Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ameshawahi kusadiri kwenye misiba ya watu nje ya nchi mara kadhaa. Alikuwa hana majukumu wakati huo? Kwani lazima aende kwenye msiba, hata pole tu inatoshaMwenyewe Maria ajaenda kwenye uo msiba wa baba yake sembuse Samia mwenye majukumu pomoni!!.
Unajuaje kuwa familia ya Sarungi inataka rais Samia ahusike na msiba wao?Mkuu Kiranga kuna kitu hukioni ama maarifa yamezidi. Rais Samia alifunga safari kwenda kwenye mazishi ya aliyekuwa rais Namibia, akafunga safari kwa queen elizabeth, kwa Lowassa. Tumeona viongozi wengine wakiimuwakilisha kwenye misiba mingine ndani na nje ya nchi. Tumeona akitoa salamu za pole kwa watu mbalimbali wakiwemo wasanii kadhaa. Kwani hao wamefufuka? Kwani katiba ilimlazimisha?
Hajalazimishwa kisheria ama na mtu yeyote kutoa salamu za polei,lakini kutoa salamu za pole ni ustaarabu, ubinadamu, sijui tuseme utamaduni wetu. Halazimishwi kutoa pole lakini watu wanategemea atoe pole maana Sarungi alihudumu kwenye serikali ya CCM kwa miaka mingi na pia ameacha alama kubwa.
Kwanini unashindwa kuelewa kwanini iwatu wanategemea atoe pole kwa familia ya kiongozi huyu?
Kwa hiyo hii inathibitisha kwamba huyo Binti (Maria) angejitokeza kwenye msiba ndiyo asinge onekana tena?Marehemu Prof. Sarungi hakuwahi mtukana Samia.
Kutokufika kumzika baba yake ilikuwa ni adhabu tosha kwa Maria, Rais angehudhuria msiba kwa heshima ya Prof.
Maneno ya kipuuzi sana haya.Tanzania wanaharakati wanataka kumpunguzia rais madaraka mengi sana aliyonayo kwenye katiba, na kumuongezea mengine ambayo hana hata kikatiba.
huyo Dr ameleta personal attack kwa kumtaja Maria yule mwehu, hata hivyo wawakilishi walikuwepoHajafa Maria kafa Prof. Sarungi zingatia nafasi yake Tanganyika kwenye chama na serikali.. It is more about government protocals
Kaka unajua unabishana na kitoto cha 2000, hakijui Mzee Sarungi ni nani na historia yake kwa Chama na serikali.Hajafa Maria kafa Prof. Sarungi zingatia nafasi yake Tanganyika kwenye chama na serikali.. It is more about government protocals
Atleast umeongea kwa busara, Maria sasa ajifunze kufunika bakuli lake lasivyo hao wazungu wanaompa shield hawawezi kumsaidia kwenye shida za kifamiliaRais angehudhuria msiba kwa heshima ya Prof.
Usalama ni mdogo sana, huwezi sikia watu wakilizungumzia hiliAache kikao cha kamati kuu ya CCM aende msibani?
Anadhabi kikao cha kamati kuu ya CCM ni sawa na cha Chadema?
Pili msiba wenyewe ulikuwa vurugu tupu
Ndugu wa Profesa Sarungi walikuwa hawataki azikwe Dar wanataka akazikwe kwao na wamesema wanaenda mahakamani ili mwiili ufukuliwe ukazikwe kwao Utegi ,Mara.
Misiba ya hovyo kama hoyo huyu babu anataka Raisi aende?
😅😅Kukosolewa ndio wanafikiri wametukanywa.
