Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Suala la ushoga wanalikuza sana,kimsingi sio tatizo letu kuu katika jamii yetu,wasianze kukwepesha msingi wa matatizo ya nchi hii,tusipo kua makini hawa wanasiasa watatufanya wajinga,
Very right.

Mwenzao yule CHIZI WA UGANDA alikuja na hii mbwinu ya kuwahadaa waganda, lakini tangu alipopigwa mkwara na mabeberu akatokomea shimonii na kale kasheria kake cha kisanii.

Mpaka leo hajaonekana ni siku ya tano. Nadhani kajibanza chumbani anapanga mikakati ya NITOKE VIPI maana Beberu limeshadisaa linataka haki yake.
 
Masharti: Unajaza fomu kisha inapelekwa Marekani halafu process zingine zinaendelea na wana muongozo kabisa ambao upo Wizara ya Afya. Hii imekaaje Wakuu!!View attachment 2568106
Huyu mzee wa degree alubaini anaishi kihuni huni tangu apigwe chini Kyela ....anajaribu kurudi kwenye game ...tangu avume na Richmond ya JK na Edo ikabaki story, japo mada ameleta sio yakupuuzwa.
 
Niacheni nipasuke jamani, maana nikiandika maneno laini watu hawanielewi. Nimegundua watu huwa wanasikiliza zaidi lugha kali na za kuchoma.

Na mimi kwa kweli nitaendelea kupasuka kweri kwerii, mpaka vikojozi wote wa humu wawe na akili timamu.
 
Mwakyembe USAID ikimfungulia mashitaka ndiyo ataelewa kuwa hajui. Ni aibu kwa mtu wa sheria, tena msomi kama yeye, kutoa maneno bila ushahidi. Mama Samia, deal na watu kama hawa wanaotaka kukuchonganisha na jumuiya za kimataifa.
Ww sometimes kuna baadhi ya taarifa zinaleakage kwa manufaa zaidi unaweza kuta system imevujisha makusudi kuliokoa taifa....vitu huwa planned hawakurupuku
 
Ww sometimes kuna baadhi ya taarifa zinaleakage kwa manufaa zaidi unaweza kuta system imevujisha makusudi kuliokoa taifa....vitu huwa planned hawakurupuku
Heri zivujishwe kwa wananchi na tutajua tu washirika wakazi wa huo mpango mahsusi wa kueneza ushiga toka Marekani na USAID ni akina nani.
Tuanzie wizara ya afya.
 
Kwa hii misaada tunayoomba kila siku ni vigumu kuepuka huu ushetani. Viongozi wameamua kupoteza taifa la kesho kisa mikopo.

Nacho jua mm ubalozi wa pale msasani unawalipa watu kufanya na kusambaza huu ushetani ndomana hawa watu wana good life. Jamaa wa pale msasani wanawalipa na ukizingatia hali ya maisha ya sasa ni vigumu kukataaa.
 
Very right.

Mwenzao yule Uganda alikuja na hii mbwinu ya kuwahadaa waganda, lakini tangu alipopigwa mkwara na mabeberu akatokomea shimonii na kale kasheria kake cha kisanii.

Mpaka leo hajaonekana ni siku ya tano. Nadhani kajibanza chumbani anapanga mikakati ya nitoke vipi maana Beberu limeshadisaa linataka haki yake.

Nenda uganda ukiwa umevaa sketi na umejipaka poda na rangi huku ukiwa unarembua kama james delicious ndo utajua sheria ipo au laaah.
 
Ushuuda

2014- njaa kali imenichapa mtaani sina mishe, napendeza tu hasubuhi naangaika kutafuta kazi na kukosa kesho yake muendelezo huo huo mpaka mwaka unaisha naanza tena mizunguuko ya kutafuta kazi mwaka ujao-was so hard

