Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Anajifanya ana uchungu na Samia kuliko mumewe Ameir!Tumia akili kidogo. Yule mzee ni mtumishi wa serikali mstaafu aliyeshika nyadhifa kubwa sana hapa inchini.
Anatakiwa kuzikwa kwa heshima za kiserikali na viongozi wote wakuu wa serikali wanatakiwa kutuma salamu za rambirambi hata kama walikuwa na personal issues.
Yule mzee amemkosea nini kwani na mtu alishajizeekea na umri umeshakwenda na ana heshima zake kwenye historia ya inchi?🤔
Huyu bi mkubwa ni mzinguaji period,hiki alichofanya sio uungwana,ni kosa kimaadili kama mtumishi wa jamuhuri,lakini zaidi kijamii watanzania hatunaga hizi mbaga za kuwekeana vinyongo kwa mambo madogo hadi nyakati za matatizo.