Dkt. Hezron Lwaitama anaandika

Dkt. Hezron Lwaitama anaandika

Lwaitama ni mpuuzi. Hata kama mimi ningekuwa Rais siwezi kwenda msiba wa mtu anayenitukana mitandaoni. Huo msiba unamhusu Maria kwa 100%. Kila mtu abebe msalaba wake. Pia msiba ni jambo la kifamilia zaidi.
Je, kwa huku Kumtetea Kwako Rais Samia unadhani Wewe na Yeye mtakuwa mmezitekeleza vyema zile 4R's zenu zinazomaanisha......

Reconciliation - Mapatano
Reform - Mabadiliko
Rebuild - Ujenzi mpya / Kuanza upya
Resilience - Uvumilivu

Sasa kama Yeye Rais Samia ndiyo amekuja na hizi 4R's zake halafu tena leo anazikiuka kisa tu umesema hawezi kwenda katika Msiba wa Mzee Sarungi kwakuwa Bintiye Maria Sarungi Kutwa huwa anamtukana Mitandaoni zina maana gani au alikuja nazo za nini?

Halafu wenye IQ Kubwa akina GENTAMYCINE tukisema kuwa HAMNA AKILI na sasa tuna Mtu MSWAHILI na MNAFIKI hamtaki.
 
Hovyoooo. Unapiga mikwara badala ya kujadili hoja! Hiyo mikwara yako mbuzi ilikuwepo tangu enzi za yesu mpaka kwa kina katanga tumbo na waliendelea kukosolewa .
Chawa wewe
Cheza na Samia Suluhu ila usijaribu kucheza na Rais wa Tanzania UTAUMIA...
 
Samia kukataa Kwenda kwenye Msiba wa Sarungi inaleta picha mbaya! Ni visasi ndani ya nafsi, Taasisi ya Ikulu haina ushauri mzuri juu ya mwenendo wa Rais, tunajua kisa ni @MariaSTsehai, kifupi Rais wa Nchi kaharibu,,,

Kutoka X
Mwenyewe Maria ajaenda kwenye uo msiba wa baba yake sembuse Samia mwenye majukumu pomoni!!.
 
Tanzania wanaharakati wanataka kumpunguzia rais madaraka mengi sana aliyonayo kwenye katiba, na kumuongezea mengine ambayo hana hata kikatiba.

Yani ukifuatilia hizi kelele unaweza kufikiri Samia akitweet kitu Profesa Sarungi anaweza kufufuka.

We Specialize in Contradiction.
Mkuu Kiranga kuna kitu hukioni ama maarifa yamezidi. Rais Samia alifunga safari kwenda kwenye mazishi ya aliyekuwa rais Namibia, akafunga safari kwa queen elizabeth, kwa Lowassa. Tumeona viongozi wengine wakiimuwakilisha kwenye misiba mingine ndani na nje ya nchi. Tumeona akitoa salamu za pole kwa watu mbalimbali wakiwemo wasanii kadhaa. Kwani hao wamefufuka? Kwani katiba ilimlazimisha?
Hajalazimishwa kisheria ama na mtu yeyote kutoa salamu za polei,lakini kutoa salamu za pole ni ustaarabu, ubinadamu, sijui tuseme utamaduni wetu. Halazimishwi kutoa pole lakini watu wanategemea atoe pole maana Sarungi alihudumu kwenye serikali ya CCM kwa miaka mingi na pia ameacha alama kubwa.
Kwanini unashindwa kuelewa kwanini iwatu wanategemea atoe pole kwa familia ya kiongozi huyu?
 
Back
Top Bottom