Ngurukia
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 4,407
- 16,942
Lini Professor Sarungi aliwahi mtukana Samia?Lwaitama ni mpuuzi. Hata kama mimi ningekuwa Rais siwezi kwenda msiba wa mtu anayenitukana mitandaoni. Huo msiba unamhusu Maria kwa 100%. Kila mtu abebe msalaba wake. Pia msiba ni jambo la kifamilia zaidi.