Dkt. Hezron Lwaitama anaandika

Dkt. Hezron Lwaitama anaandika

Samia kukataa Kwenda kwenye Msiba wa Sarungi inaleta picha mbaya! Ni visasi ndani ya nafsi, Taasisi ya Ikulu haina ushauri mzuri juu ya mwenendo wa Rais, tunajua kisa ni Maria Sarungi, kifupi Rais wa Nchi kaharibu.

Kutoka X.

View attachment 3267742
Ratba ngumu ya Rais kwenye Kikao cha Kamati Kuu na NEC imefanya akose wasaha kwenda kumzika Prof. Sarungi
 
Kuna binti mmoja alinisimulia jinsi alivyokasirika msiba wa baba yake ulivyotekwa na wanasiasa maarufu, wakaanza kutoa hotuba zao mpaka za kisiasa msibani kwao huyo binti.

Binti alichukia sana ila alishindwa kufanya kitu.
Kuna msiba wa mke wa mbunge wa huko kusini enzi za JK, ndugu wa karibu sana waliokuwa wanamuuguza na kulala naye hospital walisahaulika kabisa. Wasemaji na wawekaji mashada walikuwa viongozi wa serikali. Ndugu walikasika sana hadi huruma.
 
Samia kukataa Kwenda kwenye Msiba wa Sarungi inaleta picha mbaya! Ni visasi ndani ya nafsi, Taasisi ya Ikulu haina ushauri mzuri juu ya mwenendo wa Rais, tunajua kisa ni Maria Sarungi, kifupi Rais wa Nchi kaharibu.

Kutoka X.

View attachment 3267742
Mkuu Mshana Jr , huyu Dr. Hezron Lwaitama, ni ndugu
na Dr. Azavel Feza Lwaitama?.

Rais kuhudhuria msiba wowote wa mtu yeyote unategemea mambo matano haya
  1. Kuna misiba ya viongozi ambao rais anapaswa kuhudhuria kama wajibu, akiwa na ratiba nyingine yoyote, anavunja hiyo ratiba na kuhudhuria msiba huo. Hiyo ni misiba ya viongozi wakuu, askari wanaokufa on duty yeye as CinC. Prof. Sarungi, sii kiongozi, hivyo sii lazima rais kuhudhuria msiba huo.
  2. Rais anawajibika kuhudhuria misiba ya wakuu wa nchi, akishindwa anawakilishwa.
  3. Rais anapaswa kuwa mfariji mkuu wakati wa majanga ya kitaifa ikiwemo kuhudhuria misiba ya majanga, Kutoonyesha Hisia/Huruma wala pole za sauti si Udikteta bali ni Ushujaa wa Kijeshi!
  4. Rais atahudhuria misiba ya mawaziri wastaafu, au viongozi wengine wote only if kama ana nafasi, bahati mbaya ratiba ya msiba wa Prof. Sarungi, imegongana na ratiba ya kikao cha CC na NEC Dodoma, hivyo rais hakuhudhuria kwa kukosa nafasi na sio kwa kumuogopa Maria!.
  5. Rais anaweza kuhudhuria msiba wa mwananchi mwingine yoyote, ndugu, jamaa na marafiki, kama mtu mwingine yoyote, na kutohudhuria msiba wowote sio kosa.
Huu ni mwaka wa
Uchaguzi, tujitahidi kupunguza au kuacha kumshutumu rais kwa vitu visivyo mhusu, ili kumuonyeshea ni mtu asiyejali!.

P
 
Kuna msiba wa mke wa mbunge wa huko kusini enzi za JK, ndugu wa karibu sana waliokuwa wanamuuguza na kulala naye hospital walisahaulika kabisa. Wasemaji na wawekaji mashada walikuwa viongozi wa serikali. Ndugu walikasika sana hadi huruma.
Mifano ipo mingi sana.

Na hivyo ndivyo watu wengi ma limbukeni wanavyoshobokea.

Sasa kuna familia zimeelimika tangu miaka ya zamani zishapita shobo hizi zina misimamo.

Sasa, familia hizi za watu walioelimika mara nyingi haziwezi kueleweka kwa hawa ma limbukeni wengi wa Tanzania

Kunatokea kitu kinaitwa culture clash.