Si aliwakilishwa na Waziri Kikwete? Au wewe ulitaka awepo in personal? Pia kumbuka huyo mtoto wa marehemu amekuwa akimtukana sana Rais mitandaoni sasa wangekutana kwenye msiba ingekuwaje? Rais ametumia busara sana tu kwa kumtuma Waziri Kikwete kumuwakilisha. Pia kumbuka wanandugu wa Utegi hawajakubali ndugu yao kuzikwa Dar na wamesema lazima akazikwe Utegi, Mara. Sasa hapo kweli Rais aende wakati ndugu wanagombania pa kuzikwa marehemu!!?Hajafa Maria kafa Prof. Sarungi zingatia nafasi yake Tanganyika kwenye chama na serikali.. It is more about government protocals
Kwa hiyo Rais akienda Baba Yake atafufuka. Mi sioni chochote aende asiende hakuna impact yoyote.Atleast umeongea kwa busara, Maria sasa ajifunze kufunika bakuli lake lasivyo hao wazungu wanaompa shield hawawezi kumsaidia kwenye shida za kifamilia
mtu wa Mungu ameumaliza mwendo wake salama katika dunia hii, kazikwa na maisha wengine walio hai yanapaswa kuendelea kwa neema na baraka za Mungu,Samia kukataa Kwenda kwenye Msiba wa Sarungi inaleta picha mbaya! Ni visasi ndani ya nafsi, Taasisi ya Ikulu haina ushauri mzuri juu ya mwenendo wa Rais, tunajua kisa ni Maria Sarungi, kifupi Rais wa Nchi kaharibu.
Kutoka X.
View attachment 3267742

Maria anapenda kujipa na kupewa umuhimu, huku amejaa madharau, majivuno, lugha chafu hovyo kabisaKwa hiyo Rais akienda Baba Yake atafufuka. Mi sioni chochote aende asiende hakuna impact yoyote.
Wanaomlaum Rais hawana hoja. Hata angeenda hakuna anachoongeza
Wewe ni mashine ya matusi. Hongera sana Popoma.Ndizo zinanisaidia niwe Nakubandua / Nakukaza vizuri hadi unapata nguvu na morali ya Kumpamba na Kumsifia Mama.
Sasa kwanini unafikiri watu wanataka kumpa rais madaraka makubwa zaidi kwa kuhudhuria misiba? Halazimishwi ila ni mategemeo ya watu atoe salamu au kuhudhuria msiba wa mstaafu kama huyu.Unajuaje kuwa familia ya Sarungi inataka rais Samia ahusike na msiba wao?
Juzi Stephen Wassira, Makamu Mwenyekiti wa CCM, kajipendekeza kwenda msibani. Mjane wa Prof. Sarungi kampa maneno yake kumwambia mlikuwa wapi wakati wote huo Profesa anaumwa hamjaonekana mmekuja kuonekana kwenye msiba?
Mpaka Wassira kakimbia.
Sasa wewe usiyeijua familia ya Sarungi, usiyejua ma beef ya serikali na familia ya Sarungi, usiyejua kama familia ya Sarungi inataka Samia ajihusishe na msiba au haitaki, unajichomekaje kusema Samia afanye hivi na vile?
Una hakika familia ya Sarungi inataka Samia ahusike na huu msiba?
Ni ustaarabu pia kutolazimisha Rais atoe pole hadharani. Unajuaje kama alitoa pole kimyakimya? Sarungi kuhudumu haikuwa bure alilipwa stahiki zake. Kuacha alama pia ni muhimu kama kiongozi.Mkuu Kiranga kuna kitu hukioni ama maarifa yamezidi. Rais Samia alifunga safari kwenda kwenye mazishi ya aliyekuwa rais Namibia, akafunga safari kwa queen elizabeth, kwa Lowassa. Tumeona viongozi wengine wakiimuwakilisha kwenye misiba mingine ndani na nje ya nchi. Tumeona akitoa salamu za pole kwa watu mbalimbali wakiwemo wasanii kadhaa. Kwani hao wamefufuka? Kwani katiba ilimlazimisha?
Hajalazimishwa kisheria ama na mtu yeyote kutoa salamu za polei,lakini kutoa salamu za pole ni ustaarabu, ubinadamu, sijui tuseme utamaduni wetu. Halazimishwi kutoa pole lakini watu wanategemea atoe pole maana Sarungi alihudumu kwenye serikali ya CCM kwa miaka mingi na pia ameacha alama kubwa.
Kwanini unashindwa kuelewa kwanini iwatu wanategemea atoe pole kwa familia ya kiongozi huyu?