suala la mashoga azomewe bila kujali.
 
Kwa hayo, jukwaa hili tulifanye la mashoga kufunguka kiroho safi ili kuwanusuru wengine.

Vijana, hata wazee, ambao mnajutia hali hiyo fungukeni ili muweze/tuweze kuwanusuru watoto ili tuweze kwa pamoja kuwa na mbinu za kukabiliana na kuishinda hii hali.

Naamini pamoja tutaweza.
 
N
Waziri wa zamani wa wizara mbalimbali amesema kuna chama la mashoga hapa Tanzania na wana uongozi wao wa kitaifa na kimataifa, kimkoa na kiwilaya atawataja na kukabidhi majina yao kwa mamlaka husika ili wachukue hatua.

Amesema anayo majina yao wote namba zao za simu na washirika wao wote

USSR

----
Mashoga wana mkurugenzi mkuu wao kabisa wa kuendeleza masuala ya ushoga Tanzania, jina lake ninalo na hata namba yake pia, nitawasilisha serikalini. Pia kuna wenyeviti wa mikoa na mtandao wa ufuatiliaji hadi vijijini

Kuna wahamasishaji wa masuala ya ushoga ngazi ya kanda, ninayo orodha ya majina yao pamoja na namba zao za simu. Na wahamasishaji hawa wapo kwa miaka mingi tu, naomba mtambue ndugu zangu hali ni mbaya sana

Kuna dodoso maalum la masuala ya ushoga ambalo ukilijaza linapelekwa Marekani, na pia kuna mwongozo maalum wa mafunzo ya mabadiliko ya tabia na mawasiliano ya wanaume wanaofanya ngono na wanaume wenzao, mwongozo huo upo

Na tumekaa na vijana ambao ni mashoga, niwaambie tu wanatamani kabisa kurudi katika hali ya zamani, ukimuuliza aliingiaje, mwingine anakwambia nilianza kidogo kidogo darasa la tatu hata sijui niliingiaje, na natamani kurudi. Ukimsikiliza machozi yanataka kutoka

"Sheria yetu ya kudhibiti ushoga inahitaji marekebisho, inapaswa kuwa na meno ya kutosha na kung'ata. Mfano kwa msagaji adhabu yake ni kati ya mwaka mmoja na miaka mitano jela au faini kati ya shilingi laki moja na laki tatu, na sheria hii inaangalia zaidi kufanyika kwa tendo, kuna umuhimu ikaangalia na mazingira ya kupelekea jinai hiyo kufanyika, na mara nyingi anakamatwa shoga lakini baasha hakamatwi

Kwa kufuru,upuuzi, uchafu na uasi na ushetani unaoufanywa na wanadamu hapa duniani, unafanya yaliyofanywa na Sodoma na Gomora kuwa 'cha mtoto

Kule Marekani, watoto wa miaka 5-7 wanafundishwa kwamba, umezaliwa na sehemu za siri za kiume lakini ukijisikia na ukipenda, unaweza ukaamua kuendelea kuwa mwanaume au la, na unaweza ukaoa mwanaume au mwanamke

Mwaka 2016 Serikali yetu ilimfukuza mwakilishi wa Mfuko wa Ukimwi wa Rais wa Marekani alituharibia watoto wetu sana, lakini sasa kuna mwanaume mwingine kutoka Marekani yupo hapa Dar es Salaam anatuharibia watoto wa kiume, na taarifa zake tumeshaziwasilisha polisi

Chanzo: Jambo TV
Naona ushoga ushakuwa ni kama kick Fulani hivi ya watu kutoka nayo
 
Nilishawahi kusikia hilo jina na chanzo nilikuja kusikia ni kama karma baba yake alishawahi kufanya michezo mibaya watoto wa watu ndo chanzo

Alishakufa na kutoa harufu kama ni huyo.
Wakaja kufuatia wengine wengine ila hawakuvuma kama yule buibui asee.
Ila pale Travetinne na Lango Jiji pamechangia pakubwa sana kuwaharibu vijana.
Mimi mpaka wa leo nikimuona kijana anasikiliza Taarabu namuangalia mara mbili mbili.
 
Alikuwa anaitwa kasimu alikuwa na saluni ....mzee wake alikuwa anajifanya mtu wa dini kumbe ana historia ya kula watoto wa watu akapewa kama laana yatakuja tokea kwa mwanamke ndo hivyo mwanae akawa punga maarufu.

