Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Ratba ngumu ya Rais kwenye Kikao cha Kamati Kuu na NEC imefanya akose wasaha kwenda kumzika Prof. SarungiSamia kukataa Kwenda kwenye Msiba wa Sarungi inaleta picha mbaya! Ni visasi ndani ya nafsi, Taasisi ya Ikulu haina ushauri mzuri juu ya mwenendo wa Rais, tunajua kisa ni Maria Sarungi, kifupi Rais wa Nchi kaharibu.
Kutoka X.
View attachment 3267742
Kuna msiba wa mke wa mbunge wa huko kusini enzi za JK, ndugu wa karibu sana waliokuwa wanamuuguza na kulala naye hospital walisahaulika kabisa. Wasemaji na wawekaji mashada walikuwa viongozi wa serikali. Ndugu walikasika sana hadi huruma.Kuna binti mmoja alinisimulia jinsi alivyokasirika msiba wa baba yake ulivyotekwa na wanasiasa maarufu, wakaanza kutoa hotuba zao mpaka za kisiasa msibani kwao huyo binti.
Binti alichukia sana ila alishindwa kufanya kitu.
Mkuu Mshana Jr , huyu Dr. Hezron Lwaitama, ni nduguSamia kukataa Kwenda kwenye Msiba wa Sarungi inaleta picha mbaya! Ni visasi ndani ya nafsi, Taasisi ya Ikulu haina ushauri mzuri juu ya mwenendo wa Rais, tunajua kisa ni Maria Sarungi, kifupi Rais wa Nchi kaharibu.
Kutoka X.
View attachment 3267742
Mifano ipo mingi sana.Kuna msiba wa mke wa mbunge wa huko kusini enzi za JK, ndugu wa karibu sana waliokuwa wanamuuguza na kulala naye hospital walisahaulika kabisa. Wasemaji na wawekaji mashada walikuwa viongozi wa serikali. Ndugu walikasika sana hadi huruma.
Huyu Hezron Lwaitama ni nani au unamaanisha Azaveli Lwaitama?Samia kukataa Kwenda kwenye Msiba wa Sarungi inaleta picha mbaya! Ni visasi ndani ya nafsi, Taasisi ya Ikulu haina ushauri mzuri juu ya mwenendo wa Rais, tunajua kisa ni Maria Sarungi, kifupi Rais wa Nchi kaharibu.
Kutoka X.
View attachment 3267742
Kwani rais siyo samia? Mbona yeye halalamiki au uchawa unawasumbua na kujigonga?Rais anaitwa kwa heshima na adabu huwezi muita “Samia” kama unamuita mkeo.
Mifano ipo mingi sana.
Na hivyo ndivyo watu wengi ma limbukeni wanavyoshobokea.
Sasa kuna familia zimeelimika tangu miaka ya zamani zishapita shobo hizi zina misimamo.
Sasa, familia hizi za watu walioelimika mara nyingi haziwezi kueleweka kwa hawa ma limbukeni wengi wa Tanzania
Kunatokea kitu kinaitwa culture clash.
Stephen Wasira, Makamu Mwenyekiti wa CCM, alivyoenda kwenye msiba, alipewa maneno yake na mjane wa Profesa Philemon Sarungi, kaambiwa walikuwa wapi siku zote Profesa alivyoumwa hawakuenda kumuona sasa hivi amefariki ndiyo wametokea?
Mpaka Stephen Wasira akakimbia.
Sasa familia kama hiyo unawezaje kuiwekea expectations za kawaida za kuwa watakuwa wanapenda shobo za kupewa pole na rais?
Hawa watu wame roll na rais tangu enzi za Nyerere.
Profesa Sarungi karudi Tanzania kifanya kazi miaka ya 1960s kwa ombi maalum la rais Nyerere, alimuomba personally arudi.
Sasa hiyo ni familia ya kushobokea rambirambi za Samia?
Umesema👌 Asante sana.Mifano ipo mingi sana.
Na hivyo ndivyo watu wengi ma limbukeni wanavyoshobokea.
Sasa kuna familia zimeelimika tangu miaka ya zamani zishapita shobo hizi zina misimamo.
Sasa, familia hizi za watu walioelimika mara nyingi haziwezi kueleweka kwa hawa ma limbukeni wengi wa Tanzania
Kunatokea kitu kinaitwa culture clash.
Stephen Wasira, Makamu Mwenyekiti wa CCM, alivyoenda kwenye msiba, alipewa maneno yake na mjane wa Profesa Philemon Sarungi, kaambiwa walikuwa wapi siku zote Profesa alivyoumwa hawakuenda kumuona sasa hivi amefariki ndiyo wametokea?