Stephen Wasira, Makamu Mwenyekiti wa CCM, alivyoenda kwenye msiba, alipewa maneno yake na mjane wa Profesa Philemon Sarungi, kaambiwa walikuwa wapi siku zote Profesa alivyoumwa hawakuenda kumuona sasa hivi amefariki ndiyo wametokea?

Mpaka Stephen Wasira akakimbia.

Sasa familia kama hiyo unawezaje kuiwekea expectations za kawaida za kuwa watakuwa wanapenda shobo za kupewa pole na rais?

Hawa watu wame roll na rais tangu enzi za Nyerere.

Profesa Sarungi karudi Tanzania kifanya kazi miaka ya 1960s kwa ombi maalum la rais Nyerere, alimuomba personally arudi.

Sasa hiyo ni familia ya kushobokea rambirambi za Samia?
 
Huyu Hezron Lwa
Samia kukataa Kwenda kwenye Msiba wa Sarungi inaleta picha mbaya! Ni visasi ndani ya nafsi, Taasisi ya Ikulu haina ushauri mzuri juu ya mwenendo wa Rais, tunajua kisa ni Maria Sarungi, kifupi Rais wa Nchi kaharibu.

Kutoka X.

View attachment 3267742
Huyu Hezron Lwaitama ni nani au unamaanisha Azaveli Lwaitama?
 
Rais anaitwa kwa heshima na adabu huwezi muita “Samia” kama unamuita mkeo.
 
Mifano ipo mingi sana.

Na hivyo ndivyo watu wengi ma limbukeni wanavyoshobokea.

Sasa kuna familia zimeelimika tangu miaka ya zamani zishapita shobo hizi zina misimamo.

Sasa, familia hizi za watu walioelimika mara nyingi haziwezi kueleweka kwa hawa ma limbukeni wengi wa Tanzania

Kunatokea kitu kinaitwa culture clash.

Stephen Wasira, Makamu Mwenyekiti wa CCM, alivyoenda kwenye msiba, alipewa maneno yake na mjane wa Profesa Philemon Sarungi, kaambiwa walikuwa wapi siku zote Profesa alivyoumwa hawakuenda kumuona sasa hivi amefariki ndiyo wametokea?

Mpaka Stephen Wasira akakimbia.

Sasa familia kama hiyo unawezaje kuiwekea expectations za kawaida za kuwa watakuwa wanapenda shobo za kupewa pole na rais?

Hawa watu wame roll na rais tangu enzi za Nyerere.

Profesa Sarungi karudi Tanzania kifanya kazi miaka ya 1960s kwa ombi maalum la rais Nyerere, alimuomba personally arudi.

Sasa hiyo ni familia ya kushobokea rambirambi za Samia?
Mifano ipo mingi sana.

Na hivyo ndivyo watu wengi ma limbukeni wanavyoshobokea.

Sasa kuna familia zimeelimika tangu miaka ya zamani zishapita shobo hizi zina misimamo.

Sasa, familia hizi za watu walioelimika mara nyingi haziwezi kueleweka kwa hawa ma limbukeni wengi wa Tanzania

Kunatokea kitu kinaitwa culture clash.

Stephen Wasira, Makamu Mwenyekiti wa CCM, alivyoenda kwenye msiba, alipewa maneno yake na mjane wa Profesa Philemon Sarungi, kaambiwa walikuwa wapi siku zote Profesa alivyoumwa hawakuenda kumuona sasa hivi amefariki ndiyo wametokea?

Mpaka Stephen Wasira akakimbia.

Sasa familia kama hiyo unawezaje kuiwekea expectations za kawaida za kuwa watakuwa wanapenda shobo za kupewa pole na rais?

Hawa watu wame roll na rais tangu enzi za Nyerere.

Profesa Sarungi karudi Tanzania kifanya kazi miaka ya 1960s kwa ombi maalum la rais Nyerere, alimuomba personally arudi.

Sasa hiyo ni familia ya kushobokea rambirambi za Samia?
Umesema👌 Asante sana.
 
Professor kakosea sana!hiyo sio analysis ya elite kama ye!

Samiah Wala Maria. Hakuna Alie kosea bali mfumo wetu kama nchi na idara ndio zilikosewa tangu awali zilipoasiasiwa!!