2014- nipo masikani baada ya mizunguuko ya hapa na pale nimepoa- tulikuwa vijana wengi wengi kidogo mida ya saa tano inaenda sita za mchana- akaja uncle tu wa mtaani akatuambia kuna inshu tu ya mahojiano hapo muhimbili kuwa mnahojiwa tu mahojiano yakiisha mnapewa posho -degree nyingi kichwani nikahoji’ mahojiano hayo yanahusu nini! Yule uncle akapangua akasema kila kitu mtakijua huko huko- vijana tukaitana tukafika kama vijana 30 hivi? Yulee uncle akatoa nauli elf 5,5 Kwa kila mmoja na akatuambia mkimaliza mahojiano mtapewa posho na akatoa location- hakuna asiyeijua hospital ya muhimbili so akatuelekeza mpaka kwenye hizo ofisi

Sijui sasa kuwa hicho kitengo kipo hapo muhimbili siku zote au walikodi tu Office kwa ajili ya mahojiano ila yote hayo anayoyasema Mh- hapo yalikuwepo kwenye mahojiano na ilikuwa ukiwa mzembe lazima unase-WALLLAH nilikataa na posho yenyewe ile ile elf 5 niliyopewa kama nauli ilitosha kabsa kunirudisha nyumbani kama nauli-M/MUNGU atusimamie InshAAllah

Kwanza hapo reception kwao tulipofika ni mashoga tupu yaani wamejaa, tukaanza kutonyana jamaa katupa dili la kuja kuwabandua nini? Hawa mashoga- nomaa, hatimaye tukaulizia na kuambiwa ndio hapa kuna interview na tukaitiwa wahusika wakatupa utaratibu wakatuambia anaingia mmoja mmoja kwenye hicho kachumba Kwa ajili ya mahojiano- hatari

Nikatishe story ili nisiwachoshe

Maswali yalikuwa hivi kwenye hicho chumba

Unaulizwa jina lako?

Unaulizwa unasikia kuhusu mapenzi ya jinsia moja au unajua kabsa?

Unaulizwa ulishawahi shiriki mapenzi na mwanaume mwenzako ? Kama uliwahi unaulizwa tena ulijisikiaje?

Kama haujawahi unaulizwa unaonaje? Siku uje kujaribu?
Unaulizwa utapenda uje? Kujaribu na condom au bila condom!

Unaulizwa tena unapenda wewe uwe ndio unamfanya mwenzako au yeye? Ndio anakufanya au wote muwe mnafanyana kwa zamu?

Ukikubali unaambiwa upo? Tayari tukutafutie mtu ambaye atakuwa anakufanya au unamfanya bila tatzo lolote yaani yeye atakuwa anakubali tu umfanye au akufanye?

Na unaulizwa Kama ulishawahi kumuingilia msichana kinyume na maumbile na kama ukikubali wanakiringanisha hicho kitendo ni sawa tu na kumuingilia mwanaume mwenzako na wanakushawishi uwe tayari kumuingilia na mwanaume mwenzako

Wanakuuliza utajisikiaje? Siku ukiingiliwa bila wewe mwenyewe kujua uenda ulikuwa umelala au umelewa je? Utaendelea na hicho kitendo au utaacha baada ya kujua kama umefanyiwa

Wana maswali mengi sana ya mtego mtego- na hapo ukiwa unawaunga mkono kwenye maswali yao ndio posho inaongezeka na ndio wanakuwa wanakujali sana, utapewa chakula na n.k

Na wanakubembeleza ukubali kuingia kwenye mkumbo huo wanakwambia kama hautaki kuingiliwa sio tatzo wewe utakuwa unawaingilia tu wanaotaka kuingiliwa na ukihoji ntawapata wapi? Unaambiwa wapo usiwe na shaka juu ya ilo na kwa malipo kama utahitaji-mtihani sana

Wanomba namba yako ili siku kukiwa na semina utumiwe sms au upigiwe uambiwe uende kuudhuria vikao vyao wanatoa vipeperushi, wanagawa na condom na mafuta special ya kutumia wakati wa tendo - ni msiba kweli kweli

Hapo walikuwepo wariorudi mpaka na elf 50 Kama posho ya siku hiyo na vicheko vingi sana kwangu baada ya kutoka kwenye hicho kachumba na kutimua zangu maana walituambia tule na tusubiri pesa zetu Mimi nikasepa zangu na kuja kupata mrejesho kutoka kwa watu nilioongozana nao- vishawishi mia fill mia lazima uingie mtegoni kama ni kichwa cha panzi.
 
Back
Top Bottom