Mpaka Stephen Wasira akakimbia.
Sasa familia kama hiyo unawezaje kuiwekea expectations za kawaida za kuwa watakuwa wanapenda shobo za kupewa pole na rais?
Hawa watu wame roll na rais tangu enzi za Nyerere.
Profesa Sarungi karudi Tanzania kifanya kazi miaka ya 1960s kwa ombi maalum la rais Nyerere, alimuomba personally arudi.
Sasa hiyo ni familia ya kushobokea rambirambi za Samia?
Ukimu-address Rais unamuita kwa cheo chake sio kwa jina lake kama unamuita mkeoKwani rais siyo samia? Mbona yeye halalamiki au uchawa unawasumbua na kujigonga?
Hee,unamsakama bure. Soma vichwa vya habari kwenye magazeti ndio uanze nao.Ukimu-address Rais unamuita kwa cheo chake sio kwa jina lake kama unamuita mkeo
Vitu vya kifamilia vitaachiwa kifamilia na vitu vya kijamii vitabaki Kwa jamii familia hawezi kuzuia. kama maziko kulingana na utaratibu wa dini husika, rambirambi, maziko(mpaka uchimbaji kaburi), Taratibu za serikali au kijeshi kama anastahili hivyo. Hivyo kiufupi Marehemu hajaifaidia tu familia yake Bali na jamii aliyoizunguka na kuihudumia ina haki naye ( social justice ).Hata kwa hoja ya "msiba ni jambo la jamii" kuna muktadha wa mambo fulani ya msiba kuachiwa familia.
Msiba ni jambo la jamii kwa maana ya kwamba jamii ina jukumu la kui support familia katika msiba, ku support mambo ambayo familia inataka katika msiba. Si jukumu la jamii kuipangia familia msiba uende vipi.
Si jukumu la jamii kutaka expectations za jamii zifikiwe katika msiba. Msiba si fashion show. Msiba si sehemu ya mashindano ya umaridadi na umaarufu. Msiba si sehemu ya mashindano ya nani anajulikana mpaka Ikulu na rais. Msiba unaongozwa na familia, jamii ina play a supporting role tu kwa familia.
Mfano, marehemu akiacha wosia azikwe wapi na vipi, na familia yake kusimamia hilo, hutakiwi kuja na kubadili hilo ukisema "msiba ni jambo la kijamii, jamii inapanga marehemu azikwe sehemu tofauti na alipotaka, kwa namna tofauti na aliyotaka".
Hapo utaona kuwa, hata kama ni kweli msiba ni jambo la kijamii, kuna muktadha wa mambo ambayo familia ya wafiwa inaongoza kupanga msiba uendeje.
Na hapo ndipo Watanzania wengi wanaohemuka humu wanaposhindwa kutenganisha wapi msiba ni wa jamii na wapi familia iachiwe kuomboleza inavyotaka, kwa amani.
Sawa, haina tatizo.Vitu vya kifamilia vitaachiwa kifamilia na vitu vya kijamii vitabaki Kwa jamii familia hawezi kuzuia. kama maziko kulingana na utaratibu wa dini husika, rambirambi, maziko(mpaka uchimbaji kaburi), Taratibu za serikali au kijeshi kama anastahili hivyo. Hivyo kiufupi Marehemu hajaifaidia tu familia yake Bali na jamii aliyoizunguka na kuihudumia ina haki naye ( social justice ).
Msiba si haki ya familia tu bali na jamii nzima. Kila upande utafanya wajibu wake.
Swala la kuhuzuria maziko ni haki ya jamii nzima familia haina mamlaka nayo na hawezi kuzuia. (Huu ni utamaduni wa kiafrika katika mazingira yetu)
Msiba ni haki ya familia siyo jamii hata kidogo na zamani ilikuwa hivyo. Kinachoendelea sasa ni mihemuko tu,siyo mila na desturi.Sijui jamii ya sasa ya kitanzania imeiga kutoka wapi.Vitu vya kifamilia vitaachiwa kifamilia na vitu vya kijamii vitabaki Kwa jamii familia hawezi kuzuia. kama maziko kulingana na utaratibu wa dini husika, rambirambi, maziko(mpaka uchimbaji kaburi), Taratibu za serikali au kijeshi kama anastahili hivyo. Hivyo kiufupi Marehemu hajaifaidia tu familia yake Bali na jamii aliyoizunguka na kuihudumia ina haki naye ( social justice ).