Yaani waliopendekeza chama kimoja kikae madarakani miaka yote hii bila kujali kizazi kijacho kitakua na mtazamo Gani ndio walikosea utaifa wetu!

Mfumo umefanya Raise awe mungu wa kusifiwa kama malaika mkuu na hakosolewi na chama kama taasisi takatifu isiyo na mbadala!Eti wanasubiri Hadi siku watu wauzidi mfumo Kwa vurugu na damu ndio mabadiliko yatokee!!!!

Hiyo ni aibu Kwa viunga vya kijasusi,unaposubiri Hadi utekaji wa wakosoaji utokee kwenye taifa mnakua mmefeli katika projections zijazo za taifa na jamuhuri Kwa ujumla!!

Ndipo kosa lilipo!

Mimi ni mwana CCM active kabisa na najua ujasusi umetukosea sana!tunashindwa vipi kuiandaa CCM. B kama mbadala was ccm. A Kwa nembo tofauti Ili kuhodhi mawazo ya watz na wanaharakati tuliowatengeneza sisi wenyewe!!
 
Hata kwa hoja ya "msiba ni jambo la jamii" kuna muktadha wa mambo fulani ya msiba kuachiwa familia.

Msiba ni jambo la jamii kwa maana ya kwamba jamii ina jukumu la kui support familia katika msiba, ku support mambo ambayo familia inataka katika msiba. Si jukumu la jamii kuipangia familia msiba uende vipi.

Si jukumu la jamii kutaka expectations za jamii zifikiwe katika msiba. Msiba si fashion show. Msiba si sehemu ya mashindano ya umaridadi na umaarufu. Msiba si sehemu ya mashindano ya nani anajulikana mpaka Ikulu na rais. Msiba unaongozwa na familia, jamii ina play a supporting role tu kwa familia.

Mfano, marehemu akiacha wosia azikwe wapi na vipi, na familia yake kusimamia hilo, hutakiwi kuja na kubadili hilo ukisema "msiba ni jambo la kijamii, jamii inapanga marehemu azikwe sehemu tofauti na alipotaka, kwa namna tofauti na aliyotaka".

Hapo utaona kuwa, hata kama ni kweli msiba ni jambo la kijamii, kuna muktadha wa mambo ambayo familia ya wafiwa inaongoza kupanga msiba uendeje.

Na hapo ndipo Watanzania wengi wanaohemuka humu wanaposhindwa kutenganisha wapi msiba ni wa jamii na wapi familia iachiwe kuomboleza inavyotaka, kwa amani.
Vitu vya kifamilia vitaachiwa kifamilia na vitu vya kijamii vitabaki Kwa jamii familia hawezi kuzuia. kama maziko kulingana na utaratibu wa dini husika, rambirambi, maziko(mpaka uchimbaji kaburi), Taratibu za serikali au kijeshi kama anastahili hivyo. Hivyo kiufupi Marehemu hajaifaidia tu familia yake Bali na jamii aliyoizunguka na kuihudumia ina haki naye ( social justice ).

Msiba si haki ya familia tu bali na jamii nzima. Kila upande utafanya wajibu wake.

Swala la kuhuzuria maziko ni haki ya jamii nzima familia haina mamlaka nayo na hawezi kuzuia. (Huu ni utamaduni wa kiafrika katika mazingira yetu)
 
Sawa, haina tatizo.

Lakini janii ni lazima iwakikishwe na rais Samia?

Vipi kama marehemu hakutaka msiba wake uwe wa kisiasa, na kakataa rais kushiriki. Utalazimisha rais ashiriki?

Jamii mbona watu wameshiriki wengi tu, hao hawatoshi mpaka ashiriki rais?
 
Msiba ni haki ya familia siyo jamii hata kidogo na zamani ilikuwa hivyo. Kinachoendelea sasa ni mihemuko tu,siyo mila na desturi.Sijui jamii ya sasa ya kitanzania imeiga kutoka wapi.
 
Rais kushiriki au kutoshiriki sababu wanazo wao katika protokali zao. wanaohoji kutoshiriki Rais labda wameona Protokali isiyosahihi ni haki Yao kuhoji.

