Dkt. Hezron Lwaitama anaandika

Kwani kuna ulazima gani wa Rais kufanya vitu ordinary?
 
Lwaitama ni mpuuzi. Hata kama mimi ningekuwa Rais siwezi kwenda msiba wa mtu anayenitukana mitandaoni. Huo msiba unamhusu Maria kwa 100%. Kila mtu abebe msalaba wake. Pia msiba ni jambo la kifamilia zaidi.
Kwa Tz, msiba ni jambo la kifamilia, kijamii na kisiasa. Usisahau hilo.

Hivi usemi 'uongozi jalala' humaanisha nini?
 
Hajafa Maria kafa Prof. Sarungi zingatia nafasi yake Tanganyika kwenye chama na serikali.. It is more about government protocals
Watoto wa juzi hawa hakuna kitu wanajua zaidi ya bando na smart phone mimi binafsi nimeshangaa sana mtu kama Prof Sarungi kuzikwa kama ajalitumikia Taifa nimeshangaa sana maana pana kipindi aliamua kwenda Hospital ya Tumbi kuhudumia wagonjwa wanaopata ajali kibaha maana yeye ni mtaalamu wa mifupa alikua anatibu wachezaji bure kama alivyomtibu George Masatu alieumia akicheza Timu ya Taifa huku FAT ikimtelekeza.
 
Lwaitama ni mpuuzi. Hata kama mimi ningekuwa Rais siwezi kwenda msiba wa mtu anayenitukana mitandaoni. Huo msiba unamhusu Maria kwa 100%. Kila mtu abebe msalaba wake. Pia msiba ni jambo la kifamilia zaidi.
Samia ni mswahili wa kutupa, mwenye vinyongo na visasi na ana roho ya kichawi
 
Mkuu, yaani Msiba wa Prof. Sarungi Mwakilishi wa Rais ni Riz1, Naibu Waziri...? Kwa nini asimtume PM au DP wake kuupa uzito Uwakilishi wake...? Ni bora angekausha tu kwa vile wote tunajua bifu lake na Maria. Yaani Maria angechukulia poa akaja, sasa hivi angekuwa Segerea.
 
Bingwa kabisa alikuwa

Ova
 
Lwaitama ni mpuuzi. Hata kama mimi ningekuwa Rais siwezi kwenda msiba wa mtu anayenitukana mitandaoni. Huo msiba unamhusu Maria kwa 100%. Kila mtu abebe msalaba wake. Pia msiba ni jambo la kifamilia zaidi.
Ni lini Maria amemtukana Rais? Usiishi kwa kukariri.
 
Ila CCM wana visasi vya kijinga, yaani ule ni msiba wa kumtuma RC kweli? Aliyefariki ni Maria au Sarungi?
 
Unajuaje familia ya Sarungi inataka hayo mambo?
 
Angekuwa amekufa any member of the family, akawepo Professor naamini Mheshimiwa angeenda.

Hata hivyo mstaafu alikuwepo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…