Siku alikuja misikiti ikikataa kumswali na alikuwa anatoa harufu ..kingine alikuwa mrefu kweny ngoma zile za Goi(majini) haswa wadigo humkosi ..Halafu alikuwa ukkmcheka anakupiga makofi😂😂😂
 
Sheria yetu ya kudhibiti ushoga inahitaji marekebisho, inapaswa kuwa na meno ya kutosha na kung'ata. Mfano kwa msagaji adhabu yake ni kati ya mwaka mmoja na miaka mitano jela au faini kati ya shilingi laki moja na laki tatu, na sheria hii inaangalia zaidi kufanyika kwa tendo, kuna umuhimu ikaangalia na mazingira ya kupelekea jinai hiyo kufanyika, na mara nyingi anakamatwa shoga lakini baasha hakamatwi
Mtahimili masharti kutoka wasaidizi wa budget ya nchi?
 
Waziri wa zamani wa wizara mbalimbali amesema kuna chama la mashoga hapa Tanzania na wana uongozi wao wa kitaifa na kimataifa, kimkoa na kiwilaya atawataja na kukabidhi majina yao kwa mamlaka husika ili wachukue hatua.

Amesema anayo majina yao wote namba zao za simu na washirika wao wote

USSR

----
Mashoga wana mkurugenzi mkuu wao kabisa wa kuendeleza masuala ya ushoga Tanzania, jina lake ninalo na hata namba yake pia, nitawasilisha serikalini. Pia kuna wenyeviti wa mikoa na mtandao wa ufuatiliaji hadi vijijini

Kuna wahamasishaji wa masuala ya ushoga ngazi ya kanda, ninayo orodha ya majina yao pamoja na namba zao za simu. Na wahamasishaji hawa wapo kwa miaka mingi tu, naomba mtambue ndugu zangu hali ni mbaya sana

Kuna dodoso maalum la masuala ya ushoga ambalo ukilijaza linapelekwa Marekani, na pia kuna mwongozo maalum wa mafunzo ya mabadiliko ya tabia na mawasiliano ya wanaume wanaofanya ngono na wanaume wenzao, mwongozo huo upo

Na tumekaa na vijana ambao ni mashoga, niwaambie tu wanatamani kabisa kurudi katika hali ya zamani, ukimuuliza aliingiaje, mwingine anakwambia nilianza kidogo kidogo darasa la tatu hata sijui niliingiaje, na natamani kurudi. Ukimsikiliza machozi yanataka kutoka

"Sheria yetu ya kudhibiti ushoga inahitaji marekebisho, inapaswa kuwa na meno ya kutosha na kung'ata. Mfano kwa msagaji adhabu yake ni kati ya mwaka mmoja na miaka mitano jela au faini kati ya shilingi laki moja na laki tatu, na sheria hii inaangalia zaidi kufanyika kwa tendo, kuna umuhimu ikaangalia na mazingira ya kupelekea jinai hiyo kufanyika, na mara nyingi anakamatwa shoga lakini baasha hakamatwi

Kwa kufuru,upuuzi, uchafu na uasi na ushetani unaoufanywa na wanadamu hapa duniani, unafanya yaliyofanywa na Sodoma na Gomora kuwa 'cha mtoto

Kule Marekani, watoto wa miaka 5-7 wanafundishwa kwamba, umezaliwa na sehemu za siri za kiume lakini ukijisikia na ukipenda, unaweza ukaamua kuendelea kuwa mwanaume au la, na unaweza ukaoa mwanaume au mwanamke

Mwaka 2016 Serikali yetu ilimfukuza mwakilishi wa Mfuko wa Ukimwi wa Rais wa Marekani alituharibia watoto wetu sana, lakini sasa kuna mwanaume mwingine kutoka Marekani yupo hapa Dar es Salaam anatuharibia watoto wa kiume, na taarifa zake tumeshaziwasilisha polisi

Chanzo: Jambo TV
Ha! Aisee nakumbuka kitabu kimoja cha tamthilia iliyo andikwa na PATRICK CK inaitwa ANT EZEKIEL aisee WAANDISHI WANANDOTO KAMA SIO WANAYAFAHAMU HAYA MAMBO KWA KINA
 
Emu type dodoso hicho kitabu kinaelezea nini kuhusu huyo ANT EZEKIEL alikuakuaje akafanyafanyaje mpaka akamuandikia kitabu nini kisa na chanzo?
 
Wakaja kufuatia wengine wengine ila hawakuvuma kama yule buibui asee.
Ila pale Travetinne na Lango Jiji pamechangia pakubwa sana kuwaharibu vijana.
Mimi mpaka wa leo nikimuona kijana anasikiliza Taarabu namuangalia mara mbili mbili.
Dume Rijali kabisa unasikiliza taarabu? Hata kama ni blood brother lazima nicheze mbali nawe nikikutilia shaka.
 
Back
Top Bottom