Hoja ni kuwa kusiwepo aina yoyote ya kubeza msiba kuwa jambo la kijamii na kuiachia familia pekee. Katika mazingira ya kiafrika maisha ni ya kijamii, msiba unagusa jamii kulingana na upana wa Marehemu.

Wosia wa Marehemu hauondoi haki ya jamii ni haki yao ( social justice). Ndio maana baadhi ya wosia zinapingwa mahakamani Kwa kutozingatia Taratibu husika. Wosia lazima uwe reasonable. Huwezi kusema uzikwe na dini fulani wakati hushiriki hiyo dini? Au kijeshi wakati si askari. Au kuzuia watu kuja msibani. Wosia unafwata ukiwa katika utimamu si ilimradi umeandika.

Ndugu Individualism ni utamaduni wa kimagharibi huo, mmagharibi anajitenga na mwingine (wanasema "is not my business"). Tangu awali mwafrika anaishi communal life. Mwafrika anajiona yeye ndani ya mwingine, hajitenganishi na mwenzake ndio mana hata familia zetu nyingi ni extended. Anaona hajakamilika nje ya jamii yake. That is an African way of thinking sio mihemuko.

Msiba ni haki ya jamii nzima Kwa Afrika hasa mbantu. Mengine sisi ndio tunaiga hayo mambo ya individualism yanayotutenga na wenzetu, si utamaduni wetu.
 
Rais kushiriki au kutoshiriki sababu wanazo wao katika protokali zao. wanaohoji kutoshiriki Rais labda wameona Protokali isiyosahihi ni haki Yao kuhoji.

Hoja ni kuwa kusiwepo aina yoyote ya kubeza msiba kuwa jambo la kijamii na kuiachia familia pekee. Katika mazingira ya kiafrika maisha ni ya kijamii, msiba unagusa jamii kulingana na upana wa Marehemu.

Wosia wa Marehemu hauondoi haki ya jamii ni haki yao ( social justice). Ndio maana baadhi ya wosia zinapingwa mahakamani Kwa kutozingatia Taratibu husika. Wosia lazima uwe reasonable. Huwezi kusema uzikwe na dini fulani wakati hushiriki hiyo dini? Au kijeshi wakati si askari. Au kuzuia watu kuja msibani. Wosia unafwata ukiwa katika utimamu si ilimradi umeandika.
Protokali ya rais kushiriki iko wapi?

Msiba kuwa wa kijamii maana yake ni nini?

Profesa Sarungi akiandika wosia azikwe Kinondoni, wakati jamii inataka azikwe Rorya, hapo jambo la busara ni kumzika wapi?

Alipotaka azikwe yeye Kinondoni au ilipotaka azikwe jamii Rorya?

Utamaduni haubadiliki? Ni lazima ubaki hivyo hivyo?

That is a logical fallacy, argument from tradition.
 
Kwanini Unaacha hoja una jadili extra claims? (Protokali, tamaduni kubadilika,)

Can not be fallacious argument it has not imitated in some way or other way the appearance of truth.

Tradition is not an abstract idea. Ni namna ya maisha katika jamii fulani. Ni ushahidi tu wa mtindo wa jamii yetu. Ni ukweli wa maisha wa Sasa. Na hapa tunajadili utamaduni wa mazishi katika mazingira yetu.

wosia utafwatwa ukiwa na utimamu.
 
Ninajadili mambo uliyoandika, kama hutaki niyajadili, usiyaandike.

A fallacy need not imitate. Using tradition as the basis of your argument is a fallacy. The fallacy is called "Argument from tradition".

Umeelewa using tradition as your argument is a logical fallacy?
 
Sio Kila

Si Kila kitu nachoelezea ni sehemu ya hoja, ni nyingine ni extra claims zinazoelezea hoja haina haja kuzi rise.

Naona umekariri kuhusu fallacy. All fallacious arguments are incorrect arguments which imitate in some way or other the appearance of truth.

Fallacy zinachepusha uhalisia wa kitu either katika muundo wake(form) au material yake.

Usikariri Kila ukiona neno tradition, au culture kwenye hoja ni fallacy. Angalia form (muundo) na usahihi wa material yake.
 
Back
Top Bottom