Msiba si haki ya familia tu bali na jamii nzima. Kila upande utafanya wajibu wake.
Swala la kuhuzuria maziko ni haki ya jamii nzima familia haina mamlaka nayo na hawezi kuzuia. (Huu ni utamaduni wa kiafrika katika mazingira yetu)
Rais kushiriki au kutoshiriki sababu wanazo wao katika protokali zao. wanaohoji kutoshiriki Rais labda wameona Protokali isiyosahihi ni haki Yao kuhoji.Sawa, haina tatizo.
Lakini janii ni lazima iwakikishwe na rais Samia?
Vipi kama marehemu hakutaka msiba wake uwe wa kisiasa, na kakataa rais kushiriki. Utalazimisha rais ashiriki?
Jamii mbona watu wameshiriki wengi tu, hao hawatoshi mpaka ashiriki rais?
Sawa, haina tatizo.
Lakini janii ni lazima iwakikishwe na rais Samia?
Vipi kama marehemu hakutaka msiba wake uwe wa kisiasa, na kakataa rais kushiriki. Utalazimisha rais ashiriki?
Jamii mbona watu wameshiriki wengi tu, hao hawatoshi mpaka ashiriki rais?
Ndugu Individualism ni utamaduni wa kimagharibi huo, mmagharibi anajitenga na mwingine (wanasema "is not my business"). Tangu awali mwafrika anaishi communal life. Mwafrika anajiona yeye ndani ya mwingine, hajitenganishi na mwenzake ndio mana hata familia zetu nyingi ni extended. Anaona hajakamilika nje ya jamii yake. That is an African way of thinking sio mihemuko.Msiba ni haki ya familia siyo jamii hata kidogo na zamani ilikuwa hivyo. Kinachoendelea sasa ni mihemuko tu,siyo mila na desturi.Sijui jamii ya sasa ya kitanzania imeiga kutoka wapi.
Protokali ya rais kushiriki iko wapi?Rais kushiriki au kutoshiriki sababu wanazo wao katika protokali zao. wanaohoji kutoshiriki Rais labda wameona Protokali isiyosahihi ni haki Yao kuhoji.
Hoja ni kuwa kusiwepo aina yoyote ya kubeza msiba kuwa jambo la kijamii na kuiachia familia pekee. Katika mazingira ya kiafrika maisha ni ya kijamii, msiba unagusa jamii kulingana na upana wa Marehemu.
Wosia wa Marehemu hauondoi haki ya jamii ni haki yao ( social justice). Ndio maana baadhi ya wosia zinapingwa mahakamani Kwa kutozingatia Taratibu husika. Wosia lazima uwe reasonable. Huwezi kusema uzikwe na dini fulani wakati hushiriki hiyo dini? Au kijeshi wakati si askari. Au kuzuia watu kuja msibani. Wosia unafwata ukiwa katika utimamu si ilimradi umeandika.
Kwanini Unaacha hoja una jadili extra claims? (Protokali, tamaduni kubadilika,)Protokali ya rais kushiriki iko wapi?
Msiba kuwa wa kijamii maana yake ni nini?
Profesa Sarungi akiandika wosia azikwe Kinondoni, wakati jamii inataka azikwe Rorya, hapo jambo la busara ni kumzika wapi?
Alipotaka azikwe yeye Kinondoni au ilipotaka azikwe jamii Rorya?
Utamaduni haubadiliki? Ni lazima ubaki hivyo hivyo?
That is a logical fallacy, argument from tradition.
Ninajadili mambo uliyoandika, kama hutaki niyajadili, usiyaandike.Kwanini Unaacha hoja una jadili extra claims? (Protokali, tamaduni kubadilika,)
Can not be fallacious argument it has not imitated in some way or other way the appearance of truth.
Tradition is not an abstract idea. Ni namna ya maisha katika jamii fulani. Ni ushahidi tu wa mtindo wa jamii yetu. Ni ukweli wa maisha wa Sasa. Na hapa tunajadili utamaduni wa mazishi katika mazingira yetu.
wosia utafwatwa ukiwa na utimamu.
Si Kila kitu nachoelezea ni sehemu ya hoja, ni nyingine ni extra claims zinazoelezea hoja haina haja kuzi rise.Ninajadili mambo uliyoandika, kama hutaki niyajadili, usiyaandike.
A fallacy need not imitate. Using tradition as the basis of your argument is a fallacy. The fallacy is called "Argument from tradition".
Umeelewa using tradition as your argument is a logical fallacy?