Dkt. Hezron Lwaitama anaandika

Dkt. Hezron Lwaitama anaandika

Tumia akili kidogo. Yule mzee ni mtumishi wa serikali mstaafu aliyeshika nyadhifa kubwa sana hapa inchini.

Anatakiwa kuzikwa kwa heshima za kiserikali na viongozi wote wakuu wa serikali wanatakiwa kutuma salamu za rambirambi hata kama walikuwa na personal issues.

Yule mzee amemkosea nini kwani na mtu alishajizeekea na umri umeshakwenda na ana heshima zake kwenye historia ya inchi?🤔

Huyu bi mkubwa ni mzinguaji period,hiki alichofanya sio uungwana,ni kosa kimaadili kama mtumishi wa jamuhuri,lakini zaidi kijamii watanzania hatunaga hizi mbaga za kuwekeana vinyongo kwa mambo madogo hadi nyakati za matatizo.
Anajifanya ana uchungu na Samia kuliko mumewe Ameir!
 
Alihudumu kama Waziri wa Afya kwa Kipindi kirefu.

Ni moja ya Viongozi wa Juu wa nchi. It is not about kuwa atafufuka kama aki acknowledge…….

Ni kuonesha heshima kwa viongozi waliowahi kulitumikia Taifa.
 
Tumia akili kidogo. Yule mzee ni mtumishi wa serikali mstaafu aliyeshika nyadhifa kubwa sana hapa inchini.

Anatakiwa kuzikwa kwa heshima za kiserikali na viongozi wote wakuu wa serikali wanatakiwa kutuma salamu za rambirambi hata kama walikuwa na personal issues.

Yule mzee amemkosea nini kwani na mtu alishajizeekea na umri umeshakwenda na ana heshima zake kwenye historia ya inchi?🤔

Huyu bi mkubwa ni mzinguaji period,hiki alichofanya sio uungwana,ni kosa kimaadili kama mtumishi wa jamuhuri,lakini zaidi kijamii watanzania hatunaga hizi mbaga za kuwekeana vinyongo kwa mambo madogo hadi nyakati za matatizo.
Siku CHADEMA mkishika dola badilisheni katiba kuwe na kifungu kinachomlazimisha Rais kuhudhuria misiba. Vinginevyo ulichoandika ni upumbavu mtupu.
 
Kwa hiyo mwanao akikamatwa kuwa mwizi na wewe waje wakuunganishe wakuchome.
Umetumia akili za makalio kufikiri sijui kama una mtoto hata wa kusingiziwa
Wewe ni mtoto wangu wa damu. Muulize mama yako kuhusu baba yako wa kweli
 
Lini Professor Sarungi aliwahi mtukana Samia?
SHIDA KUBWA. Na kama Rais ameshindwa hata ku acknowledge kifo cha waziri wa Afya na alielitumikiq taifa….. ni aibu sana

Ila muda wa kutweet SIMBA na Yanga anapata

What a shame

Kama pia shida ni Maria , basi hatuna viongozi wenye weledi

Maria sio Sarungi na baba hawezi ku control njia aliyochagua mtoto ambae ni mtu mzima

Mzee Sarungi ni highly respected leader.

Rais amekosa BUSARA kwenye hili eneo
 
Kwa hiyo mwanao akikamatwa kuwa mwizi na wewe waje wakuunganishe wakuchome.
Umetumia akili za makalio kufikiri sijui kama una mtoto hata wa kusingiziwa
Kabisa mzee,anatumia mentality ya ukiua paka wangu naua mbwa wako. Mbwa ana kosa gani sasa?🤔
 
As a comfort - in - chief!!!??
Hata kwenye kupokea miili ya askari wetu waliofia kwenye mapambano huko DRC hatukumuona.

Kutoa pole kamtuma CDF.
Unaona sawa kabisa namna hii!!???
Inabidi kwenye katiba kuongezwe kifungu kinachomtaka Rais kuhudhuria misiba yote. Acheni upumbavu. Nchi inaendeshwa kwa sheria sio hiyo mihemko yenu.
 
Hakuna sheria iliyovunjwa Rais kutohudhuria huo msiba.
Hatujasema kavunja sheria tunasema amekiuka maadili ya kiongozi mkuu wa taifa na mkuu wa chama ambacho hayati alikuwa ni mwanachama mkongwe.

Wewe unamfahamu mzee Sarungi wewe?🤔
 
Samia kukataa Kwenda kwenye Msiba wa Sarungi inaleta picha mbaya! Ni visasi ndani ya nafsi, Taasisi ya Ikulu haina ushauri mzuri juu ya mwenendo wa Rais, tunajua kisa ni @MariaSTsehai, kifupi Rais wa Nchi kaharibu,,,

Kutoka X
Kumbe na maprofesa nao wanakuwa hawana akili?!! Nimechelewa sana kujua hili. Hilo la Samia kutotaka kwenda huko aliambiwa yeye inbox?!!! Zee zima limekalia unyumbu wa kijinga hivi, yaani anapelekwa na mawazo ya kina lema?!!! Pumbaaavu! Ndo maana anazeeka kwa kukauka, kule kwetu tunaita 'kukochopala' sababu ya kukalia majungu na uzushi.

Ye kiwango chake ni kuelezea maendeleo ya tone-tone na siyo kumfuatilia Samia. Samia ni lidude limoja likuuubwa sana kwake haliwezi.....akubali na atulie. Hajajifunza tu walivyomshindwa Kikwete?!!
 
Hatujasema kavunja sheria tunasema amekiuka maadili ya kiongozi mkuu wa taifa na mkuu wa chama ambacho hayati alikuwa ni mwanachama mkongwe.

Wewe unamfahamu mzee Sarungi wewe?🤔
Amekiuka maadili kupitia kifungu gani kwenye katiba ya chama au ya nchi? Acheni harakati uchwara hadi kwenye misiba.
 
Inabidi kwenye katiba kuongezwe kifungu kinachomtaka Rais kuhudhuria misiba yote. Acheni upumbavu. Nchi inaendeshwa kwa sheria sio hiyo mihemko yenu.
Mijinga sana hii minyumbu!! Kila wakati inawaza ujinga ujinga tuuuu, hebu itoke hapa ikakamuliwe tone tone huko, inatupigia kelele!!
 
Hatujasema kavunja sheria tunasema amekiuka maadili ya kiongozi mkuu wa taifa na mkuu wa chama ambacho hayati alikuwa ni mwanachama mkongwe.

Wewe unamfahamu mzee Sarungi wewe?🤔
Mabege hawataisha nchi hii, huyu hajielewi mpaka anajiita Samia,mwanaume nusu huyu!
 
Bado jamaa zake kina Lukas Mwashambwa na Tlaahtlaah! Kumbukumbu za vizazi vyao,vina urithi wa ujinga wa Hawa watu Ni Aibu hata kama wanalipwa ni malipo ya fedheha!
Kuzaliwa kwao ni matumiza mabaya ya manii, bora baba zao wangepiga nyeto tu.
 
Sioni hoja ya msingi hapo....kwani ni lazima Rais kwenda kwenye kila msiba wa Kiongozi Mstaafu wa Serikali?
Dr. Lwaitama amejuaje kama Rais ameshauriwa vibaya ili asihudhurie?
Sio kila kitu akiandika Dr kuna mantiki...nae ni binadamu kama sisi huenda katumia hisia kuliko uhalisia.
Kama Maria kazuiwa kuja nchini kuzika hapo serikali imezingua sana ila kama kaishi kwa hisia kuwa atakamatwa amefeli pia
 
Back
Top Bottom